Ukweli kuhusu 50 cent kupiga picha na Jakaya Kikwete

Ni maswali mazuri.
Sasa Mpwa sijakuelewa au labda kwasababu natumia simu; title unasema "UKWELI" halafu katikati ya thread yako unasema "UNADHANI" sasa sijui kipi ni kipi! Naomba ujaribu kuweka mambo sawa ili na wewe usilitet maswali mengi kuliko majibu, asante kwa kunielewa Mpwa, vipi wamekupa bei gani
 
Mwaka huu mbona kama vile umekua mrefu kwa CCM? SIJUI hapo tarehe tisa desemba itakuaje? Uhuru wa "Tanzania" utasherehekewa na Wageni kama 50 Cent na wengine kama 20 %

Naomba uniweke sawa Mkuu. Ni uhuru wa Tanzania au Tanganyika?
 
Kwenye Huo mkutano walikuwa wawili tu?
50 Cent ndo pekee ana hiyo foundation ya kusaidia Barani africa?
Na ile aliyopiga na Boyz II men, nayo walikutana kwenye mkutano?
Lete utetezi mwingine mkuu!

na vipi kuhusu ile aliopiga kwenye red kapet na yule miss alievaa kimini? tetea basi
 
dah kweli huyu jamaa nimeaza kuamini limbukeni,hivi ni kweli kumbe?
yani anashusha image ya nchi adi tutazikwa wazima

picha na naomi kweli?
 
Na alivyoenda Jamaica kubembea ilikuwa ni kwaajili ya nini!!!!!!!!
..Haahaahaahaaa you really made my day..nimecheka sana kwamba jamaa kaenda jamaica kubembea? Dah kweli Rahisi tumepata bongo!!!
 
Sasa Mpwa sijakuelewa au labda kwasababu natumia simu; title unasema "UKWELI" halafu katikati ya thread yako unasema "UNADHANI" sasa sijui kipi ni kipi! Naomba ujaribu kuweka mambo sawa ili na wewe usilitet maswali mengi kuliko majibu, asante kwa kunielewa Mpwa, vipi wamekupa bei gani

Inashangaza yaani ukweli na kudhani in one sentence!
 
Kwenye Huo mkutano walikuwa wawili tu?
50 Cent ndo pekee ana hiyo foundation ya kusaidia Barani africa?
Na ile aliyopiga na Boyz II men, nayo walikutana kwenye mkutano?
Lete utetezi mwingine mkuu!
Muulize mleta mada,na zile nyingine alizopiga na wale vidosho waonyesha mavazi(Naomi Campell et al)? Mwambie aache umasaburi wake,cc wote watu wenye akili humu.
 
Nimesoma maoni yenu vya kutosha,ila ukweli ni kuwa wengi wenu mnaonesha chuki binafsi au ushabiki wa kisiasa.
Nilichojaribu kuwaambia ni kuwa kupiga picha ni kosa?
Au kupiga picha kunazuia rais kutimiza majukumu yake?
Tunachopaswa watanzania ni kuelewa kuwa mabadiliko au maendeleo katika taifa hili hayataletwa na chama cha siasa pekee ila pamoja na sisi watanzania kufanya kazi kwa bidii na kuwa wazalendo wa kweli kwa taifa hili. Tukichukia rushwa,tuka epuka udini na ukabila na ushabiki wa vyama ulio wa kijinga. Tutasonga mbele.
 
Bila shaka Prezdaa alipomwona 50% alimfuata kwa lile tabasamu kuuubwa na kuomba asainiwe autograph na kupiga nae picha.
 
Ukweli ni kitu gani?
Lazima kuna sababu ya kukutana, hawakukutana barabarani. Swali ni kwamba sababu yenyewe inajitosheleza?.
Mbona salva hakusema kuwa mkuu ataatendi shughuli hiyo?
Mi alipopewa jezi na barca halafu akawaita wakamchunia nikajua anachoreka tu.
 
Na ile ya Boyz II Men na Naomi Campbell?

hivi weye !!! mtu akija kwako akasema samahani naomba nipige picha na wewe ungekataa! tatizo ni kwamba mnajiweka leval moja na muheshimiwa RAIS...

Weka hii kichwani mwako " NI rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania" !! mtu yoyote atakapo pata oportunity ya kupiga picha naye ... atapiga!! ....

wengi wenu mwadhani mh. raisi anawaita yeye na kuwaambia " naomba nipige picha na wewe" kama mawazo yenu ni hayo poleni ...
 
kwahiyo 50 cent alimwomba prezdaa wapige picha?
 
Nimesoma maoni yenu vya kutosha,ila ukweli ni kuwa wengi wenu mnaonesha chuki binafsi au ushabiki wa kisiasa.
Nilichojaribu kuwaambia ni kuwa kupiga picha ni kosa?
Au kupiga picha kunazuia rais kutimiza majukumu yake?
Tunachopaswa watanzania ni kuelewa kuwa mabadiliko au maendeleo katika taifa hili hayataletwa na chama cha siasa pekee ila pamoja na sisi watanzania kufanya kazi kwa bidii na kuwa wazalendo wa kweli kwa taifa hili. Tukichukia rushwa,tuka epuka udini na ukabila na ushabiki wa vyama ulio wa kijinga. Tutasonga mbele.

Bila kiongozi ????? Kiongozi bogus atakuwa anamwaga utelezi sehemu ya kupitia tairi letu la maendeleo tunalosukuma, Mkulu amin tuna rais wa carible ya chini mno,hakika IKULU imenajisiwa...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom