"Ukweli" kuhusu kifo cha RPC Barlow ni huu hapa...

dorothy ni mjane na barlow mkewe yupo dar ukonga, so ukame umemponza.
 

MY Take:
Mme wa mama yule amekuwa akilalamika kuwa analiwa mali yake
Mkuu mbona huyu mama ni mjane?inasemekana mume wake alikuwa anafanya kazi TRA na alifariki mwaka 1997,je hii unaiongeleaje[source:gazeti la mwananchi la tarehe 14/10/2012]?
 
Nivea, ukiongea lugha isiyoeleka na wengi humu JF ni sawa na bubu kumnong'oneza kipofu kuhusu taarifa muhimu...ni Angalizo tu na ongera kwa kujaribu kujifunza kidachi .
asante kwa angalizo si umeona wengi wameelewa nakureply ,tatizo hii keyboard ni ya kijerumani so its easy to type kideustch than english ,sorry if it bored you,
 
nadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??

Mmmh Wauaji wanatumiaje silaha ya kamanda wakati kamanda alikuwa garini na walikuwa wakiongea wakati kamanda ameshusha kioo cha gari yake?
 
asante kwa angalizo si umeona wengi wameelewa nakureply ,tatizo hii keyboard ni ya kijerumani so its easy to type kideustch than english ,sorry if it bored you,

Hello Nivea usitie shaka ..waweza taipu kwa maneno ya kiswahili au ndo ushaanza kukisahau? Waweza nunua tarakishi nyingine hapo Rotterdam au Maastritch itategemea hupo mji gani...just kidding...si unajua hapa JF, tunathubutu kuongea kwa uwazi...nakutakia kheri!
 
MUNGU atusaidie nini kumbe dada? Kama ni kweli ni uzunzi basi ni sisi wenyewe
Huyu kaaacha mkewe na watoto ndani ya nyumba na kuhangaika na kiburudisho kingine
Wakati mwanamke kaacha mmewe ndani na kwenda kuhangaika na Kamanda
Mungu tusaidie..
 
Uzinzi huwa ni mojawapo ya vifo vingi sana! haya ndo malipo yenyewe ya hapa hapa duniani!
 
mbona povu tena mtoa mada anasema imekuwa ni kawida yake kumrudisha mida hiyo ya usiku, na kama ni uhusiano ni wa muda mrefu , na huyo demu unaambiwa ni wa mtu hivyo nina imani huyo mlinzi licha ya kutumika kama mlizi vilevile alikuwa anatumika kama kuwadi kwa hivyo swala la demu kuwa na namba ya mlinzi sio la kutilia shaka

Unasemaje?? eti "uhusiano wa muda mrefu?" MY FOOT!! - Kama ndio hivyo kwa nini bwana mdogo aliye fungua GETI alisema the victim's face ilikuwa ni ngeni kwake - sasa ili la kusema alikuwa na kawaida ya kumrudisha mida ya usiku una ukweli GANI?

Kitu kingine, nakushauri ujaribu kutumia lugha ya staha unapo address watu ambao huwajuhi vizuri - unawezaje kusema binadamu mwenzako anatoa povu badala ya maneno, usifikili tunashindwa ku-retaliate - hatutaki tu ku-stoop so LOW.
 
Wafe tu wasio na huruma hawa kwani wao walishamuonea nani huruma?auwaye kwa upanga naye hufa kwa upanga!!Hautufurahii kifo ila inaonesha mungu wa maskini anajibu mapigo dhidi ya wanyonge raia wa nchi wanauawa na polisi kila uchao
 
Bongo bwana, kila mtu mwenye silaha anaitwa jambazi. Ilikuwa inaulazima gani hao wauaji waanze kushukiwa kuwa ni majambazi ilhali hakuna cha maana walichoiba?
Na majambazi wengi wanafahamiana na polisi na sio rahisi kwa majambazi kuanzisha vita na polisi.
Ingekuwa ni majambazi kweli basi ungeshasikia kuna watu kadhaa wanashikiliwa kwa upelelezi zaidi ila mpaka sasa ni huyo anayeitwa dada wa marehemu ndio anaisaidia polisi.

POLE KWA FAMILIA YA MAREHEMU ILA SIO KWA JESHI LA POLISI. NAO WAONE MAUMIVU YA WATANZANIA WENGI WANAOUWA BILA HATIA TENA NA POLISI
 
Nashindwa kuelewa kama kuna ANY CONNECTION KATI YA YALE YALIYOTOKEA IJUMAA MWANZA AMBAPO BWANA BUCHAFWE AFISA UHAMIAJI HUYU ALIPONUSURIKA KUUWA NA MAPOLISI AMBAO WALIKUWA WANAJULIKANA KABISA NA MTUHUMIWA HUYU...CHA AJABU BARLOW ALIPOULIZWA ALISEMA MAPOLISI WAKE WALIKUWA WAMEMCHANGANYA HUYU BWANA NA JAMBAZI..MIND YOU, POLISI MMOJA WAPO MWENYE JINA LA ABUU ALIKUWA NA BASTOLA MBILI MWINGINE SMG...HUYU JAMAA KUKIMBIA BADO AKAMIMINIWA RISASI NA ALIPOMWELEZA MKUU WAKE WA KAZI AMBAE ALIMUULIZA BARLOW KUHUSU HILO TUKIO.MAREHEMU KWA UJASIRI KABISA AKASEMA HATUCHEZI NA MAJAMBAZI TUNAWAMALIZA KABISA....SASA JE,KAMA NDIO HIVYO,KUNA UWEZEKANO MWENYE MALI ALIKUWA AMALIZWE ILI KAMANDA AENDELEE NA MCHEZO WAKE ILA MAMBO HAYAKUFANIKIWA IKAISHIWA YEYE KUGEUZIWA MCHEZO?????????????
 
Polisi jamii huwa ni Migambo,na RPC ni Boss wao,lazima walikuwa wanamjua.
Na wewe RPC kuzurura zurura usiku,huna wasaidizi na unajijua wewe ni most wanted kwa UMAKINI WAKO WA KUDHIBITI WAHALIFU KUMEKUPONZA.
Na kama ulikuwa na Mke wa Mtu mnakula bata mkiwa 2,ndo maana wamekuwinda kirahisi...
 
Kumbe ndio maana alimtetea yule polisi mwizi wa afisa uhamiaji, inaonekana kuna kamtandao ka kuiba wake za watu ndani ya geshi la bolish.

Yeye RPC ndiye alikuwa mmiliki wa yule mke wa Afisa uhamiaji. Huyo mwalimu Doroth,,,,,,, wala sio askari mwingine kama ilivyosemwa................sasa hapo unga stori utaelewa movie ikoje...........
JF patamu kweli.........
 
napata maswali mengi kuliko majibu! Rco alitaka kumuua afisa wa uhamiaji. Huyo Rco anatuhumiwa kutembea na mke wa afisa huyo. Rpc ameuawa akiwa na mke wa mtu! Inamaana viongozi wa jeshi la polisi huko mwz wanakula wake za watu freely? Hawana wake zao? Vp polisi wadogo?

Hujaelewa movie ilivyokuwa ikichezwa. Stealing alikuwa RPC na RCO alikuwa character.........angalia movie vizuri utaielewa......
 
Ukweli ni kwamba ,kamanda alikuwa anatoka Florida hotel kwenye kikao cha harusi ya mjomba yake .....na huyo teacher anaitwa DOREEN LYIMO na inavyosemekana ni moto chini na ni kawaida yake kurudi saa hizo.
Marire Na huyu teacher Doreen Lyimo ana uhusiano wowote au aliwahi kuwa na uhusiano wowote na yule Afisa uahamiaji aliyemwagiwa risasi na polisi? movie inaendelea!!!
 
Last edited by a moderator:
nadhani hii ni information ya uhakika... kuhusu polisi jamii wapo wengi sana mwanza..tena inaonekana vijana hao walitumia bunduki ya kamanda na kummaliza papo papo....ila ninachojiuliza kama kweli walitumwa why walimuacha huyo jike hai??
Hivi kama ni polisi jamii kwani hilo eneo si linauongozi wa mtaa na kama uongozi wa mtaa upo hao polisi jamii waliokuwa lindo siku hiyo si wanajulikana kwa uongozi wa mtaa kwa nini wasichukuliwe hatua hao polisi jamii?Je polisi jamii huwaga wanakabidhiwa bastola au bunduki?tangu lini?
 
He! Manumba anasema watalipa kisasi.............................kumbe steling bado hajafaaaaaaa..........
 
Back
Top Bottom