Rockefeller
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,196
- 2,151
Habari mazee,
Leo nilikua nataka chapiana na nyie kuhusu mchongo mmoja ivi.
Seriously: Naomba kujuzwa juu ya kusoma diploma in clinical medicine kenya kwa mwanafunzi aliemaliza o level Tanzania na ni mTanzania pia. Je ni sifa gani anahitaji kua nazo ili asome, collages zinazotoa hio course, gharama za masomo na maisha, N.K
Pia kwa aliemaliza diploma in Clinical medicine Tz, Je anaweza ku upgrade to degree Kenya?
Na mwenye cheti cha Clinical assistant from Tz anaweza upgrade to diploma in clinical medicine Kenya?
Ni hayo tu ndugu zangu,
Nawasilisha.