Ukweli kuhusu aliyefungua mlango wa ndege ya Precision Air iliyopata ajali mjini Bukoba

Patriot2

Senior Member
Nov 10, 2022
169
262
Nimeona wahanga wengi wakisema walifunguliwa na wasaidizi, Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.

NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
 
Uko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?

Secondly, ukiufungua na uko ndani ya maji, maji yatajaa ndani INSTANTLY na kuwaua wote after some few seconds of being submerged

Tusiwe matutusa kukubali story za majaliwa! We are not all fools
 
Mlango wa dharura ulikuwa nje ya maji, Ni ule ulio mkiani. Ina maana hili tukio lote hukuona picha Wala video?
 
Nimeona wahanga wengi wakisema walifinguliwa na wasaidizi. Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.

NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
Kabla maji hayajaingia ndani,presha inakuwa kubwa nje,kutokana nap mgandamizo wa maji,maji baada ya kuingia, presha ya ndani na nje inakuwa Sawa,hapo kuuvunja inakuwa rahisi,kingine Cha kufahamu hii Ndege sio kwamba ilikuwa imepaki,then unavunja mlango!!,inawezekana mlango ulikuwa umeishapata damage kutokana na impact kubwa baada ya Ndege kujibamiza kwenye maji,
Mechanically speeking, mlango ulikuwa umeishaharibika,haukuwa imara Tena.
 
Uko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?
Secondly, ukiufungua na uko ndani ya maji, maji yatajaa ndani INSTANTLY na kuwaua wote after some few seconds of being submerged
Tusiwe matutusa kukubali story za majaliwa! We are not all fools
Ndege ilidumbukia Kwa Kutanguliza kichwa, maana yake mkia ulikuwa juu, na maana yake mlango wa nyuma ulikuwa juu pia na ndio maana ikawa rAisi ktoka bila maji kuingia..Ila maji Kwa sehemu kubwa yaliingia Kwa kupitia mbele
 
Nimeona wahanga wengi wakisema walifinguliwa na wasaidizi. Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.

NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
Fanya analysis zoooooteeeeeeeee lakini mwisho wa siku wale waliokolewa wakiwa HAI, main character ni Majaliwa..!!
Unaweza ukasema kwa maandishi hutaki kubeza jitihada za Majaliwa, lakini maandishi hayo hayo yanakizana na unachokisema kwamba hutaki kubeza jitihada za Majaliwa
 
Ok then! uko sahihi kama ni hivyo..kama kuna milango miwili! Nakubaliana na wewe
 
Uko sahihi kabisa. Mlango gani ulikuwa nje ya maji? Maana kama mlango ulikuwa ndani ya maji, then unaubomoaje wakati maji yanakandamiza mlango inwards towards the plane na unaufunguaje?
Secondly, ukiufungua na uko ndani ya maji, maji yatajaa ndani INSTANTLY na kuwaua wote after some few seconds of being submerged
Tusiwe matutusa kukubali story za majaliwa! We are not all fools
Mbona wavivu sana kufikiri nyie... Mbona hata kwenye picha ilionesha sehemu ya nyuma ikiwa haijazama na sehemu ya mbele ikiwa imezama? Ulimsikia yule abiria alokua amekaa siti ya mwisho kabisa kwenye ndege alichosema? Na alisisitiza kabisa mhudumu alihangaika sana kufungua mlango na akasema badae mlango ulifunguka ila hana uhakika kama ni mhudumu ndo alifungua au nini kilitokea ukafunguka. Na majaliwa mwenyewe alisema baada ya kusaidia mlango kufunguka ndio akahamia mbele kwa rubani...hii maanake ni kuwa mlango alosaidia kufungua majaliwa ulikua nyuma na wote tunajua sehemu ya nyuma ilikua bado haijazama kwenye maji.
Nyie wachambuzi uchwara hamuwezi hata kuconnect dots afu mnajifanya makachero
 
Nimeona wahanga wengi wakisema walifinguliwa na wasaidizi. Hilo likapelekea niweze kuhusu uwezekano wa kasia kuvunja mlango. Kumbuka mlango unafungwa kutoka nje. Hivyo resistance ni kubwa kama unagongwa kwa nje.

NB: Sitaki kubeza jitihada za Majaliwa bali kama binadamu mwenye akili timamu lazima nievaluate ninayoambiwa.
Mmeshaanza uchawi
 
Kinachonifurahisha mleta uzi na wanaocomments umu wengi hakuna ata mmoja aliyekuwa eneo la tukio wala muathirika wa tukio lile..akili mgando hizi
Wewe ndiye una akili mgando, lazima kuhoji mambo. Usimsikilize majaliwa ukawa contented kuwa anasema ukweli, never. Mwenye akili ataibua maswali! Embe likitoka kwenye mti likaanguka chini , mwenye akili atajiuliza kwanini limekuja chini na halikwenda juu? Huyu ana akili kuliko anayesema Mungu kaumba hivyo!
 
Nyie wachambuzi uchwara hamuwezi hata kuconnect dots afu mnajifanya makachero
Uchwara ni wewe usiyehoji mambo. Siwezi kumsikiliza majaliwa bila kuhoji kama nina maswali ya kuhoji. Unategemea majaliwa asemme ukweli? kwanini umuamini? Kama kuna sehemu ya kuhoji lazima uhoji..
 
Fanya analysis zoooooteeeeeeeee lakini mwisho wa siku wale waliokolewa wakiwa HAI, main character ni Majaliwa..!!
Unaweza ukasema kwa maandishi hutaki kubeza jitihada za Majaliwa, lakini maandishi hayo hayo yanakizana na unachokisema kwamba hutaki kubeza jitihada za Majaliwa
Ina mana kuwa ata waliookolewa wanapinga jitihada za majaliwa kiufupi hawataki kukubaliana na ukweli dogo nimemsikiliza anavolielezea tukio tangu ndege inazama maelezo yake yamenyooka Sana
 
Kinachonifurahisha mleta uzi na wanaocomments umu wengi hakuna ata mmoja aliyekuwa eneo la tukio wala muathirika wa tukio lile..akili mgando hizi
Sikiliza. Kuna matukio yametokea karne nyingi zilizopita na binadamu wameweza kujua kilichotokea. Walikuwepo? Walikuwa wahanga? Hoja yako ni mfu. Zaidi na busara ungesema tusubiri uchunguzi ufanyike (kumbuka wachunguzi hawakuwepo) ili tupate majibu. Vinginevyo ''umu'' = humu, ''ata'' = hata.
 
Acheni ujuaji mwingi huo ni ugonjwa ku hate jambo bila sababu kwaiyo unataka kutuambia Majaliwa kadanganya
Kwanini asiweze kudanganya? Is hew immune to telling some lies to make the story favorable to him? Acha ututusa, hoji jambo kama kuna kitu unaona hakiko sawa/hukielewi vema..... unless you are furnished with enough information.. Wewe utakuwa praise and worship team member!
 
Mlango uliofunguliwa ni mlango wa kawaida ama wa dharura?

Na kama ni mlango wa dharura ambapo wengi wamesema huo mlango unafungukia ndani ama nje?

Ukipata majibu ni mlango upi na unafungukia ndani ama nje ndio utajua ukweli ama uongo wa Majaliwa.

Back
Top Bottom