Kuna rafiki yangu lawyer kwenye NGO moja hapa NY ambayo yule dada Lisa Rockefeller ni board member, amenidokeza kuhusu issue ya huyu dada na yule kijana wa Bumbuli January Makamba.
Hii issue imemkera sana huyu dada na anaichukulia serious sana. January na Lisa walikuwa na uhusiano mzuri sana ambao ulishamiri zaidi wakati alipokuwa Marekani kwenye safari na JK ya kuonana na investors na donors.
Lisa pia ndiye aliye-organize na rafiki yake wa The Economist kuandika ile piece ya January Makamba ambayo ilikuwa na objective ya kumsaidia kukuza profile yake kwenye kampeni.
Kwa Lisa, January alionekana ni mtu progressive anayependa maendeleo na quite possibly future leader wa Tanzania.
Wakati Lisa alipokuja Tanzania mara ya mwisho akakuta mradi aliotolea hela nyingi kule Mbeya haujafanyika, wakati alipewa guarantee na rafiki yake January kuwa hela hiyo itatumiwa kwenye huo mradi, alikuja juu na kudai accountability.
January apparently akamjia juu na kumtishia kuwa yuko Bongo asilete ukoloni wa Kimarekani. Apparently, alimpa threats nyingi zaidi na kwa sababu ya hizo threats dada Lisa alizipeleka nyumbani na familia ikapiga simu Homeland Security.
Ilibidi wamarekani wa-launch formal investigation ambayo mpaka sasa inaendelea.
Kuna matisho aliyoyatoa January bila kufikiria madhara yake na huyu dada akayachukulia serious na kwa hasira sana. Kumbuka yeye alikuwa anategemea appreciation huku na quite honestly sidhani kama alikuwa na mambo mengine mengi zaidi ya kusaidia.
Sasa hiyo ndiyo inasemekana imemfanya Mkulu ashindwe kumpa ule uwaziri ambao kijana alikuwa ana uhakika wa kuupata.
Kuna habari pia kwamba kijana January amewekwa kwenye list mbaya ya Homeland Security na itakuwa vigumu sana kusafiri huku mpaka hii issue iwe cleared.