Ukweli kuhusu Wakatoliki kutokuabudu sanamu zilizopo makanisani

Amri kumi za Mungu...KUTOKA SURA YA 20 MSTARI WA 1 MPAKA WA 20 Mwenyezi-Mungu alizungumza maneno haya yote, akasema, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, niliyekutoa nchini Misri, ambako ulikuwa mtumwa. “Usiwe na miungu mingine ila mimi. “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago cha kitu chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usikisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu. Nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha hao wanichukiao. Lakini nawafadhili maelfu ya wale wanipendao na kuzishika amri zangu. “Usilitaje bure jina langu mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Maana mimi Mwenyezi-Mungu sitaacha kumwadhibu anayetumia jina langu vibaya. “Usisahau kuiweka takatifu siku ya Sabato. Siku sita fanya kazi na tenda mambo yako yote. Lakini siku ya saba ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Siku hiyo usifanye kazi yoyote, wewe, wala mwanao, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala watumishi wako wa kike, wala mnyama wako wa kufugwa, wala mgeni aliye nyumbani mwako. Maana kwa siku sita mimi Mwenyezi-Mungu niliziumba mbingu na dunia, bahari na vyote vilivyomo, kisha nikapumzika siku ya saba. Kwa hiyo mimi Mwenyezi-Mungu niliibariki siku ya Sabato, nikaitakasa. “Waheshimu baba yako na mama yako, ili uishi maisha marefu katika nchi ninayokupa mimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. “Usiue. “Usizini. “Usiibe. “Usimshuhudie jirani yako uongo. “Usiitamani nyumba ya jirani yako, wala mke wake, wala mtumwa wake wa kiume au wa kike, wala ng'ombe wake, wala punda wake, wala chochote kilicho mali ya jirani yako.”
Kutoka 20:1‭-‬17

Ukisoma Katekisimu ya kanisa la Katoliki Amri ya pili ambayo inakataza kuchonga sanamu ya kitu chochote kile kilicho Mbinguni majini juu au chini ya ardhi....kumbuka hairuhusiwi kuchonga Sanamu....Amri hii wameifuta na hawaitii kamwe...Ushahidi uko Makanisa yote ya Katoliki yote yana masanamu!!!
Matokeo yake Amri ya tatu ndiyo imekuwa ya pili yanne imekuwa ya tatu
Wamezivuruga vuruga zote!!

MASWALI
Ni nani aliyewapa mamlaka ya kumrekebisha Mwenyezi Mungu katika Amri zake jinsi mtakavyo nyinyi??
Nani amewapa mamlaka ya kutotii amri ya pili ya Mwenyezi Mungu??

Kaka mbona unaandika kwa povu sana?, umejaribu kusomamkwa utaratibu na kujua kilichoandikwa? Sanamu ilikatazwa kwa malengo na sababu gani basi?

Hilo andiko lako la kutoka 20: 3-6, iko wazi kabisa kuwa USICHONGE SANAMU NA KUZIABUDIA, USIFANYE SANAMU KUWA MUNGU WAKO NA UKAIFANYIA IBADA YA KUITOLEA MAOMBI PAMOJA NA DHABIHU, na Mungu alikataza hilo kwa kusisitiza kuwa MIMI NI MUNGU WAKO MWENYE WIVU,
Shida yenu nyie mnasoma nusu ya hiyo amri, na mnazitenga as if ziko mbili, hiyo Amri ya kuchonga sanamu haiishii hapo kwenye kuchonga bali kwenye kuziabudu pia

Sasa Iweje Mungu akataze Sanamu hapo kwenye hiyo Kut 20: 3-6, lakini alimwambia Musa atengeneze sanamu na kuziweka juu ya Sanduku la agano? ( ....NAWE FANYA (sanamu) za MAKERUBI WAWILI... Kutoka 25:16-22) iweje Amri zile kumi za Mungu zilikuwa zinawekwa kwenye SANDUKU LA AGANO, ambalo pia lilikuwa limepambwa na Masanamu ya Malaika (Makerubi) wawili?
Kut 26: 1-31 pia inaonyesha Mungu alipokuwa anamwambia Musa aweke Sanamu za Makerubi Hekaluni "pamoja na Makerubi, kazi ya fundi stadi" na tekelezo lilifanyika katika Kut 37:7-9.

Ukisoma Wafalme 6: 23-35, Solomoni alilipamba hekalu kwa Masanamu mbalimbali ya Makerubi na wenye uhai,
So unaposema makanisa ya Kikatoliki yamejaa sanamu, basi wewe hujasoma habari za Hekalu la Mungu pamoja na Sanduku la Agano lilivyosheheni Sanamu za kila aina

Shida ya Sanamu ipo kwenye kuziabudu, Sanduku la agano lilipokuwa linapita watu walikuwa wanaanguka kusujudu, JE WALIKUWA WANAWASUJUDIA WALE MAKERUBI WAWILI WALIOKUWA JUU YA SANDUKU LA AGANO? Jibu hapana wale makerubi ni mfano tu wa viumbe vitakatifu lakini havikuabuduwa kamwe.

Mat. 22: 20 na Lk 16:13, yasu alipewa sarafu akauliza NI YA NANI SANAMU HII NA ANWANI HII, wakamwambia ni ya Kaisari, akawaambia ya Kaisari apewe kaisari na Mungu apewe vyake, kisha hiyo Lk. Akasema mtu hawezi kutumikia mabwana wawili, MUNGU na MALI (SANAMU)

Ukimsoma Mtume Paulo amefafanua vizuri sana Ibada ya Sanamu, nenda Kasome Efe 5:5, Kol 3:5, Tim 6: 6-10 na Sura nyingi sana zinazoelezea Ibada ya sanamu

So Hakuna Mkatoliki anayeabudu Sanamu na Biblia na Amri za Mungu zinakataza hilo, so ukimuona Mkatoliki anazitolea Sadaka, na kuziomba msaada Sanamu zimsaidie basi huyo sio Mkatoliki ni mtu aliyekufuru kwa njia zake na mafundisho yake mwenyewe,

Amri ya kukataza ibada kwa sanamu imewekwa wazi katika Biblia Takatifu, Kutoka 20:4-5, “Usijifanyie sanamu ya miungu wa uongo, au kinyago chochote kilicho mbinguni, katika nchi au majini chini ya dunia. Usiisujudie wala kuitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu.”

Sheria hiyo inapatikana pia katika Kitabu cha Kumbukumbu la Torati 5:8-9: “Usijifanyie sanamu za miungu za kuchonga, wala mfano wa kitu chochote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia. Isivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi Mwenyezi Mungu, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu.”

Ni kutokana na vifungu hivyo vya Maandiko Matakatifu, Waamini wa Kikatoliki wamekuwa wakituhumiwa, kushtakiwa na kushambuliwa na baadhi ya waamini wa madhehebu mengine kwamba wanapingana na maagizo ya Mwenyezi Mungu, yanayokataza ibada kwa sanamu. Tuhuma hizo zinakuwa nzito zaidi, hasa zinapohusishwa na Ibada inayofanywa na Waamini Wakatoliki siku ya Ijumaa Kuu kila mwaka.

KUNA TOFAUTI KATI YA KUABUDU NA KUHESHIMU

Kuna tofauti kubwa kati ya kuabudu na kuheshimu. Kamusi ya Kiswahili ya Maana na Matumizi, ya mwaka 1993, iliyoandikwa na SALIM K. BAKHRESSA, na kuchapishwa na OXFORD UNIVERSITY PRESS, DAR ES SALAAM, inaeleza kuwa neno “kuabudu” maana yake ni “kuomba au kufanya ibada”; na neno “kuheshimu” maana yake ni “kutukuza, kustahi au kuogopa.”

Katika maana yake ya ndani, anayeabudiwa na mwenye haki ya kuabudiwa ni Mungu peke yake. Hakuna mtu, kiumbe wala kitu chochote kinachopaswa kuabuduiwa na chenye haki ya kuabudiwa. Mtu, kiumbe au kitu hupewa heshima tu, tena ya kiwango maalum. Kwa mfano, Bikira Maria, kwa sababu ya nafasi yake katika kazi ya ukombozi, anapewa heshima ya juu kuliko watakatifu wengine. Watakatifu hao wengine hupewa heshima ya kadiri tu, chini ya heshima ile anayopewa Bikira Maria.

KWA NINI MUNGU PEKE YAKE ANASTAHILI KUABUDIWA?

Tumesema ni Mungu pekee yake, ndiye anayestahili kuabudiwa, kwa sababu ndiye MUUMBA wa vitu vyote, vinavyoonekana na visivyoonekana; ndiye anayevitawala na kuviongoza vitu vyote; ndiye mwenye uwezo juu yetu sisi wanadamu na viumbe vingine vyote; ndiye anayejua yote; ndiye aliye pote kwa ajili yetu; ndiye mwanzo na mwisho wa kila kitu; ndiye mkuu na Bwana wa wote.

Aidha, tunapomwabudu Mungu, tunakiri kwamba ndiye aliyetuumba na “ndani yake yeye sisi tunaishi, tunajimudu na tuko!” (Mdo.17:28). Kwa kufahamu hilo, Wakatoliki hawawezi kumwabudu mtu, kiumbe au kitu chochote, isipokuwa Mungu tu.

MAMBO MAKUU NA MUHIMU KATIKA IBADA YA SANAMU

Ili kufahamu vema kinachofanywa na Wakatoliki ni vema kufuatilia na kutafakari yale wanayoyafundisha na kuyasadiki wao wenyewe, badala ya kuwahukumu kadiri watu wengine wanavyofikiri na kusema. Ukweli ni kwamba hakuna Ibada yoyote ya sanamu katika Kanisa Katoliki. Hilo ni dhahiri kwa sababu ili ibada ya sanamu iwe kweli kuabudu sanamu lazima yawepo mambo makuu na muhimu mawili: Kwanza, NIA KAMILI YA KUABUDU SANAMU INAYOHUSIKA;

Pili, KUWEPO NA IBADA YA DHATI YA KUABUDU SANAMU. Ikitazamwa kwa makini, hayo mambo mawili yanakosekana katika Kanisa Katoliki linapokuja suala la picha na sanamu. Kwa hiyo, Wakatoliki hawaabudu sanamu wala picha. Kama ni hivyo, wakatoliki wanafanya nini na hizo sanamu au picha? Wanaziheshimu tu! Tukumbuke kuwa anayemwabudu mtu, kiumbe au kitu, ni sharti akihesabu na kukisadiki kuwa ndicho kinachomwezesha kuishi, kujimudu na kuwa na uhai wake (Rej. Mdo.17:28).
Ubarikiwe
Nitajaribu kufupisha tu maelezo yangu.. ...
Hebu tuende kwenye mada kuu ambayo iko wazi kabisa haya ktk bandiko lako umekubaliana na maandiko kwamba tumeamriwa kuto kujifanyia sanamu ya miungu ya uwongo au kinyago chochote kilicho Mbinguni ardhini au majini ...pili tumekatazwa kuabudu hivi vinyago....
KWANZA
Wakatoliki wamechonga hayo masanamu...
PILI
Tuangalie je wanayaabudu? ...

Kuna mambo kama tisa hivi ambayo mmoja anaweza kuyafanya akiwa katika ibada ya sanamu. Mambo hayo yametajwa katika Biblia Takatifu.
1. Utoe sadaka Hos 4:13
2. Uitolee sanamu yako ubani 1 Fal 11:8
3. Ufanye tambiko mbele ya sanamu yako Isa 57:6
4. Uitolee zaka Hes 2:8
5. Uweke sanamu yako juu ya meza au tuseme iwepo meza Isa 65:11
6. Usujudie sanamu yako 1Fal 19:18
7. Uiinulie mikono sanamu yako Isa 44:20
8. Uichezee ngoma sanamu yako 1Fal 18:26
9. Ulale kifudifudi na kuipigia makofi sanamu yako (1Fal. 18:26).

Je Wakatoliki hamyafanyi hayo??
Usiendelee kubisha na kudanganya watu zama hizi.....

Pole sana....Nadhani hata hiyo Katekisimu huna na wala huijui...laiti ungekuwa nayo...upuuzi ulioandika ungejionea aibu mwenyewe....

Kila kitu kinachohusu Catholicism kinamaekezo yake kwenye Katekisimu....

Mkatoliki aliyekamilika anakuwa na Katekisimu yake, Biblia Takatifu ambayo haijachakachuliwa yenye vitabu 73/72
Katekisimu ndo Bible?

Tunafundishwa unyenyekevu, upole na upendo toka sunday school ila ww Mbona sioni unyenyekevu wako. Unatoa maneno yenye mauzi kwa wenzio badala ya kuekimishana
Huyo ndo zake kuchwa kutwa kukashifu Dini za wenzake tena kwa uongo sasa sijui huo ndo ukatoliki?

Nitajaribu kufupisha tu maelezo yangu.. ...
Hebu tuende kwenye mada kuu ambayo iko wazi kabisa haya ktk bandiko lako umekubaliana na maandiko kwamba tumeamriwa kuto kujifanyia sanamu ya miungu ya uwongo au kinyago chochote kilicho Mbinguni ardhini au majini ...pili tumekatazwa kuabudu hivi vinyago....
KWANZA
Wakatoliki wamechonga hayo masanamu...
PILI
Tuangalie je wanayaabudu? ...

Kuna mambo kama tisa hivi ambayo mmoja anaweza kuyafanya akiwa katika ibada ya sanamu. Mambo hayo yametajwa katika Biblia Takatifu.
1. Utoe sadaka Hos 4:13
2. Uitolee sanamu yako ubani 1 Fal 11:8
3. Ufanye tambiko mbele ya sanamu yako Isa 57:6
4. Uitolee zaka Hes 2:8
5. Uweke sanamu yako juu ya meza au tuseme iwepo meza Isa 65:11
6. Usujudie sanamu yako 1Fal 19:18
7. Uiinulie mikono sanamu yako Isa 44:20
8. Uichezee ngoma sanamu yako 1Fal 18:26
9. Ulale kifudifudi na kuipigia makofi sanamu yako (1Fal. 18:26).

Je Wakatoliki hamyafanyi hayo??
Usiendelee kubisha na kudanganya watu zama hizi.....
Tafadhali rejea post [HASHTAG]#366[/HASHTAG] natumai utaelewa kiongozi

Hiyo ndiyo Bible ya Wakatoliki.....
Hebu nenda na bible yako kanisani kama Paroko hajakufukuza
Jamaa umeamua kuburudisha jukwaa kwa kweli. Wakatoliki wanasoma biblia tena kubwa kuliko biblia za madhehebu mengine, kwa taarifa tu biblia ya kikatoliki ina jumla ya vitabu 72(biblia ya madhehebu ya kiprotestant + vitabu sita vya deutrakanoni) hivyo basi ndiyo maana wakati mwingine wakatoliki wanakua deep sana kuhusu maandiko matakatifu. Kwa msaada pitia hapa Know the Faith: The Deuterocanonical Books

Uongo upi.. .anayeruhusiwa kusoma bible ni Padre pekeyake mmetengenezewa vijitabutabu kibao....Mara Misali....katekisimu nk ili msishike bible ndiyo maana Wakatoliki hawajui bible
Usilolijua ni kama usiku wa giza. Bible zipo. Tena kuna catholics bible ambayo ina vitabu zaidi ya hii bible ya kawaida. Yaani hiyo bible unayoijua wewe vimeongezeka vitabu vingine.
Kuna kitu kinaitwa MISALE YA WAUMINI, hichi ni kitabu ambacho kimewekwa utaratibu wa ibada kulingana na kalenda ya kanisa. Pia kuna maneno ya injili ndani yake, kiufupi bible imekuwa quoted huko.
Pia Padri pale mbele anatumia biblia.

Ni kweli zamani wakatoliki walikuwa hawasomi sana biblia lakini mambo yamebadilika, biblia inasomwa kama kawa na kufafanuliwa kama madhehebu mengine ya kikristu yanayoeleweka (sio hayo yenu ya uchochoroni)

Mkuu kama mngekuwa mnasoma na kuelewa bible basi makanisa yote ya kikatoliki mngechoma au kutupilia mbali masanamu yenu yote...uwepo wa hayo madubwana ni kiashiria tosha kwamba hamjui bible

Tuache tu na masanamu yetu mkuu, kama ambavyo wewe upo huko kwenye dhehebu lako sisi wakatoliki hatukubughudhi.
Kila mtu anatafsiri biblia kwa upeo wake. Mwisho wa siku mbinguni au motoni anaenda mtu binafsi.

Poa kabisa mkuu kaa na imani yako hiyo ya masanamu...tatizo linakuja pale unapojaribu kuitetea au kutudanganya kwa kutumia kitabu kitakatifu..

Kaa kimya uone kama utabughudhiwa...

Mkuu tatizo lugha tu yaani sijasoma chochote humu
Huu Ndio Ukweli ambao Kirumi imeamua kuuachia katika kipindi hichi cha mfungo wa kwalezima

Bwana akamwambia Musa, "Tengeneza nyoka za moto, na kuliweka juu ya pole, na kila mmoja aliyeumwa, wakati yeye inaona, wataishi. " Basi Musa akafanya nyoka ya shaba ...

Hesabu 21: 8-9
Hivi karibuni tumepokea 80-ukurasa kijitabu kiitwacho "Nini Nyuma New World Order?" Ni inaweza kunachangiwa na maandiko ya Ellen G.nyeupe, mwanzilishi wa Kanisa la Waadventista Wasabato. Kwa mujibu wa kitabu hiki, Kanisa Katoliki ni nyuma New World Order. Kijitabu madai kwamba hii ni kweli, kwa kuwa Kanisa ni mnyama wa Ufunuo (Ufunuo 17). Ni majaribio ya kuthibitisha dai hili kwa kuwasababishia "alama ya mnyama." Kutokana na nafasi ndogo, malipo moja tu yatazingatiwa.hii ni malipo ya kawaida kutumika dhidi ya Kanisa Katoliki

Kwa mujibu wa kitabu hiki., moja "alama ya mnyama" ni mabadiliko ya Amri za Mungu. Kijitabu madai kwamba Kanisa Katoliki imeshuka "Amri ya Pili" ambayo inakataza "sanamu", yaani sanamu.inadaiwa Kanisa Katoliki haiungi mkono sanamu ibada.

Sasa toleo moja ya amri kumi yanaweza kupatikana katika sura ya tano ya kitabu cha Kumbukumbu (pia Kutoka 20). Kulinganisha Kumb. 5: 6-21 katika Catholic Biblia na kuwa kupatikana katika Kiprotestanti Biblia inaonyesha hakuna tofauti muhimu. maneno machache yanatofautiana lakini hiyo ni kutokana na tafsiri tofauti.Tofauti kubwa ni si maudhui lakini jinsi Wakatoliki na Waprotestanti jadi kugawanya na idadi hizi Amri. Kwa bahati mbaya Biblia unaweka Amri kumi zote pamoja bila mgawanyiko au hesabu. (Idadi aya ni hakuna msaada kwa vile wao walikuwa aliongeza kwa wasomi wa Biblia karne nyingi baada ya Kristo.)

Jadi Wakatoliki kuzingatia Kumb.5: 6-10 kama Amri ya kwanza, mstari wa 11 kama Amri ya Pili, aya 12-15 kama Amri ya Tatu na kadhalika. Mstari wa 21 umegawanyika juu katika Ninth na kumi na Amri - kubainisha hamu (tamaa) azini kutoka hamu (uchoyo) kuiba. Mpango huu mgawanyiko ilikuwa alitetea kwa St Augustine katika maandiko yake juu ya kitabu cha Kutoka. Jadi Waprotestanti kufikiria Kumb.5: 6-7 kama Amri ya kwanza, aya 8-10 kama Amri ya Pili, mstari wa 11 kama Amri ya Tatu na kadhalika. Mstari wa 21 ni agizo pamoja kama Amri kumi

Kwa mujibu wa RSV ya Biblia na Mapokeo Katoliki, Amri ya kwanza ni:.
(6) Mimi ni Bwana Mungu wako, ... ( 7) Usiwe na miungu mingine ila mimi.(8) Usifanye mwenyewe sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, au kilicho majini chini ya nchi; (9) Wala kuiabudu au kuitumikia; kwa kuwa mimi Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana maovu ya baba juu ya watoto hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao, (10) huwarehemu maelfu ya wale wanipendao na kuzishika amri zangu .[Kumb. 5: 6-10; RSV]

Mstari wa 7 inakataza kuabudu miungu mingine, wakati mistari 8-9 kukataza maamuzi ya kuchonga (kuchonga) picha kwamba itakuwa kuabudu kama Mungu, k.v. sanamu. Sasa kuabudu sanamu kwa heshima ya Mungu ni njia mojawapo ya kuabudu miungu mingine. Mstari wa 7 ni kauli ya jumla ya Amri ya kwanza, wakati mistari 8-9 kutoa kesi maalum wa Amri hii.mistari 9-10 kuwasilisha adhabu na tuzo ya kuwa ni kuhusishwa na amri hizi.
Kwa kuchanganya pamoja Kumb. 5: 6-10 katika Amri moja, Kanisa Katoliki ni watuhumiwa wa kubadilisha Amri na kufunika up amri ya Mungu inayokataza sanamu. Tuhuma ni zaidi kuchochewa wakati vitabu Catholic tu kuwasilisha fomu ya jumla ya Amri, Kumb.

5: 7, ili kuongeza kasi ya kukariri. Sasa ni lazima mtu kuuliza swali: "Je, Mungu apishe maamuzi ya sanamu, au anafanya kulaani ibada ya sanamu?" Kama Mungu inalaani ibada ya sanamu, basi Catholic mgawanyiko mpango ni haki tangu picha hizi itakuwa "miungu mingine ila" kwake. Amri tofauti msingi Kumb.5: 8-10 itakuwa redundant
Sasa kama Mungu tu inakataza maamuzi ya sanamu za kuchonga, basi kuna matatizo mahali pengine katika Biblia.. Kwanza, katika Kutoka 25: 18-21, Mungu anawaamuru Moses kufanya sanamu mbili za malaika (makerubi) kwa juu ya sanduku la agano.baadaye katika Hesabu 21:. 8-9, Mungu anawaamuru Musa kufanya nyoka ya shaba, ili watu ambao walikuwa kuumwa na nyoka inaweza kuangalia juu yake na kuponywa

Sasa ni kweli kwamba karne za baadaye mfalme Hezekia kuharibiwa yake; Hata hivyo, hatua hii ilifanyika kwa sababu watu kuabudu yake kama mungu (2 Wafalme 18: 4). Katika Injili, Yesu ikilinganishwa mwenyewe kwa nyoka ya shaba (Yohana 3:14).kuendelea katika Agano la Kale, chumba cha ndani cha Temple zilizomo sanamu mbili kubwa ya malaika kulingana na 1 Wafalme 6: 23-28. Katika aya zifuatazo, Solomon pia alikuwa kuta za nyumba yamepambwa kwa sanamu za kuchonga za malaika, mitende, na maua (1 Wafalme 6: 29ff). Wakati wa kutekwa Babeli, Ezekiel alikuwa na maono kutoka kwa Mungu kuhusu mpango wa Hekalu mpya.kulingana na Ezekiel 41: 17-25, nyumba hii mpya zilizomo sanamu za malaika na mitende. Hizi vifungu katika Biblia zinaonyesha kuwa Mungu hana kukataza maamuzi ya sanamu.kama kweli Mungu alilaani maamuzi ya sanamu katika "Amri ya Pili", basi lazima yeye alibadili mawazo yake ya baadaye katika Agano la Kale.

Kanisa Katoliki wakati wa Baraza la Trent (1545-1563) ilitoa taarifa ya wazi kuhusu picha na sanamu.kwa mujibu wa Kikao cha 25 ya hii Council Mkuu:
picha za Kristo na Bikira Mama wa Mungu, na ya watakatifu kwa kuwa alikuwa na kubakia hasa katika makanisa, na kutokana na heshima na heshima ni wapewe ; si kwamba uungu yoyote au wema ni kuamini kuwa katika wao kwa sababu ya ambayo wao ni kuabudiwa, au kwamba kitu chochote ni kuulizwa wao, au kwamba imani ni kuwa reposed katika picha, kama ilivyokuwa zamani na Mataifa, ambao waliweka matumaini yao katika sanamu; lakini kwa sababu heshima ambayo ni inavyoonekana yao ni inajulikana prototypes ambayo picha hizi kuwakilisha; ili tuweze kwa njia ya picha ambayo sisi ishara ya upendo ... au bend goti, kuabudu Kristo na wanawatukuza watu, ambao wao kuwakilisha.[Canons & amp; Amri ya Baraza la Trent (TAN Books, 1978) uk. 215-6]

Church haina kumlazimisha wanachama wake kupiga magoti au kuomba kabla ya picha. Hakuna mtu anaruhusiwa na Kanisa kumwomba picha tangu hawana masikio ya kusikia au uwezo wa kutusaidia.Church inaruhusu kwa heshima ya picha kwa muda mrefu kama heshima ni kuelekezwa kuelekea Kristo na watu wake.

Juu ya suala kuhusiana, huenda Wakristo fulani linapinga heshima ya picha za watu wa Mungu tangu wanaamini kwamba heshima ielekezwe kwa Mungu peke yake na si kuelekea Mary au watakatifu (1 Tim. 1:17).Pingamizi hii inatokana na mkanganyiko kati ya heshima ya Mungu (kuabudu - heshima kuu sahihi kwa Mungu tu) na heshima heshima sahihi kwa wanaume. Kulingana na Biblia, watu wa Mungu akainama mbele ya Mfalme Daudi kumuonyesha heshima (2 Sam 24:20;. 1 Nya 29:20;. 21:21). Obadia katika 1 Wafalme 18: 7 akaanguka kifudifudi mbele ya Eliya kuonyesha yake heshima kwa kuwa ni nabii wa Mungu.katika amri kumi, tunaambiwa kwa heshima ya mama zetu na baba (Kumb. 5:16).

Hata Yesu alitetea na walitii amri hii (Marko 7: 9-13; Luka 2:51). Angalau kwa Mary, heshima yetu na yake ni katika kuiga ya Yesu, Mwana wake (1 Kor. 11: 1). Church inaruhusu kwa ajili ya kuwatukuza mawalii na picha zao kama muda mrefu kama bado heshima sahihi kwa wanaume.ni vizuri kuheshimu watakatifu kwa ajili ya upendo wao na uaminifu kwa Mungu (Mathayo 22:. 31-32; Ebr. 11: 1-12: 1)
Kanisa Katoliki halijavuruga amri kumi za Mungu.. Church hana imeshuka "Amri ya Pili" kama kijitabu anadai.Catholic hesabu mpango yanatofautiana na Kiprotestanti hesabu mpango, lakini hii ni kutokana na tofauti katika mila na si mabadiliko ya Amri za Mungu. Kwa bahati mbaya Biblia ni wazi juu ya jinsi ya kugawanya au idadi amri kumi.kama tofauti hii ni kashfa, itakuwa ni ya kuvutia kujua nini mwandishi wa kijitabu mawazo ya Yesu Kristo wakati yeye kupunguzwa Amri za Mungu na Amri mbili kuu katika Mathayo. 22:. 36-40

Hatimaye Church madhubuti inalaani ibada (ibada) ya sanamu, picha au hata watakatifu, kwa kuwa hii ni ibada ya sanamu na moja katika ukiukaji wa amri ya kwanza.Wakristo msalaba haipaswi kuchukuliwa tu kama sanamu ya Yesu kunyongwa juu ya msalaba, lakini kama kumbukumbu ya gharama kubwa za wokovu wetu vile vile maneno yake kwetu:
"Kama mtu yeyote anataka kuwa mfuasi wangu ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake, anifuate. " [Marko 8:34]

Kuchapishwa kwa ruhusa ya
Catholic NAFIKILI KUFIKIA LEO UBISHI UTAKUWA UMEFIKIA Mwisho.
Naamini umeelewa

Hii Swahili mbofumbofu umetoa wapi???

Similar Discussions

Back
Top Bottom