Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 1,691
- 5,451
Kumekuwa na sintofahamu nyingi kuhusiana na mchezaji kipenzi cha wana yanga Bernard Morrison.
Ikumbukwe kuwa, week iliyopita yanga walisafiri kuelekea mkoani Shinyanga kucheza mchezo wao wa ligi dhidi ya Mwadui fc. Lakini mchezaji huyo hakusafiri na timu kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.
Kumekuwa na taarifa nyingi mitandaoni kuwa, mchezaji huyo ameshasaini mkataba wa awali na Simba sc.
Taarifa zingine zinadai kuwa mchezaji huyo anamkataba halali wa miaka miwili na Yanga sc.
Maswali ya kujiuliza, kwanini mpaka sasa mchezaji huyo ajajiunga na timu ili hali hana matatizo yeyote ya kiafya? Ni kweli amesaini Simba? Au amegoma makusudi kushinikiza madai yake dhidi ya timu hiyo?
Tusubiri sisi kama wadau michezo muda si mrefu tutajua, mbivu ni zipi,na mbichi ni zipi.