Vipi kuhusu aliyesema atagawa milion 50 kila kijiji na Laptop kwa kila mwalimu, huyu tutamuweka kundi gani Mkuu?
Anatetea watu pamoja na mafisadi na wakwepa kodi!
Hana moral authority ya kuitwa mtetezi wa haki bali mtetezi wa wahalifu!Ndani ya mahakama kuu hata wale wenye kesi za kuua kwa kukusudia wanapewa nafasi ya kuwakilishwa na wakili. Na kama mshtakiwa hana uwezo wa kuweka wakili serikali kwa gharama zake inamwekea wakili amtetee. Unashangaa nini "fisadi" akitetewa? Hiyo ni haki ya msingi ya kibinadamu kwa mshtakiwa wa aina yeyote.
Hata wewe jingalao mfano ukibakwa na Lizaboni wakati wa kutimiza majukumu yenu hapo Lumumba jua kuwa akihitaji wakili atatetewa hata kama shtaka hilo ni baya na wewe hujafurahishwa na uliyotendewa.
Hongera, sasa hujaeleweka ulitaka kujitoa jf, sasa kilichokurudisha ni nini? Kwako wenye nia njema hawa waliouza rasilimali zetu sio? Acha upunguani wa akili.Nilitaka kujitoa JF lakini kwa data hizi nimefurahi sana kweli CDM hawana nia njema na nchi hii!!
Ni mafisadi mangapi yamepandishwa kizimbani tangu serikali iliyopo iingie madarakani?Anatetea watu pamoja na mafisadi na wakwepa kodi!
Kama akina nani?Kuna watu nasubiri wakoment
lissu kutetea mafisadi hoja kubwa mkuuNi mafisadi mangapi yamepandishwa kizimbani tangu serikali iliyopo iingie madarakani?
Hayo mafisadi yamefanya huo ufisadi Lissu akiwa rais wa nchi?
Kwanini wewe ni mjinga hivyo?
Ndio nimekuuliza hao mafisadi wametengenezwa na kulelewa na serikali ya chama gani?lissu kutetea mafisadi hoja kubwa mkuu