Ukweli kuhusu contraceptive pills

ankol

JF-Expert Member
Aug 21, 2012
2,085
3,434
Salaam wana jf.
Napenda kujua kama kuna ukweli wowote kuhusu mdada kutoruhusiwa kutumia vidonge ama sindano za kuzuia kushika mimba (uzazi wa mpango) mpaka awe tayari ameshajifungua at least mara moja.
Je kuna athari zipi ataweza zipata kama atatumia njia?
Nina mpenzi wangu nilimshauri atumie hizo vitu ili kujikinga na mimba tusozitegemea but kila alipoenda aliulizwa kua ashawahi jifungua alipojibu hapana. Hawakumruhusu kutumia hizo vitu.
 
Anaweza asipate ujauzito tena hapo baadaye, hizo dawa zina madhara hasi mengi sana mwilini, mimi mke wangu hatumii hizo tangu siku ya kwanza. Uwe unakojoa nje siku za hatari au ikibidi tumia mpira hizo dawa si nzuri.
 
ivi na hiyo nayo ni njia ya uzaza wa mpango?
 
Hizi dawa wanazipa promo sana lakini zina madhara makubwa. Kuna mdada ofisini alizaa mtoto wa kwanza hafu akaweka implant, kaitoa Ili azae wa mtoto pili, mwaka wa tatu sasa hajapata mimba. Baada ya miaka kadhaa matatizo ya uzazi Africa yatakua juu sana
 
Anaweza asipate ujauzito tena hapo baadaye, hizo dawa zina madhara hasi mengi sana mwilini, mimi mke wangu hatumii hizo tangu siku ya kwanza. Uwe unakojoa nje siku za hatari au ikibidi tumia mpira hizo dawa si nzuri.

Alaa! Ahsante ndugu.
 
Hizi dawa wanazipa promo sana lakini zina madhara makubwa. Kuna mdada ofisini alizaa mtoto wa kwanza hafu akaweka implant, kaitoa Ili azae wa mtoto pili, mwaka wa tatu sasa hajapata mimba. Baada ya miaka kadhaa matatizo ya uzazi Africa yatakua juu sana

Duh! Hatari. Nasikia mpaka wamflash ndo aweza beba tena mimba?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom