mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Habari Wakuu,
Kwa maoni yangu ambayo nimejitahidi nisiwe biased and subjective as much as possible nimekuja kufikia hitimisho kwamba Chadema kimfumo, kichama, kiuongozi na kitaasisi hawako tayari kupewa dhamana ya kuongoza nchi ama kushika dola. In simple language Chadema is still at its very infant stage.
Chadema kwa uchambuzi wangu yakinifu kimekua ni chama ambacho hakina ilani, filosofia na mrengo wa kisiasa unaoeleweka. Wamekua ni watu wa kuchukuliwa na siasa za matukio zaidi na siasa za ku'play victim ili kupata sympathy kutoka kwa wananchi.
Leo hii ukitaka kuamini ninachokisema mchukue mwana Chadema on the grass root level na umuulize ilani yenu ni nini au filosofia yenu ni nini?
Am sure hatakua na majibu yanayoeleweka zaidi ya kulalamikia mfumo uliopo. Ukimuuliza what next after mmefanikiwa kuundoa huu mfumo hatakua na majibu zaidi ya kutaka mzee Lowassa na Mbowe wapewe nchi.
Me nafikiri tatizo hili limesababishwa hasa na uongozi wa Chadema, pale watu wako unawaongoza hawajui what is your vision unakua ume"fail" kwenye majukumu yako kama kiongozi.
Kiongozi imara anatakiwa awasilishe vision yake na ya chama kwa wanachama wake ili waeze kuishi na kufanya jitihada za pamoja kuifikia hyo vision. Na sio ku'play victim na ku'comment matukio ya "kiki" ili kupata sympathy.
Weaknesses za Chadema ni nyingiiii ila kubwa inao'wacost zaidi ni uongozi wao na wasipobadilisha kuchukua nchi wasahau.
Huu ndo ukweli mchungu ambao Chadema hawataki kuusikia.
Get well soon TL.