Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,517
- 30,580
Kweli, huyo alikuwa na business nyingine aliyotaka kuiptomote kupitia machungwaNi kweli mkuu,mchungwa wa miaka 3 hata machungwa 10 ni bahati mno,kiukweli yanaanzaga machache sema tu ukichuma kwa ujumla shamba zima la ekari 1 au 2 ndio yaweza fika 600 au 1000 kutokana na ukubwa na wingi wa miti.