Ukweli mchungu ambao watu hawataki waujue

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,700
.
FB_IMG_1612804818347.jpg

Sent from my TECNO S1 using JamiiForums mobile app
 
Fedha nyingi bila upeo imefanya apitilize asione mbele.

Uwe na fedha na elimu . ndio maana ya pic
Mwenye pesa na elimu ana clear view; mwenye pesa au asiye na vyote wako obstructed kabisa.

NB: Ukiwa na pesa bila elimu ni uzembe wa kiwango cha SGR; ukiwa na elimu bila pesa ni kutoelimika kwa kweli.
 
Mwenye pesa na elimu ana clear view; mwenye pesa au asiye na vyote wako obstructed kabisa.

NB: Ukiwa na pesa bila elimu ni uzembe wa kiwango cha SGR; ukiwa na elimu bila pesa ni kutoelimika kwa kweli.
Mm nadhani mwenye pesa ameona sana ad amepitiliza, hvy huwezi kumfananisha na ambaye hana pesa kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom