Ukweli kuhusu formula ya maisha na mafanikio

Mr simple M

JF-Expert Member
Sep 18, 2020
2,069
4,294
Nimekuwa nikisikia na kusoma hoja na mijadala mbalimbali hapa JF na kwa mara great thinker wengine mbalimbali kuhusu formula ya maisha watu wakidai maisha hayana formula ni bahati tu ya mtu wengine wakidai juhudi na bidii ndio formula ya maisha na wengine wakaenda mbali zaidi na kusema maisha ni akili ukiwa na akili we umetoboa lakini wa watu tumetumia hizo vitu na bado tuna angukia pua wakaja watu wa motivation na swaga zao tukaishia kutapeliwa fedha zetu bure kumbe ss ndo tulikuwa fursa inauma sana mjomba na shangazi

Mimi kama saile thinker licha ya kuwa na umri mdogo nikaamua kufanya research maana pia natamani mafanikio katika research yangu nimegundua na kuja formula yangu iliyo kwisha kuzaa matunda kwa wengi nilio watonya formula ya kufanikiwa ni
A
1.spritual power(nguvu ya kiroho)
2.intellect (akili)
3.hard work (juhudi)
Na sio
B
1.intellect
2.Hard work
3.spritual

C
Wala et
1.hard work
2.sprtual
3.intellect

Kama vilivyo pangwa apo kwenye kundi A ndivyo 1 ad 3 ndivyo vipewe kipau mbele kuringa na nafasi yake

Sasa tunafeli wapi watu na deal na kimoja wapo tu badala ya vyote kwa pamoja mfano mtu ana komaa na juhudi au akili au spritul tu yaani kusali sana au kuroga sana tu badala ya. vyote kwa pamoja

Hapo kudeal na juhudi ni rahisi inshu ni kudeal na spritual then akili apa ndio wabongo na wengi duniani tunachemka

Ila nakuhakikishia ukiweza kudeal na vyote hapo kila usahihi hakika unatoboa na hiyo ndio life formula

Asante

Uliza chochote npo kukujibu

Saile thinker

Alaf naomba niweke sawa hapa watu mnashindwa kuelewa nini maana ya spritual power hii sio dini wala kutenda mema isipo kuwa ni nguvu binafsi unayo kuwa wewe kama wewe hii haiusian na dini wala waganga ni nature sasa mafanikio yanaendana na status yako ya kiroho kwa wakati huo wengi huita nyota sasa unaweza zaliwa ikiwa strong moja kwa moja apa kila unachogusa ni tick ila some time unazaliwa tayari upo weak apa utakomaa mpaka huruma lkn wap

Vile vile unaweza zaliwa Strong baadae ukajichanganya ikawa weak automatically au kuzaliwa weak ila ikafika time ikawa strong any way in case of umekua weak spritual hapa ndio ndio lazma utafute msaada wa kuwa strong aither kwa Mungu au unakojua we na kama ni kwa Mungu basi na usali kweli kweli narudia na usali kweli kweli muda huo bila kusahau intellect and hard work usije ukajisahau ukaegemea kimoja tu utatoka kapa fanya kila mmoja kwa nafasi yake

NB. Watu wengi tunadli na kimoja tu badala vitatu vyote apa ndo tunakosea lingine lmekomaa kusali tu utaishia kusema Mungu hayupo Lingine linafikiria tu utabaki na idea zako kichwani Lingine limekomaa ku work hard mpka utazeeka

Anza kucheza na vyote leo uone

The one who stand for nothing will fall for anything
 
1.spritual power(nguvu ya kiroho)

2.intellect (akili)

3.hard work (juhudi)

Naunga mkono hapo kwenye namba 1 ndio kwenye kila kitu hapa Duniani

Wakina Coded waje hapa tu coded maana bila kupata code hutoboi.....kwenye really word

meditation inahusika hapo jicho la tatu nk...

Kuna mzee aliwahi kuniambia kwamba unapotaka kujifunza haya mambo uwe na monitor wakukusiamia na kukushauri bila ivyo unaweza kutengeneza mvutano wa nafsi imani imebebwa hapo

bila imani uwezi kufanikiwa Mungu yupo......
 
Mleta mada, una akili Sana halafu umevunja minyororo ya utumwa wa akili.

Natamani nikupe zawadi ya kitabu.

Anyway, Mimi pia Nina formula yangu ambayo nimepanga kukomaa nayo na Nina imani 100% itakifikisha mbali. Formula yngu ipo kwenye symbol,nikiamua niiweke kwa mfumo wa symbol kwa sababu..
1 kuficha maana kwa mtu mwingine yeyote
2 symbol inaniongezea vibration
 
NNinaamini % kubwa hatuelewi maana ya JIUHUDI( Hard work)

Naomba nifafanue kidogo.

1 Intellect Ni ule uwezo wa ku-imagine kitu au jambo unalotaka kufanikisha, halafu unalichambua, unali-analyze HALAFU UNAKUJA NA STRATEGIES (To be implemented daily)

2 HARD WORKING Ni ile nidhamu ya KU-IMPLIMENT KILA SIKU ZILE STRATEGIES ulizoseti kule kwenye INTELLECT (afe kipa afe beki lazima kila siku utimize strategies).

HARD WORKING sio kujituma tu kufanya kazi.

MY DEFINITION OF HARD WORKING

"IS THE DAILY IMPLIMENTATION OF THE TRATEGIES YOU SET"
 
Yote uliyoandika yote hapo hayana maana mafanikio ni bahati nasibu! Isipotokea kwako itatokea kwa mwingine.

Ingawa mafanikio yana tafsri pana,na kila moja anaweza kukuuliza una manisha MTU kufanikiwa katika nyanja IPI?? lakini site tunakubaliano haijalishi ni kwenye nyanja gani mwisho wa Siku yatatafsiriwa katika fedha na furaha.

Hivyo basi katika uchumi njia kuu za MTU kuwa tajiri ni 3 ambazo ni bahati,Jitihada na akili.katika hizo bahati inachangia 90%.

Chukulia mfano mtu aliyezaliwa katika familia tajiri,sio rahisi MTU huyu kuwa masikini,hivyo uwezekano wa yeye kufanikiwa ni 98% kuliko yule aliyezaliwa katika familia masikini.

Angalia mfano mwingine wa Magufuli vs Lissu katika mchanganuo ulioutoa hapo juu lissu anamzidi kila kitu magufuli,akili-jitihada-na kiroho but ukweli usiopingika kimafanikio Magufuli kamzidi Lissu.
 
Before light was created, the whole world was covered with darkness.
Can't escape from darkness because it is our nature and is within us all.
Everything in nature is balanced in darkness and light

So, you should not be afraid of darkness, rather you should learn how to balance darkness and light.
 
Mkuu we
Mleta mada, una akili Sana halafu umevunja minyororo ya utumwa wa akili.

Natamani nikupe zawadi ya kitabu.

Anyway, Mimi pia Nina formula yangu ambayo nimepanga kukomaa nayo na Nina imani 100% itakifikisha mbali. Formula yngu ipo kwenye symbol,nikiamua niiweke kwa mfumo wa symbol kwa sababu..
1 kuficha maana kwa mtu mwingine yeyote
2 symbol inaniongezea vib

Kiongozi naona umenipoteza nilitegemea full overview about Soul n Intellect kisha ningekuuliza kitu. Anyway shuktani
According to mi akili ndo controller mkuu ila soul ndo ina power and magnet so baada ya kuamua au kuwaza kitu soul ndo ita bless or not apo nadhan umeanza npata vzur unaposema soul tayr umegusa spritual
 
Yote uliyoandika yote hapo hayana maana mafanikio ni bahati nasibu! Isipotokea kwako itatokea kwa mwingine.

Ingawa mafanikio yana tafsri pana,na kila moja anaweza kukuuliza una manisha MTU kufanikiwa katika nyanja IPI?? lakini site tunakubaliano haijalishi ni kwenye nyanja gani mwisho wa Siku yatatafsiriwa katika fedha na furaha.

Hivyo basi katika uchumi njia kuu za MTU kuwa tajiri ni 3 ambazo ni bahati,Jitihada na akili.katika hizo bahati inachangia 90%.

Chukulia mfano mtu aliyezaliwa katika familia tajiri,sio rahisi MTU huyu kuwa masikini,hivyo uwezekano wa yeye kufanikiwa ni 98% kuliko yule aliyezaliwa katika familia masikini.

Angalia mfano mwingine wa Magufuli vs Lissu katika mchanganuo ulioutoa hapo juu lissu anamzidi kila kitu magufuli,akili-jitihada-na kiroho but ukweli usiopingika kimafanikio Magufuli kamzidi Lissu.
I always thought you were intelligent, but nuh! Success is what you really get when you wisely subdue unreasonable cowardice. Every person has equal chance of success.
 
Mkuu we

According to mi akili ndo controller mkuu ila soul ndo ina power and magnet so baada ya kuamua au kuwaza kitu soul ndo ita bless or not apo nadhan umeanza npata vzur unaposema soul tayr umegusa spritual
Our spirit is actually akili that has been predisposed to supernatural being -- God ama Devil
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom