Ukweli kuhusu Diploma in Clinical Medicine na MBBS Kenya

Rockefeller

JF-Expert Member
Nov 21, 2016
1,196
2,151
Habari mazee,

Leo nilikua nataka chapiana na nyie kuhusu mchongo mmoja ivi.

Seriously: Naomba kujuzwa juu ya kusoma diploma in clinical medicine kenya kwa mwanafunzi aliemaliza o level Tanzania na ni mTanzania pia. Je ni sifa gani anahitaji kua nazo ili asome, collages zinazotoa hio course, gharama za masomo na maisha, N.K

Pia kwa aliemaliza diploma in Clinical medicine Tz, Je anaweza ku upgrade to degree Kenya?

Na mwenye cheti cha Clinical assistant from Tz anaweza upgrade to diploma in clinical medicine Kenya?

Ni hayo tu ndugu zangu,

Nawasilisha.
 
Kwanza sahau MBBch. Hiyo lazima upate A on average. Clinical medicine unaweza kufanya ukiwa na C+ and above. Hiyo utaifanya KMTC. Nenda google Kmtc kisha apply ukipenda ila sijui kama wanaadnit Watanzania
 
Kwann kenya?Kasome uchina,urusi nk
Hao wanaangalia zaidi form four uwe na pass katika core subjects kuanzia grade c na kuendelea walau 5

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Admission pale KMTC ni kizungumkuti. Kuna wakenya wengi huwa wanaachwa nje, kisa applicants huwa ni wengi sana. Ila ni vyema pia akijaribu maanake labda wana quota ya wenyeji wa Afrika Mashariki na watu kutoka sehemu zingine barani Afrika.
 
Asante kwa mchango wako mkuu
 
Kwann kenya?Kasome uchina,urusi nk
Hao wanaangalia zaidi form four uwe na pass katika core subjects kuanzia grade c na kuendelea walau 5

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Inawezekana kwa mtu aliepitia diploma na bila a level?? Na kwa mtu wa form 4 kunakua na foundation course au diploma uko ambayo baadae ndo uta upgrade to degree?
 
Admission pale KMTC ni kizungumkuti. Kuna wakenya wengi huwa wanaachwa nje, kisa applicants huwa ni wengi sana. Ila ni vyema pia akijaribu maanake labda wana quota ya wenyeji wa Afrika Mashariki na watu kutoka sehemu zingine barani Afrika.
Asante mkuu kwa mchango wako.
 
Kwanza sahau MBBch. Hiyo lazima upate A on average. Clinical medicine unaweza kufanya ukiwa na C+ and above. Hiyo utaifanya KMTC. Nenda google Kmtc kisha apply ukipenda ila sijui kama wanaadnit Watanzania
I think A plain is for gvt sponsered students...Self sponsered students B+ ndio minimum.
 
kama ni through kenya medical training college ingia kwenye portal yao KMTC PORTAL
alf fatilia, under foreign students joining instructions utapata maelezo freshiii, raia wengi wa kigeni wapoo mlee frm drc, ethiopia na somaliaa..
pia cheki website za university zinazo offer diploma na degree za clinical medicine zipo nyingi tuuu...kama vile mountkenya university, kisii univeesity, kabarak university, kabianga university..egerton university na kisiivuni..watz wengii tuu kuleee..toka mkoani mara wengi waoo!👍🏼😀
 
kama ni through kenya medical training college ingia kwenye portal yao KMTC PORTAL
alf fatilia, under foreign students joining instructions utapata maelezo freshiii, raia wengi wa kigeni wapoo mlee frm drc, ethiopia na somaliaa..
pia cheki website za university zinazo offer diploma na degree za clinical medicine zipo nyingi tuuu...kama vile mountkenya university, kisii univeesity, kabarak university, kabianga university..egerton university na kisiivuni..watz wengii tuu kuleee..toka mkoani mara wengi waoo!
Asante mkuu kwa mchango wako ngoja nifanye hivyo.
 
Back
Top Bottom