Ukweli kuhusu kununua bidhaa kupitia Kikuu Platform kwa sasa

Niliagiza memory card yenye ukubwa wa GB 126 lakini uhalisia ilikua na GB 30 bidhaa nyingi zinazopatikana kikuu hazina ubora. Ila binafsi bidhaa nyingi nilizoagiza nimeridhishwa nazo japo hazina viwango ila kwa kiasi fulani naridhika nazo.
 
nimetumia kikuu miaka mingi kuagiza na kufika fresh saiv nimeacha baada ya kugundua kua bei zao zipo juu sna kuliko zaman...yaani saiv ni heri ununue hapa hapa tu madukani utapata cheap kuliko kuagiza kwa kikuu
 
Back
Top Bottom