MAKOSHNELI
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 930
- 1,552
1.Ni utaratibu aliojiwekea yeye mwenyewe Mungu mwenyewe kwa watu woote aliowaumba kawawekea namna ya kuwa na uhusiano naye ndio kwa njia hiyo ya utakaso,Hafanyi kumfurahisha mtu yoyote anafanya apendavyo yeye1.Mungu anatakasa ili kumfurahisha nani wakati moto ni wake na mbingu ni yake ?
2.Nje ya damu huwezo wa Mungu kutakasa haupo ?
2.Ngoja tuone biblia inasemaje kama tunaweza kutakasika nje na damu ya Yesu,Efeso 1:7("Katika yeye huyo, kwa damu yake, tunao ukombozi wetu, masamaha ya dhambi, sawasawa na wingi wa neema yake") 1Yohana 1:7 (bali tukienenda nuruni, kama yeye alivyo katika nuru, twashirikiana sisi kwa sisi, na damu yake Yesu, Mwana wake, yatusafisha dhambi yote)
Wagalatia 3:13,Waefeso 1:7,wakolosai 2:15 ....
Vitabu vyoote hapo juu vinasema tunatakasika kwa damu ya yesu hakuna hata mahali kwenye biblia panasema tunaweza kutakasika nje ya damu ya yesu,kama wewe una andiko lolote ndani ya biblia linalosema tunaweza kutakasika nje ya damu ya Yesu liweke hapa,kama huna Basi amini katika utakaso wa damu ya Yesu