Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,732
- 155,417
Kila mwanamke anapenda aonekane kuwa anavutia kingono, lakini hawapendi kuambiwa umekaa kinyegeenyegeeeeee
Hata akiwa mbaya kama mbuyu wewe mwambie tu yeye ni English figure. Ah ah .
wanaume nao huwa wanaambiwaje?
wanaume nao huwa wanaambiwaje?
Make love, not war....on this christmas
si ndio useme mama therengetitherengeti wewe huwa unamwambiaje bwana mzee
nashkuru kuskia kwamba skudanganyi, na sitokudanganya maisha lolmimi simwambiagi kitu....ni yeye huwa ananiambia....ila wangu hanidanganyi
Kila mwanamke anapenda aonekane kuwa anavutia kingono, lakini hawapendi kuambiwa umekaa kinyegeenyegeeeeee
nashkuru kuskia kwamba skudanganyi, na sitokudanganya maisha lol
dah! mimi niliona nakusifu, kumbe nimefuja?, basi hakyanani mimi lile michelin linanipandisha mzuka wa ajabu nikiliangalia, nawish lingekuwa binadam la kweli halaf liwe "Miss east Afrika mashariki na kati",teh teh......ila siku ile ulivyosema nimekuwa kama michelin nilikuvumilia tu.....si unajua tumeambiwa tuvumilie ndoa....la sivyo ungekiona cha mtema kuni
unanuka km beberuwanaume nao huwa wanaambiwaje?