Ukweli mchungu: Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti

Sijui kwanini nawaamini Sana WANAWAKE? Hata akiwa mdangaji atafanya kwa ajili ya watoto wake. Kama amechuna huko mabuzi, watakaofaidika ni watoto wake. Ila mwanaume akiwa tu na kamchepuko. Anasahau kabisa nyumbani hela zote zinaishia kwa mchepuko
Halafu huyo mchepuko anakuwa naye anasomesha wanaye huko walioterekezwa na baba kama huyo mchunwaji, fainal abdul
 
Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli.
Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi.
Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie kikazi aliko mwingine au mmoja aache kazi na kuangalia shughuli nyingine atakayofanya pindi atakapohamia kwa mwenzi wake.
Wanaume ni wadhaifu
Wanawake ni wadhaifu
Gape mtakaloliacha hapa kati lazima kinukishwe. Mkiwa na watoto 5 huenda watoto wa baba mwenye nyumba wakawa wawili tu.
Na huko mwanaume anazaa watoto kwa siri . Ndoa inageuka kuwa ndoana hata Kama mtafanya maigizo ya kupeana mapenzi motomoto pindi mnapokutana ila jua tu kuna jambo sirini linaendelea
Najua wale waliohamishiwa Dodoma kutoka Dar wanaweza leta mrejesho hapa.Shetani anapenda sana magepu kama hayo,kwa sababu hatumii nguvu nyingi sana
 
Ingawa kuna wengine.wanaleta mzaha lakini sidhani kama itapunguza ukweli wajambo hili mtoa mada ucjari kupitia uzi wako tukiokoa familia hata mbili inasaidia sidhani kama unamaana kwamba mkiwa karibu hakutakuwa namatatizo yatakuwepo ila mengine sio yalazima hata waliovunja mahusiano chanzo kikawa ni hiki huenda ukawa umeacha mtu bora
 
Kwa wanawake wa sasa sidhani kama itawezekana
Binafsi ninao wawili, ila mwanamke nimeshapiga chini na kishaolewa tayari, sasa nataka kuongeza watoto, na nina uwezo wa kumrudisha , akaachana na mumewe akarudi kwangu, ila imani yangu hairuhusu
Na huko alipoolewa hajazaa bado
Duuh
 
Hapa naweza kurushiwa mawe ila mara nyingi mimi huwa napenda kuwaambia watu ukweli.
Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti kwa kipindi kirefu bila sababu za msingi.
Ni vyema kama mume na mke mnafanya kazi nchi, mkoa au wilaya tofauti kabla ya kufunga ndoa mkubaliane aidha mmoja ahamie kikazi aliko mwingine au mmoja aache kazi na kuangalia shughuli nyingine atakayofanya pindi atakapohamia kwa mwenzi wake.
Wanaume ni wadhaifu
Wanawake ni wadhaifu
Gape mtakaloliacha hapa kati lazima kinukishwe. Mkiwa na watoto 5 huenda watoto wa baba mwenye nyumba wakawa wawili tu.
Na huko mwanaume anazaa watoto kwa siri . Ndoa inageuka kuwa ndoana hata Kama mtafanya maigizo ya kupeana mapenzi motomoto pindi mnapokutana ila jua tu kuna jambo sirini linaendelea
Kweli sijasoma ndoa ktk biblia mke yupo Galilaya mume anaishi Jerusalemu au Misri kaajiriwa anamtumikia Farao hata bwana Yesu angekuwepo angetaza maigizo haya. Ndoa ni living under one roof
 
Back
Top Bottom