dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,038
- 3,124
Sasa kama mtu kazaliwa kwenye familia yenye uwezo atakuwa likely kufanikiwa kwenye nini? nakati mtu huyo tayari kazaliwa kwenye mfumo wa mafanikioYuko correct sana. Mtu aliyezaliwa kwenye familia yenye uwezo yuko most likely kufanikiwa. Ndiyo maana wao watu wengi kwenye nchi za Afrika, wana uwezo mkubwa wa akili, lakini hawakuwa na uwezo wa fedha wa kujiendeleza kimasomo au kibiashara.