Ukweli kuhusu Udsm huu hapa

BUMIJA

JF-Expert Member
Oct 19, 2011
5,818
11,000
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?
 
someni, acheni kulalamika! mtadisco sana! Zamani kabla ya TCU kufanya udahili, UDSM ilikuwa inachukua cream tupu, ila sasa wanachanganyiwa na magarasa! ndio hao wanasapua!
 
Vijana wa digitali, huku FB, HUKU WhatsApp, pale twiter pembeni Badooo, Sjui nini na nini...dah..kugusa gusa ka smartphone screen kako kutwa nzima, Unadhani kutakua na matokeo mazuri? Watoto wa wakulima tulimaza miaka ya nyuma. Ila poleni na badilikeni.
 
amna haja ya kuwapa pole wasome la sivyo wataishia kulalama tu na kupoteza mda...
 
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?

Mimi siamini kama kweli mna mitihani migumu!!! Kama husomi unashinda mliman city na beach kila siku unataka ufaulu uende wapi??? Acha uzembe...
 
Mimi ni mwana udsm.Nimeishi na ni mwaka wa3 hapa,Ni kweli chuo chetu kina sifa ambayo ni ya zamani ila kwa sasa mabadiliko yanahitajika mana Saplimentary ni nyingi sana afu tunadai sisi ni bora.Watu 500walidisco campus zote mwaka juzi, na watu wanasoma sana lakini bado matokeo ni ya kawaida sana.Malalamiko ya mitihani kua migumu ni wimbo wa kila siku,na kama elimu yetu ni bora yote haya yanini?

Ikiwa wewe ni mwanachuo wa mwaka wa tatu na unaandika kama mtoto wa darasa la tatu, kweli kazi ipo.

Hata "supplementary" imekushinda kuandika, majanga!

Hii nchi tuna safari ndefu ajabu.
 
Wapo wanaofaulu sana ila mbona supu ni nyingi sana na mnadai bora
 
amna haja ya kuwapa pole wasome la sivyo wataishia kulalama tu na kupoteza mda...
Wao ni smart life tu, wanaishi maisha ya wafanyakazi sasa sijui maisha yao nani atawasaidia kuishi? Siku hizi ukiwatazama utadhani unaangalia tamthiliya za kifilipino, kitu kidogo kiss, hug, mara hili mara lile mradi tu watengeneze motion...nawasikitikia sana. Ukiwapiga enterview ndio utakoma kabisa...............Hakuna kitu, Hasara tupu.
 
Yaani wewe ni bure kabisa. Yaani mnataka mtungiwe mitihani rahisi ili mfaulu? Acha utoto soma kwa bidii, ukifanya mchezo wanakula kichwa. Eti unataka UDSM nayo iwe kama vyuo vya kata ambavyo ukiishapata registration tu, wewe tayari una degree.

Hauwezi kuruhusu hiyo itokee UDSM, unafanya mchezo na masomo, unatangulizwa nyumbani.

Tiba
 
Tiba suala ni kua kwanini mnadai ni bora afu supu ni nyingi?huo ubora ukwapi si aheri vya kata hawasapui wako poa
 
Nina video moja ya demu wa Mabibo anatafuta Bwana amuoe ILA Sijui namna ya kuiweka hapa. Iko kwa WhatsApp
 
Wao ni smart life tu, wanaishi maisha ya wafanyakazi sasa sijui maisha yao nani atawasaidia kuishi? Siku hizi ukiwatazama utadhani unaangalia tamthiliya za kifilipino, kitu kidogo kiss, hug, mara hili mara lile mradi tu watengeneze motion...nawasikitikia sana. Ukiwapiga enterview ndio utakoma kabisa...............Hakuna kitu, Hasara tupu.
alafu wanasema mitihani migumu...shauri yao hawataki kuumiza kichwa kabisa mambo yao laini laini tu.... afu si ajabu ni mtoto wa kiume analalama hapa ....
 
Ila kuna jamaa zangu wanasoma sana na wanasap au wasomeje jamani

Je wewe ni mwanachuo??? Unauliza watu wasomaje???? Msomi hujui jinsi ya kusoma!??? Eti mwaka wa tatu....pu..mba.fu..
 
Back
Top Bottom