Ukweli kuhusu kifo cha Adolf Hitler

Hittler ni kama nimewahi kumuona Bukene wilaya ya Nzega Tabora.ana mashine ya kusaga kule kijijini
 
Mi nasikia alikwenda zake argentina akala bata zake huko.mpk akazeeka akafa kifo cha kawaida
 
Wewe ni mpuuzi gani usiyejua kutamka wala kuandika Hitler? Hitra ndio nani au mjombako wa Mugumu?
Sidhani kama spelling za hilo jina ni kitu muhimu... hata mnyakyusa akiongea hapa hutaweza andika kwa ufasaha...

Kama tumemuelewa tunarekebisha alipokosea then tunajadili kinachoeleweka
 
Kuna story zingine zinasema Adolf Hitler alifanikiwa kutoroka na shehena kubwa ya dhahabu yuko hai Brazil mafichoni
ef28e27f3c1d5e566cf8b8679d5385dd.jpg
Labda kama ni jiwe!! Hawezi kuwa hai mpaka leo
 
Hitle aliuwawa nazani na dereva wake yeye hitle mwenyewe alitoa instructions na mwili wake ukachomwa moto badae warusi walikuja kuupata wakausafirisha kwa siri mpaka kwao alikufa yeye mkewe pamoja na watoto wake
asante mkuuu.....
 
samahani
Wewe ni mpuuzi gani usiyejua kutamka wala kuandika Hitler? Hitra ndio nani au mjombako wa Mugumu?
mkuu, kukosea huwa kupo tu haimaanishi kila anayekosea basi ni mpuuzi. Najua unajua ndo maana umejweza kunirekebisha lakini pia huwezi ukawa wajua kila kitu, na kwakuwa kuna vitu usivyovijua kwa hekima na ustaarabu wangu siwezi nikakuita mpuuzi
 
Sidhani kama spelling za hilo jina ni kitu muhimu... hata mnyakyusa akiongea hapa hutaweza andika kwa ufasaha...

Kama tumemuelewa tunarekebisha alipokosea then tunajadili kinachoeleweka
Nashukuru kwa hekima na busara zako
 
Hitle aliuwawa nazani na dereva wake yeye hitle mwenyewe alitoa instructions na mwili wake ukachomwa moto badae warusi walikuja kuupata wakausafirisha kwa siri mpaka kwao alikufa yeye mkewe pamoja na watoto wake

Hitler hakuwa na mtoto!
 
Hitle aliuwawa nazani na dereva wake yeye hitle mwenyewe alitoa instructions na mwili wake ukachomwa moto badae warusi walikuja kuupata wakausafirisha kwa siri mpaka kwao alikufa yeye mkewe pamoja na watoto wake
Hitle huyu si mwanzilishi wa snap chat aah dada au ulikua unamkusudia yule mmatumbi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom