Ni upi ukweli kuhusu Nguva (Samaki mtu)?

Mkuu Pasco ebu angalia hizi video, kwa kuwa wewe ni mtaalamu je ni halisi au zimetengezwa? kwa kuangalia huyo kiumbe aliyepo kwenye mwamba baharini na huyo anayejirusha kutoka majini na kuzama tena.



Kuna hoja ziliwahi kutolewa UFO zote ni fake!. Ila pia nimewahi kukisoma kitabu kimoja cha mwandishi
Arthur C. Clarke's World of Strange Powers
Huyu jamaa amefanya utafiti wa baadhi ya mambo ya ajabu yanayotokea duniani hapa na kushoot DVD za mambo hayo na zote ziko free online!. Hivyo ni kweli kuna mambo ya ajabu yanatokea!.

  1. Warnings from the Future – 3 April 1985
  2. Things That Go Bump in the Night – 10 April 1985
  3. From Mind to Mind – 17 April 1985
  4. Stigmata: The Wounds of Christ – 24 April 1985
  5. Ghosts, Apparitions and Haunted Houses – 1 May 1985
  6. Have We Lived Before? – 15 May 1985
  7. Fairies, Phantoms and Fantastic Photographs – 22 May 1985
  8. An Element of the Divine – 5 June 1985
  9. Walking on Fire – 12 June 1985
  10. Message from the Dead – 19 June 1985
  11. The Roots of Evil – 26 June 1985
  12. Metal Bending, Magic and Mind Over Matter – 3 July 1985
  13. Strange Powers: The Verdict – 10 July 1985
Pasco
 
Mkuu Kaka Kiiza, kwa vile tuu dunia nzima wamedanganyika na wewe unajikubali kuendelea kudanganyika hata baada ya kuelezwa ukweli kuwa kitu kama hicho hakipo!.

Ila pia sishangai kwa watu kuendelea kudanganyika kwa mengi, mfano kuna uongo mkubwa kuwa Mungu yuko Mmbinguni ambako ni mawinguni!. Mungu hakai mbinguni, Mungu yupo hapa hapa dunuini, yuko ndani yako na ndani ya kila mtu!. Mbinguni, peponi na motoni kote ni hapa hapa duniani, sio mawinguni, sio peponi na wala sio juu!.

Endelea kuuamini uongo huo as long as roho yako, moyo wako na nafsi yako imeamini huo ndio ukweli weko, then amini unachoamini ili roho yako itulie!.

Asante.

Pasco
Unamkataza asiseme nini halafu na na wewe unaandika nini! Utumbo juu ya utumbo.

Ukosefu wa Elimu ni Balaa.
 
Ukijipa muda wa kutosha kutafuta ukweli utachagua kuamini au kutoamini. ..ni muhimu sana hili
Na kiutafiti wanasayansi watafiti wa viumbe vya bahari hadi sasa wanasema wameweza kugundua viumbe vya baharini kwa 10% kwa hiyo 90% bado imejificha kwa hiyo bado kuna viumbe vingi sana havijajulikana hadi sasa.
 
Hyo ni sanamu na imeshawahi kuonyeshwa kwenye "JE WAJUA" ya Clouds 360 na ilitolewa maelezo mengi.
 
Hoja yake bado kujibiwa. Kama juu ana umbo la binadamu anavutaje hewa? Anakula niini? Mbona taarifa zaokama sirifulani.
 
MYTH! MYTH! TALES! TALES TO TELL! MHH AMA NI YULE NGUVA WA PIRATES OF THE CARREBEAN WA JACK SPARROW HA HA HA! WALIMBEBA KATIKA BOX LA GLASS LA MAJI KATIKA SAFARI YAO? I LOVE JACK SPARROW!
 
Kama zile hadithi kama sikosei za ESSOPO ambaye alisafiri na kufika katika nchi ya vimtu vidogo kama sisismizi.
Lakini pia katika safari zake alifika katika nchi ambapo alikutana na mijitu mikubwa ambayo ilikuwa inamuona kama sisismizi yaani hata Panya wao walikuwa wakubwa kama simba............LOL

watu wasije sema nchi hizo zipo jamani, ni hadithi za kufikirika kama ilivyo hadithi ya Nguva....................
Gravel's travel
 
Wadau anahitaji jibu nguva ni kiumbe wa kufikira kulingana na hekaya za zamani naungana na mtoa post na ongezea hoja kama kichoweza kusapoti lite oksjen ni gills yeye anampafu pili anaongea? Nakama lugha yao ikoje
 
15337507_208919886222178_226563823131015087_n.jpg


LEO ACHA TUJADILI KUHUSU HILI (UWEPO WA SAMAKI MTU).......ni kwa miaka miaka mingi sasa Dunian kote kumekua na hadithi juu ya uwepo wa samaki mtu..huku wengine wakisema kuwa NGUVA ndio samaki mtu lakin baadhi ya watalamu wa viumbe wa majini wanapinga hilo kwa kusema kuwa NGUVA SIO SAMAKI MTU..licha ya kuwa baadhi ya watu na wanasayansi wanapinga kuwepo kwa samaki mtu na kusema kuwa hizo ni hadithi za kusadikika (myth).,baadhi ya maeneo kama fukwe za ISRAEL NA GERMANY ziliweza kujipatia idadi kubwa sana ya watalii kutoka sehemu mbalimbali za dunia baada ya kuaminika kuwa samaki watu kuonekana maeneo hayo.,huku kwetu watu wengne wanasema kuwa wamewahi kuwaona samaki watu lakni ni katika mazingira tata sana kiasi kwamba ina kuwa ni ngumu sana kuaminika na watu juu ya walichokiona..HAYA NIJE KWAKO MDAU..WEWE UNA AMINI KUWA SAMAKI WATU WAPO??
15241998_208920376222129_8254784420492813636_n.jpg


15203363_208920892888744_4617272966627371530_n.jpg


SOURCE : CHRISTMASS CHRISTOPHER , TANURU LA FIKRA
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom