Ukweli kuhusu YAP-Tanzania

Usiogope mbona awo c matapeli coz kule zanzibar wanaofic zao hurumzi, na kuna watu walingia kweny iyo program hadi leo Wapo wanakula shavu

unajua nn, tatizo hizo date zao za training, mi wamenitumia jana na wamesema deadline ya kulipa ni tar 23 na training zinaanza tare 6 mwezi wa 9
 
Jamani NAOMBA MSAADA PIA kama hizi ni habari za kweli ama vip COZ nimeitwa tazama ujumbe huu
yap-volunteerjobs@graduate.org To Me

Today at 9:45 AM
Dear Applicant, Ref: Call for Training Registration and Participation Confirmation Stage
On behalf of our organization, I am obliged to inform you that after desk review of your cv and application documents submitted for the advertised volunteer job position of Project Field Officers under Youth Awareness Program-Tanzania, you have passed our initial desk assessment criteria, and that you have been selected to be among other candidates who have been offered an offer to attend a three weeks training course in Dar es salaam from 6th September depending on your acceptance. Under this program, our organization is offering an opportunity for serious and committed scholars to Register for Training (3 weeks training), Volunteer for Experience (6 Months) and Get Employed for Professionalism (2 years contract).
Our organization has partnered with a third part consultant company to oversee and carry out the Training Course. Graduate Organization only encourages committed candidates and scholars to register for volunteers training course. If you are not committed we strongly discourage you to apply for training.
Remember that our organization doesn’t pay salary for volunteers, but we only offers compulsory incentives to create smooth and standard volunteering environment like per diem, transportation, communication and accommodation as clearly described in the job advertisement sheet, as copied here below
Graduate international will provide the following to support unemployed volunteers
• Breakfast, Lunch and Dinner/per diem: Tsh 20,000/= per day, paid on monthly basis
• Communication for field work: Tsh 5000/=per day, paid on weekly basis
• Accommodation when doing field work: Tsh 25,000/= , per day, paid on weekly basis
• Volunteers Personal Pocket allowance of Tsh 60,000/= per month
• The organization will provide transport for long distance travel for field work or other office duties as per logistics.
Other long term benefits in volunteering with us are the assurance of job opportunities in various projects implemented by GIO after six months of volunteering. We only employ hardworking volunteers, flexible, knowledgeable and good learners. Successful volunteers shall sign a two years employment contract after six months of volunteering
As a successfully selected candidate you are required to confirm if you are ready to volunteer with us by doing the following;
To register in a three weeks training session which will be conducted in Dar es salaam from 16[SUP]th[/SUP] September. Second is to confirm your participation in our training course by paying the training registration fee of Tsh 50,000/= in advance. The paid amount will cover for your training certificate; workshop training materials, free TOT software. Only applicants who have confirmed by applying for the training shall be contacted for the training and volunteering schedules.
For Registration Information Please(waliniambia nibofye hapa) to Register for Training and to confirm your participation by paying training registration fee.

You Are Required to Register for the Training Immediately from now before 16[SUP]th[/SUP] August 2014. If you are not ready to register for training course please let us know so that we can replace you with other interested candidates before it is too late.
Once you confirm your participation by registering for training course and paying the training registration fee you will receive official Training and Volunteering Invitation Email
Thanks

Craig W. Benson
Country Program Director
Graduate International Organization (GIO)
Email:yap-volunteerjobs@graduate.org | infor@graduate.org
GRADUATE.ORG: Your GRADUATE Expert Since 1998..

tuwe eyes! How comes date za training zitofautiane?? Mi nilitumiwa na wakasema itaanza tar 6
 
Usiogope mbona awo c matapeli coz kule zanzibar wanaofic zao hurumzi, na kuna watu walingia kweny iyo program hadi leo Wapo wanakula shavu[

acha kuwadanganya watu hawa YAP ni matapeli wakubwa sana mwaka jana wametapeli na mwaka huu wanarudi tena kwanza hawana ofisi popote,wanadai wapo Zanzibar hurumzi street bila Kuweka plot namba eti wanaweka mobile namba as official namba ww Ushawahi ona wapi taasisi ambayo ni donor funded hata namba ya landine hawana,wala hawana bank account?hii inakuingi aKilini kweli?AU NA WEWE NI MMOJA WAO?NINA UHAKKA KWA 100% HAWA NI MATAPELI MA ANA HAWAWEZI KUFUNGUAACOUNT BANK WANAJUA WATAKAMATWA KIRAHISI NDI0 MAANA WANATAKAKUWAIBIA KUPITIA HIZO TIO PESA NA MPESA
 
Matapeli hao achaneni nao,transaction zote za kiofisi zinafanyika through bank,wao wametoa namba za simu,wezi hao wanataka kuwaibia wadogo zetu.
 
Wadau habar, Leo asubuhi yap volunteer jobs wamenitumia ujumbe kwenye email yangu ya kutaka nilipe elfu 50000 kwaajili ya registration, msaada jamani plz
 
piga chini umejitolea hasa ulipe tena hela ya nini usije pelekwa mjini aseeeeeeeee
 
Ndugu yangu hao nao ni wasaka ajira kama sisi usipojeze pesa zako ni matapel tu hao shauri yako
 
Toka lini jamaa wa sociology wakakuajiri? Hao nao ni job seeker kama wewe tena wengine wamemaliza mwaka huu tena hata kugraduate bado pia nao hatima ya maisha yao hawajui kesho itakuaje.
 
Hao ni matapeli nakushauri ndugu usitume hiyo fedha kama unayo ifanyie jambo lingine la msingi huwezi kujitolea halafu ulipe tena kwa ajili ya usajili.
 
Wadau habar, Leo asubuhi yap volunteer jobs wamenitumia ujumbe kwenye email yangu ya kutaka nilipe elfu 50000 kwaajili ya registration, msaada jamani plz

Registration kwa ajili ya ku-volunteer ndio mwatozwa hela?
 
Back
Top Bottom