Ukweli kuhusu mkoa wa Dodoma

Forrest Gump

JF-Expert Member
Jul 2, 2021
583
1,266
Natumaini kuna wenzangu wengi hatujawahi kufika Dodoma, wengine tunapita tu kama highway ya kwenda kwengine.

Tumesikia hype kubwa juu ya huu mji tangu Hayati JPM aupe kipao mbele.

Je, ni kweli idadi ya watu imeongezeka maradufu kupelekea ujenzi mkubwa wa makazi na uhitaji wa budhaa na huduma?

Je, ni kweli kwa sasa mji umechangamka kibishiara maradufu na kuongezeka kwa fursa mbali mbali ?

Je, miundombinu imeiamarika (au inamarishwa) kwa namna ya kusaidia ukuaji wa mji na shughuli za uchumi?
 
Natumaini kuna wenzangu wengi hatujawahi kufika Dodoma, wengine tunapita tu kama highway ya kwenda kwengine.

Tumesikia hype kubwa juu ya huu mji tangu hayati JPM aupe kipao mbele.

Je ni kweli idadi ya watu imeongezeka maradufu kupelekea ujenzi mkubwa wa makazi na uhitaji wa budhaa na huduma?

Je ni kweli kwa sasa mji umechangamka kibishiara maradufu na kuongezeka kwa fursa mbali mbali ?

Je miundombinu imeiamarika (au inamarishwa) kwa namna ya kusaidia ukuaji wa mji na shughuli za uchumi?
Mm nilifika dodoma kwa mara kwanza mwezi wa 8, kiukweli mji umechangamka mbayaaaa yaan mwenjeji wangu alinitembeza maeneo machache lkn nilikubali mji ulistahili hadhibya Jiji

Watu kibaoooo, nilibahatika pia kuingia club zao za liquid na Bambalaga ...hapo Bambalaga sio mchezoooo
 
Dodoma ya sasa siyo kama ya zamani.
Chamwino ya leo inasonga mbele
 
Mm nilifika dodoma kwa mara kwanza mwezi wa 8, kiukweli mji umechangamka mbayaaaa yaan mwenjeji wangu alinitembeza maeneo machache lkn nilikubali mji ulistahili hadhibya Jiji

Watu kibaoooo, nilibahatika pia kuingia club zao za liquid na Bambalaga ...hapo Bambalaga sio mchezoooo
Movement za watu nazo zimechangamka na vibishiara hapa na pale?
 
Kiujumla jiji la Dodoma limepanuka na kuchangamka sana, bahati mbaya sana toka Magufuli afariki dunia na Samia kuingia madarakani kasi ya kukua na kuchangamka imedorora sana, baadhi ya wafanyabiashara waliowekeza Dodoma wameanza kuvuna hasara na wengine wameshaanza kuondoa mitaji yao.

Kwa ushauri wangu kwa mtu anayetaka kwenda kuwekeza Dodoma kwa sasa ni vyema akatafakari upya, hali kwa sasa ni fifty fifty sana.
 
Natumaini kuna wenzangu wengi hatujawahi kufika Dodoma, wengine tunapita tu kama highway ya kwenda kwengine.

Tumesikia hype kubwa juu ya huu mji tangu hayati JPM aupe kipao mbele.

Je ni kweli idadi ya watu imeongezeka maradufu kupelekea ujenzi mkubwa wa makazi na uhitaji wa budhaa na huduma?

Je ni kweli kwa sasa mji umechangamka kibishiara maradufu na kuongezeka kwa fursa mbali mbali ?

Je miundombinu imeiamarika (au inamarishwa) kwa namna ya kusaidia ukuaji wa mji na shughuli za uchumi?
Mbona siuoni ukweli zaidi ya kutuuliza maswali! Au utauleta ukweli baada ya hafutaimu.
 
Vipi kasi ya upandaji miti, maana uwekezaji mkubwa unatakiwa kubadili hali ya hewa ya jiji hilo kuondoa hali ya jangwa.....
 
Back
Top Bottom