Ukweli kuhusu WANAWAKE

Mkuu mwenzangu, ukimwambia mwanamke kuwa amekaa kihamuhamu unakuwa unamuoffend. wenzetu wameumbwa na haya ndio maana ukimwambia you are so sexy atafurahi kuliko kumwambia umekaa kihamu hamu.

Ukitumia lugha ya Kiswahili maneno yanakuwa yanachoma sana
 
Hata akiwa mbaya kama mbuyu wewe mwambie tu yeye ni English figure. Ah ah .
 
Hata akiwa mbaya kama mbuyu wewe mwambie tu yeye ni English figure. Ah ah .

hahahahah lol
kumbe nyie niwaongo hivyo ae...
aahhh kuanzia sasa sichukui comment yeyote ya mwanaume...
mmmhh hii hatari..
 
teh!teh!teh!....nilikua sijajua wanawake kudanganywa ni haki yao ya msingi.daaah!kuanzia leo mbona watakoma
 
Kuna kabinti mitaa flan kanapenda kuambiwa kamekaa kinyegenyege ati!!
Mwanamke ukimwambia ukweli ladhima mkothane!!!

Kila mwanamke anapenda aonekane kuwa anavutia kingono, lakini hawapendi kuambiwa umekaa kinyegeenyegeeeeee
 
nashkuru kuskia kwamba skudanganyi, na sitokudanganya maisha lol

teh teh......ila siku ile ulivyosema nimekuwa kama michelin nilikuvumilia tu.....si unajua tumeambiwa tuvumilie ndoa....la sivyo ungekiona cha mtema kuni
 
teh teh......ila siku ile ulivyosema nimekuwa kama michelin nilikuvumilia tu.....si unajua tumeambiwa tuvumilie ndoa....la sivyo ungekiona cha mtema kuni
dah! mimi niliona nakusifu, kumbe nimefuja?, basi hakyanani mimi lile michelin linanipandisha mzuka wa ajabu nikiliangalia, nawish lingekuwa binadam la kweli halaf liwe "Miss east Afrika mashariki na kati",

sikuiti tena michelin, acha nikuite maza teresa ili tudumishe upendo.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom