Ukweli kuhusu Paulina Zongo

Watu wanahisi ni madawa tu ndio yanachosha sura na mwili...

Matumizi ya mda mrefu ya Pombe kali ni hatari sana kama hupati mlo wa kueleweka.
Upo sahihi sana. Pale Kigamboni kuna sober house maalum kwa ajili ya watu walioathirika na pombe tu.

Pia hata Bagamoyo ipo Sober house ya pombe tu.

Pombe sio chai.
 
Sasa wewe unakunywa Castle Lite za bando unajiona mlevi!!!?
Kuna watu wanakunywa Wanzuki a.k.a pombe ya asali, ukinywa hiyo barabara huvuki na suruali chini ufunge.
Sijisifii ulev...ila unanikosea heshima kuniambia nakunywa clite....ila pia wanzuki eti nayo unadai ni pombe?then pia nilisema pombe siachi...HAYA YAMEKUJAJE?NAHISI UNATATIZO NA WALEVI ...POLE MKUU..NARUDIA TENA POMBE SIACHI..
 
Kunywa tu Mkuu.

Tarehe zenyewe ndo hizi za kunywa tukujue we nani...
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom