Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

Mleta mada analeta mada ya kipumbavu kakaa kwa kufikiria upumbavu wake kisha akaleta hapa jukwaani analeta hoja pasipo na una ushahid wowote ndio maana nikamjibu analeta hoja za Ki Shetani na mimi nimemjibu kishetani shetani anasema hivi Mungu ni wewe mwenyewe iweje wewe binadamu ugeuke kuwa mungu? kwani mungu anakufa? kama wanavyokufa bindamu? mleta hoja hafikirii kitu cha kusema mpaka akaamuwa kujiita yeye mwenyewe ni mungu kam sio ushetani ni kitu gani?

Duh! Basi msamehe bule bwana,yamkini na yeye ndo imani yake au kajifikirisha
 
Mleta mada analeta mada ya kipumbavu kakaa kwa kufikiria upumbavu wake kisha akaleta hapa jukwaani analeta hoja pasipo na una ushahid wowote ndio maana nikamjibu analeta hoja za Ki Shetani na mimi nimemjibu kishetani shetani anasema hivi Mungu ni wewe mwenyewe iweje wewe binadamu ugeuke kuwa mungu? kwani mungu anakufa? kama wanavyokufa bindamu? mleta hoja hafikirii kitu cha kusema mpaka akaamuwa kujiita yeye mwenyewe ni mungu kam sio ushetani ni kitu gani?

Mimi naona ana haki ya kusema hivyo maana hata wakija wakristo watamtetea mungu wao kwa imani yao kama ukivyomtetea mungu wako kwa imani yako.
Nae kwa imani yake vivyo hivyo anajiamini yeye mwenyewe kuwa ni mungu. Huna sababu ya kusema kafikiria upumbavu ilihali hata wewe tukianza kumchambua mungu wako tutakuta makosa kibao.

Wewe unamtafsiri mungu kwa kitabu cha quran
Yeye anajifafsiri kama yeye kuwa hapana mungu ila binadamu mwenyewe.
Wakristo nao wewe mwenyewe unajua kuwa mungu unaemwabudu wewe sio wanaemwabudu wao.
Wahindu nao na ng'ombe zao kuwa ni mungu.

Haya mambo bwana ukijihesabia haki kwamba wewe ndio uko sahihi unakosea sana
 
You know your date of birth,but your date of death has been kept a secrete.Time is the only resources once wasted can not be recovered.
Shetani si simple kama unavyoweza fikiria,anajua udhaifu wa kila mtu na anatumia udhaifu wako kuhakikisha yuko na wewe.pole sana wewe uliyebaki kwenye vitabu vya dini tu wakati siku hizi watu wanafunuliwa yale yaliyofichika.Amini unachotaka kuamini lakini ipo siku baada ya maisha haya utaujua ukweli.
We have a right to differ,that is normal si lazima nione unachokiona wewe that is a fact.Sasa kuwa makini sana,hujaweka muda wakutosha kufuatilia mambo haya then una conclude.
Najua wengi mmesoma walau hata form 4. 7years(primary)+4years(secondary)=11years unajifunza elimu ya duniani si jambo baya.je wangapi walau tumetumia hata mwaka mmoja serioulsly tukijifunza mambo ya Mungu?Tukiamka usiku na kujisomea,kwenda library kutafuta material ya mambo ya dini?
Nilichojifunza siku hizi washabiki wa dini ni wengi,moyoni mwao wanaujua ukweli.Hayo unayoyaona ni siri leo,ipo siku yatakuwa wazi.Endelea tu kuamini Mungu hayupo ila miaka yako ya kuishi ni michache sana hapa duniani,mimi sishangai kama babu zako waliaminini hakuna Mungu,wakatoa sadaka kwa miungu wengine na kuunganisha ukoo ,vizazi na vizazi na miungu hiyo.Sadaka hiyo hata leo inanena,lazima ukombolewe kutoka huko,otherwise uatendelea kubaki huko na trust me,utajiona uko sahihi,na shetani atakusaidia maswali ya kuwauliza wenye kuamini kuna Mungu,na wakishindwa kukujibu basi ndiyo unazidi kuona uko sahihi.
shetani anachofanya humfanya mtu azoee maisha ambayo si yake,then hata akiambiwa hawezi kujitambua .Hivyo hivyo watu wengi wanaishi maisha ya shida ambayo si yao,lakini wamefanywa kuamini hayo ndiyo maisha yao na wameridhika.wake up and live.
"Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache,nazo zinejaa tabu".Kila siku watu wanazaliwa,kila siku watu wanamwamini Mungu,wewe unadhani usipomwamini is a big deal?
Who do you think you are?

"Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu na moyoni mwake amemuacha Mungu"
Na wewe unayeshabikia dini na unajua moyoni mwako njia zako si nzuri,unapoteza muda wako.Kama ambavyo huwezi kuhamisha maumivu yako kwenda kwa mtu mwingine,vivyo hivyo kila mtu atatoa hesabu ya matendo yake.Elimu za kidunia zimewapotosha sana watu hasa wasomi.
 
Nijuavyo Mimi Maana ya Mwenyeezi Mungu ni Hivi:

112. SURAT AL-IKHLAS'

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

vizuri sana...
mimi naweza kukubaliana na mleta mada kuwa yeye ni mungu lakini sio Mungu,
na hata ukisoma katika biblia utakuta kuna mungu jua,mungu bahari,mungu anga,mungu mto....sanamu n.k
ambao wakijumuishwa wanaitwa miungu.
na biblia ilitumia neno mungu ambapo uwingi wake ni neno miungu...
na ndio maana mwanzo nikauliza hivi maana ya neno mungu ni nini...?
 
Hivi mkuu nani kamruhusu huyu shetani aendelee kuwatumia watu vibaya?
Au je! Kabla mungu hajamuumba huyu shetani hakujua kwamba kiumbe wake mpendwa atafika muda fulani amuasi?
Kama alijua, kwanini hakumboresha ili asimuasi kabisa au kuahirisha kumuumba?
Wewe unaaza kuwalaumu watu badala uanze kwa huyo mungu kwanza
 
Shetani ni roho,shetani anatumia agents wanaoonekana na wasio onekana,hata rafiki yako au ndugu yako anaweza akatumiwa na shetani kukupoteza au kukufanya umkosee Mungu.Sasa wewe unachooamini na mimi ninacho am,ini ni tofauti hata nikikupa jibu lilio sahihi kwa mtazamo wangu kwangu linaweza kuwa sahihi au lisiwe sahihi.lakini nafurahi kwani muda ukifika wa wewe kuelewa ninachomanisha utaelewa si mimi nitakayekufanya uelewe bali yupo awezaye.
Mungu ameweka uweza mkubwa nadani ya wanadamu,kwa lugha rahisi ni kwamba tuna silaha lakini si wote wanajua kwamba wana silaha za kumshinda shetani.Shetani anafanya kazi kwanza in your mind,na unatakiwa ujue mtu hutenda dhambi zinginme zinasababishwa na tamaa za mtyu binafsi.
Maswali yako mengine sitayaibu kwani kuna thread tulishajibu hata nikikujibu leo kama bado hujabadilisha mtazamo wako nitajisumbua.
Mwanadamu ameumbwa kwa mfano wa Mungu,aliye simama vizuri katika njia za Mungu huyo ndiye ningependa kumwongelea.Mtu huyu Mungu anakaa ndani yake,na kila analofanya halifanyi kwa matakwa yake bali humtumainia Mungu kwa kila jambo.Haenendi kwa akiri za kianadamu,in a nutshell "roho wa Bwana anatawala maisha yake".
na kuna kitu nataka ujue shetani si simple,kwanza ana silaha chache hivyo haangaiki na kila mtu ,wale amabao anajua ameshawapata hana muda nao,anahangaika na waliosimama imara ili awaangushe.Kwa kutumia ma agent wake anajua tabia za kila mtu na madhaifu yake,atahakikisha anakuangusha kupitia katika udhaifu wako.ukishaanguka kanisani utaenda kama kawaida,maombi utaomba kwa wale wanaofahamu "utajisikia umekauka a.k.a huna upako" i.e hata ukisema kwa jina la yesu,pepo toka.yanakuwa ni maneno tu nguvu ya Mungu haipo kwani kuna sehemu umeharibu.
"Mtafuteni Mungu pamoja na nguvu zake"
Mungu(Yehova) hawezi kuruhusu jaribu ambalo anajua huwezi kulishindwa.
Kwa hiyo shetani akikutumia vibaya wewe umemruhusu,kwani uwezo wa kumzuia ulishapewa siku nyingi sasa kama hujui una huo uwezo hapo si tatizo la Mungu ni lako binafsi.
 
Sijauliza shetani anatumia nini kufanya hivi au vile.
Nimeuliza anayemruhusu kufanya hayo yote.
Nikauliza pia kabla Mungu hajamuumba hakujua kiumbe wake mpendwa atakuja amuasi?
 
vizuri sana...
mimi naweza kukubaliana na mleta mada kuwa yeye ni mungu lakini sio Mungu,
na hata ukisoma katika biblia utakuta kuna mungu jua,mungu bahari,mungu anga,mungu mto....sanamu n.k
ambao wakijumuishwa wanaitwa miungu.
na biblia ilitumia neno mungu ambapo uwingi wake ni neno miungu...
na ndio maana mwanzo nikauliza hivi maana ya neno mungu ni nini...?
Nimeshakupa Maana ya neno Mungu sio zaidi ya hapo nilipo kupa kwa imani yangu ni tosha kama hujatosheka zaidi katafute kwa watu wenye imani ingine wataweza kukusaidia unasemaje Mkuu Bennie 369

Nijuavyo Mimi Maana ya Mwenyeezi Mungu ni Hivi:

112. SURAT AL-IKHLAS'

KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU

1. Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee

2. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa

3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.

4. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Kwanza akili hauna ww mwendawazimu, pili usizungumzie masuala ya dini ambayo hukusoma na huijui ,tatu kama ningejua wapi unaishi ningekuja kukumaliza ww na kizazi chako chote, mbwa ww
 
Hivi ndivyo hoja ya mtu inavyojibiwa kweli? Mkuu mbona umetumia maneno makali pasipo sababu yoyote ile? Vitisho navyo havikuwa na umuhimu kabisaaa
 
ni mara chache sana kushuhudia watumishi kama Ishmael , Eiyer na wanadini wakongwe hapa JF-INTELLIGENCE wakigaragazwa kwa hoja safi kama walivyo tendwa kwenye hii 3D na mkuu Pokofame

aisee sijawahi shuhudia MziziMkavu akiwa anatokwa na povu la hoja nyepesi
sitaki kuamini kwamba ni yeye

.made in mby city.

Huu ukweli hawatapenda hata kuusoma Sema ndo hawana jinsi kwasababu tayari umeshauweka hadharani
 
Last edited by a moderator:
Kwanza akili hauna ww mwendawazimu, pili usizungumzie masuala ya dini ambayo hukusoma na huijui ,tatu kama ningejua wapi unaishi ningekuja kukumaliza ww na kizazi chako chote, mbwa ww
Alafu ukishamuua yeye na kizazi chake kinachofuata?
mitume na manabii wote sijawahi kusoma sehemu waliyoita watu mbwa,wendawazim n.k sasa wewe hayo mamlaka umeyapata wapi?
Au dini ndio unaijua sana?

yamuingiayo mtu ndiyo yamtokayo.../ukipandacho mtu ndio avunacho.../ jaribu pitia law of causes and effect.
 
Hivi mkuu nani kamruhusu huyu shetani aendelee kuwatumia watu vibaya?
Au je! Kabla mungu hajamuumba huyu shetani hakujua kwamba kiumbe wake mpendwa atafika muda fulani amuasi?
Kama alijua, kwanini hakumboresha ili asimuasi kabisa au kuahirisha kumuumba?
Wewe unaaza kuwalaumu watu badala uanze kwa huyo mungu kwanza

A failure God cant correct his/her own mistake! God doesnt exist likewise satan/devil. What real exist is human POINT OF VIEW to choose whether to be a god or satan by his/her own point of view.

Mungu aliumba dunia na watu kwa siku 6 TU, ILHALI ALIKUWEPO MILELE, alikuwa na haraka gani ya kufanya haya kwa muda mfupi kiasi hiko bila kufikiria outcomes?
Aliwezaje kuishi miaka mingi nyuma bila kufikiria kuumba? NI NINI KILIMPA WAZO LA KUUMBA TENA KWA HARAKA KIASI HIKO?

Na kama yeye ndiye muumbaji wa kila kitu, inakuwaje ashindwe kuedit kazi yake?
Kama ni yeye mweza wa yote ameshindwaje KUMSHINDA SHETANI?
Kama yuko mbinguni, je makazi yake kabla ya uumbaji wa mbingu na nchi yalikuwa wapi?

KUKUBALI KWAMBA MUNGU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO, HAINA TOFAUTI NA KUKUBALI KWAMBA PIA DUNIA ILIKUWEPO NA HAINA CHANZO VIVYO HIVYO BINADAMU ALIKUWEPO NA HANA CHANZO

na kukubali kwamba Mungu pia ana chanzo ni kufuta uhai wake, course kila chenye mwanzo kina mwisho.

Mungu angekuwepo angehitaji chanzo, na chanzo hiko lazima kiwe more powerful than God,

BUT HOWCOME ONESELF AND OWN-CREATED GOD IS POWERLESS TO HIS OWN CREATURES, I MEAN HUMAN AND DEVIL?

ITS JUST BECAUSE GOD AND HUMAN ARE THE SAME, JUST ONLY CORRUPTED THINKING FADES THAT!
MziziMkavu Ishmael Aqua
 
Last edited by a moderator:
Kwanza akili hauna ww mwendawazimu, pili usizungumzie masuala ya dini ambayo hukusoma na huijui ,tatu kama ningejua wapi unaishi ningekuja kukumaliza ww na kizazi chako chote, mbwa ww

WELCOME! Je Mungu wako anahitaji msaada wako kujitetea wenyewe? si umwambie anitumie radi? IDIOT!
 
Back
Top Bottom