Ukweli kuhusu kuunguzwa soko kuu la Songea mwaka 2002

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
najua kuna wanaojua...na wanajua kuwa huu ulikuwa ni mchezo kwa ajili ya maslahi ya watu kadhaa, nakuomba tuambie ukweli, hautadhurika kwasababu ishu yenyewe ya kitambo sana. Karibu.
 
Nakumbuka nilikuwepo songea miaka iyo bt kama uliunguliwa na kibanda pole sana, pia thnx kwa kunikumbusha miaka ya ile
 
Nakumbuka nilikuwepo songea miaka iyo bt kama uliunguliwa na kibanda pole sana, pia thnx kwa kunikumbusha miaka ya ile
 
mmh,jk usingeondoka na huyu kama alivyoondoka nae yule bibi mfia alshabab
 
Back
Top Bottom