MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,427
Mobutu aliangushwa kipindi cha Mkapa na Gen Mboma akiwa mkuu wa majeshi wa Tanzania alikuwa wa kwanza kutambua mapinduzi yale kabla hata ya Mkapa kusema lolote tena kupitia BBC!
Pamoja na Mobutu kusaidiwa na majeshi ya nje ikiwemo Sudan yenye jeshi bora lakini bado wakala kichapo kikali huku kupitia BBC wakongo wakilalamika kuwa Makamanda wakuu wa vita wa waasi wa Banyamulenge watakuwa Watanzania kutokana na kiswahili chao kilivyo tofauti!
Tanzania ilikanusha kushiriki na haijawahi lakini inawezekana uamuzi wa kupeleka Congo Batalion ya JWTZ ni kwenda kurekebisha makosa tuliyoshiriki kwasiri na Kagame na washirika wake wanajua sasa wanarudishwa walipokuwa awali tena kwa nguvu.