Ukweli kifo cha Sokoine | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukweli kifo cha Sokoine

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by bucho, Mar 1, 2012.

 1. bucho

  bucho JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Jul 13, 2010
  Messages: 4,496
  Likes Received: 328
  Trophy Points: 180
  Waandishi wa habari muda umefika kuanza kuchunguza yote yaliotokea kwenye kifo cha Sokoine . Watanzania tunataka kujua kitu gani kilitokea . Kama ni ajali kweli au aliuliwa . Mengi yanasemwa sana , MUDA UMEFIKA WA KUAMKA .
   
 2. SUNGULULU

  SUNGULULU New Member

  #2
  May 13, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [FONT=&amp] Yaani wewe uko Dunia ipi? Hujui kuwa leo hii Afrika imepoteza viongozi mashuhuri ambao walidhamiria kuilinda katiba ya serikali za Kiprotestanti (matengenezo). Kuna Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri wakuu mbalimbali; mfalme Rudahigwa wa Rwanda alipewa sumu (1958), Waziri Mkuu Rwegasore wa Burundi, alipigwa risasi (1961), Agostinho Neto wa Angola akapewa sumu (1976), Samora Machel wa Msumbiji akauawa kwa ajali ya ndege (1986), Tom Mboya wa Kenya akapigwa risasi (1968), Patrice Lumumba wa Congo akateswa hadi kifo kwa kupikwa ndani ya pipa lenye tindikali (1960), Anwar Sadat wa Misri akapigwa risasi (1985), Lawrence Kabila wa DRC akapigwa risasi (1997), Edward Moringe wa Tanzania akapigwa risasi baada ya kupata ajali, Dr. Omari Juma wa Tanzania akapewa sumu, nk[/FONT]. [FONT=&amp]Edward Sokoine angekuwa rais baada ya kustaafu Julius Nyerere. Warumi hawakumtaka kwa sababu alikuwa ni Mprotestanti ambaye hangelikuwa mtiifu kwa Kadinali L. Lugambwa. Sababu ya pili alikusudia kurudisha shule za Waprotestanti ambazo zilitaifishwa wakati wa Azimio la Arusha. Azimio la Arusha liliposhindwa kuendelea watu walirejeshewa mali zao zilizotaifishwa, lakini mashule hayakurejeshwa. Hivyo Sokoine alikusudia kuupa nguvu mkono wa kulia wa uinjilisti wa Waprotestanti, yaani mashule na mahospitali. Jambo hili lingesababisha wasomi wengi wa Kiprotestanti kushika madaraka serikalini. Rumi haiwezi kuruhusu hilo litendeke.[SUP]94[/SUP][/FONT] [FONT=&amp] Kwa hiyo Rumi ilitoa taarifa kwa askari wake wa kijesuiti ili kumuondoa Sokoine kabla hajachaguliwa. Kulingana na maelezo ya aliyesababisha ajali kutoka Afrika Kusini, Dumisani Dube, katika gereza la Ukonga, alisema: [/FONT] [FONT=&amp] “Mimi nikiwa naendesha gari langu nilikutana na msafara wa Waziri Mkuu. Gari la doria liliniashiria niingie kulia (keep right). Ndipo nikagongwa na gari la doria. Nilipoanguka na kutolewa ndani ya gari, Sokoine alitoka nje ya gari lake. Akanishika mkono na kusema “Pole sana kijana”. Ndipo risasi zikapigwa toka nyuma na kumwangusha chini. Mwili wa marehemu ulipofikishwa hospitali ya mkoani Morogoro, waganga na wakunga walipigiwa kelele za onyo, “Ni marufuku kuugusa mwili wa marehemu, isipokuwa Dr. Shaba.”[SUP]95[/SUP][/FONT] [FONT=&amp] Jaji Mwakasendo aliyekuwa kiongozi wa tume ya uchunguzi wa kifo cha Sokoine alipokea ushahidi kuwa mwili wa marehemu ulikuwa na makovu ya risasi tatu. Mwakasendo naye alipewa sumu akafa. Hakuna kiongozi wa serikali aliyehusika na kifo cha Sokoine. Lakini ili kupoteza ushahidi na uchunguzi, Rumi ikawasingizia Mawaziri Msuya na Kawawa kuwa ndio waliohusika.[SUP]96 [/SUP][/FONT]
  [SUP][FONT=&amp]94[/FONT][/SUP][FONT=&amp]The Black Pope, Marshall Russell & Co. uk. 106.[/FONT]
  [SUP][FONT=&amp]95[/FONT][/SUP][FONT=&amp]Newsweek, May 16, 1984. [/FONT]
  [SUP][FONT=&amp]96[/FONT][/SUP][FONT=&amp]Newsweek, May 16, 1984. [/FONT]
   
 3. m

  mshumbue-soi JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2014
  Joined: Aug 28, 2013
  Messages: 1,705
  Likes Received: 493
  Trophy Points: 180
  Jamani Sokoine Hatoki mioyoni Mwa Wazalendo si tuelezwe ukweli tumzike kwenye mioyo yetu kama nilizaliwa 1984 sijamwona wala utendaji wake inaniuma je walimshuhudia akitoa Utumishi Uliotukuka inawaumaje?

  Kweli kafa huku akiwa anaishi kwa matendo yake
   
 4. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2014
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 23,097
  Likes Received: 10,415
  Trophy Points: 280
   
 5. mshana jr

  mshana jr JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2014
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 69,298
  Likes Received: 56,310
  Trophy Points: 280
  Kifo chake kilikuwa hujuma vita ya kupambana na walanguzi na wahujumu uchumi haikuwapendeza mafisadi na waroho wa madaraka, wakamuua. Mnamkumbuka pia Prof. Chachange S. Chachange na kitabu chake cha Makuwadi wa soko huria?
   
 6. k

  karatu78 JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2014
  Joined: Feb 22, 2014
  Messages: 210
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  SUNGULULU.Unachuki na hao watawala wa kirumi au.mana cdhani kama wangekuwa na roho mbaya.kifo chake kina utata mwingi.
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2014
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 4,983
  Likes Received: 407
  Trophy Points: 180
  Duh, hii kitu vijana wa jack zoka waliomo humu hawajaiona? Itaondolewa muda si mrefu
   
 8. mzenjiboy

  mzenjiboy JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2014
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 835
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sokweino ndie nani ? 👤
   
 9. ndendi

  ndendi JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2014
  Joined: Nov 29, 2012
  Messages: 629
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  yetu macho na masikio.
   
 10. umatemate

  umatemate JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2014
  Joined: Jul 19, 2013
  Messages: 760
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  we mnyarwanda shida sana . Ni waziri mkuu aliyeuwawa 1984 huko wami morogoro
   
 11. GEBA2013

  GEBA2013 JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2014
  Joined: Feb 22, 2014
  Messages: 2,278
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  aise warumi wabaya sna km ndyo waliomwua sokoine...,
   
 12. A

  Albosignathus JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2014
  Joined: Apr 26, 2013
  Messages: 4,824
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Mkuu kwani hujui kwamba kanisa la Rumi linatawala dunia?
   
 13. mrangi

  mrangi JF-Expert Member

  #13
  May 13, 2014
  Joined: Feb 19, 2014
  Messages: 17,847
  Likes Received: 6,042
  Trophy Points: 280
  bullshit
   
 14. m

  marikiti JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2014
  Joined: Oct 19, 2012
  Messages: 2,686
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 180
  Raha ya uhuru wa kuongea mtu unaongea yanayokujia moyoni hata sio ya kweli
   
 15. ukawa

  ukawa JF-Expert Member

  #15
  May 13, 2014
  Joined: Apr 16, 2014
  Messages: 272
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  alikufa kwa ajari ya gari anasubili hukumu kama wengine cku ya kiama! RIP mzalendo.
   
 16. SUNGULULU

  SUNGULULU New Member

  #16
  May 21, 2014
  Joined: Mar 17, 2014
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sina chuki na Warumi kama warumi. Nachukia sana kanisa la kirumi kutawala dunia. Jesuit/jeshi la kirumi la kidini ndiyo ninaowaongelea. Jeshi liloanzishwa na wanayemwita Mt. Iginatius Loyola. Naogopa hata nianzie wapi. Laiti ungejua walichokifanya duniani kote tangu kuzamishwa kwa meli ya Titanic, vita vya pili na vya kwanza vya dunia, mapinduzi katika nchi mbalimbali duniani, mauwaji ya viongozi wengi wazalendo akiwemo J.F.Kennedy na Abraham Lincolin na mtetezi wa waamerca weuzi Martin King. Nachoka kabisa. Wanakuja kwetu kama wafanya biashara, waalimu wa dini, wanafunzi, wapiga rangi n.k kumbe ndani yao ni mbwa mwitu wakali. Haujui walichokifanya China chini ya Mao? Wamegeuza Uingereza kuwa waabudu shetani chini ya malkia aliyeko madarakani kwa sasa. Ulijua kuwa malkia huyo si wa ukoo wa malkia Elizabeth wa kwanza? Huyu ni mtoto wa mfalme James wa Scotland. Majesuit walimchukua na kumweka pale Uingereza baada ya kifo cha Malkia Elizabeth. Ninayo mengi sana kuhusu Jesuit/Jeshi la dini ya kirumi wakiwa chini ya Papa wao aitwaye Nicolas. Kwani kwa sasa wakifanyacho ni kupindua nchi mbalimbali duniani ili kusimika uongozi wa kirumi wakiitanguliza Marekani mbele kwa kutekeleza haya. Nasema ya kwangu mwenyewe au hata waandishi wengine wanasema haya? Kitabu cha The secret Terrorist na The Enemy Behind The Masks hakisemi haya nisemayo. Kitafute au kama unataka naweza kukutumia. Kwa kauli ya kusingizia magaid kumbe wao ndiyo magaidi. Wametuulia watu wetu wengi baada ya kuchoma majengo pacha kule Marekani huku wakitamka na kusingizia watu wasiohusika. Acha tu Karatu 78
  Na kisha u napotazama vita vya Napoleon, mapinduzi ya Ufaransa, vita vya Napoleon vilisimamiwa na Wajenzi huru, kila kitu Napoleoni alichokifanya, akiwa na Jacobin, chochote walichofanya, moja kwa moja kilifaidisha jeshi la kijesuit. Ni katika mwisho huu Alexander Dumas aliandika The Count Of Monte Cristo. The Count ni Jenerali mkuu wa Jesuit. Monte ni kwea au panda na Cristo ni Kristo.Ni Kristo mkuu apandaye. Alexander alikuwa akiongelea juu ya mkuu wa kijesuit akilipiza kisasi(getting vengeance) wakati Jesuit waligandamizwa au kukomeshwa na wengi wao kupelekwa Island, masaa matatu walitia nanga West pwani ya Ureno. Na hivyo baada ya Jesuit kurudishiwa uwezo wao waliwasukuma wafalme(monarches) wa Ulaya waliowakandamiza, na kuwaondoa kwenye viti vya enzi, wakiwahusisha pia Knight of Malta kutoka Malta wakimtumia Napoleon.

  Na Alexander Dumas, aliyepigana kwa ajili ya wazalendo wa Kiitaliano(Italians patriots) katika mwaka 1848 kwa kuiondoa Rumi kutika kwenye utawala wa muda wa uwezo wa kipapa, aliandika vitabu vingi na moja ya vitabu hivyo kimeweka wazi hili na hicho ni The count Of Monte Cristo.
  Hivyo, wakati usomapo kitabu hicho, weka akilini mwako kuwa ni kweli na tashtiti kwa jeshi la Jesuit kurudisha uwezo wake Ufaransa. Count of Monte Cristo kina vyombo vya shirika la upelelezi la kijasusi ambavyo haviwezi kupimwa. Ndiyo, ni jeshi la Jesuit.
  Waliweza kusaliti taifa na wakaenda zao. Waliweza kuwasaliti Wairish Wakatolik kuingia ndani ya Titanic na wakaenda zao.Waliweza kuwasaliti ndani ya Vietnam na wakaenda zao. Wanaweza kutusaliti kila wakati tuendapo hospitalini na kutunururisha na kutukata na kutunyesha dawa wakaenda zao, kwa sababu ni utukufu mkuu kwa mungu (Ad Majorem Dei Gloriam)Utukufu mkuu kwa mungu akaaye Rumi. Waweza kuona haya niyasemayo kwenye vitabu hivyo. IKIWA JESHI HILI LINAKIAPO KIFUATACHO, JE, UNADHANI NI MARAFIKI ZETU?
  [FONT=&quot]The Jesuits – 1540[/FONT]
  [FONT=&quot]Their Purpose And Oath[/FONT]
  [FONT=&quot]The purpose of the Jesuit Order, formally established by the Pope in 1540, is to destroy the Protestant Reformation. They call it the Counter-Reformation. Nicolini of Rome wrote:[/FONT] [FONT=&quot]"The Jesuits, by their very calling, by the very essence of their institution, are bound to seek, by every means, right or wrong, the destruction of Protestantism. This is the condition of their existence, the duty they must fulfill, or cease to be Jesuits." [Footprints of the Jesuits, R. W. Thompson, 1894][/FONT] [FONT=&quot]Extract from Jesuit's Oath[/FONT]
  [FONT=&quot]To this end the professed Jesuits have obligated themselves with an oath, part of which was published in 1899, and reads:[/FONT] [FONT=&quot]"I do now renounce and disown my allegiance as due to any heretical King, Prince or State, named Protestant, or liberals, or obedience to any of their laws or magistrates or officers.[/FONT] [FONT=&quot]"I do further declare that the doctrine of the churches of England and Scotland, of the Calvinists, Huguenots, and other of the name Protestant or Liberals, to be damnable, and they themselves to be damned who will not forsake the same.[/FONT] [FONT=&quot]"I do further declare that I will help, assist and advise all or any of His Holiness' agents, in any place where I shall be, in Switzerland, Germany, Holland, Denmark, Sweden, Norway, England, Ireland or America, or in any other kingdom or territory I shall come to, and do my utmost to extirpate the heretical Protestant or liberal doctrines, and to destroy all their pretended powers, legal or otherwise." [Errors of the Roman Catholic Church, 15 Contributors, 1894][/FONT] [FONT=&quot] [/FONT] [FONT=&quot]In 1981, one of our heroes, Alberto Rivera, disclosed the oath he took as a professed Jesuit. We read:[/FONT] [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot]Ceremony Of Induction And[/FONT]
  [FONT=&quot]Extreme Oath Of The Jesuits[/FONT]
  [FONT=&quot](Given to a Jesuit of minor rank when he is to be elevated to a position of command.)[/FONT] [FONT=&quot]Superior[/FONT][FONT=&quot] Speaks:[/FONT] [FONT=&quot]My son, heretofore you have been taught to act the dissembler among the Roman Catholics to be a Roman Catholic, and to be a spy even among your own brethren: to believe no man, to trust no man. Among the reformers, to be a reformer; among the Huguenots (French Protestants) to be a Huguenot: among the Calvinists, to be a Calvinist: among the Protestants (those who protest and disagree with the Roman Catholic institution), generally to be a Protestant: and obtaining their confidence to seek even to preach from their pulpits, and to denounce with all the vehemence (violent emotion) in your nature our Holy Religion and the Pope; and even to descend so low as to become a Jew among the Jews, that you might be enabled to gather together all information for the benefit of your order as a faithful soldier of the Pope.[/FONT] [FONT=&quot]"You have been taught to insidiously plant the seeds of jealously and hatred between states that were at peace, and incite them to deeds of blood, involving them in war with each other, and to create revolutions and civil wars in communities, provinces and countries that were independent and prosperous, cultivating the arts and the sciences and enjoying the blessings of peace;[/FONT] [FONT=&quot]"To take sides with the combatants and to act secretly in concert with your brother Jesuit who might be engaged on the other side, but openly opposed to that with which you might be connected;[/FONT] [FONT=&quot]"Only that the church might be the gainer in the end in the conditions fixed in the treaties for peace, and that the ends justify the means.[/FONT] [FONT=&quot]"You have been taught your duty as a spy, to gather all statistics, facts and information in your power from every source: to ingratiate yourself into the confidence of the family circle of Protestants and heretics of every class and character, as well as that of the merchant, the banker, the lawyer, among the schools and universities, in parliament and legislatures, and in the judiciaries and councils of State, and to ‘be all things to all men', for the Pope's sake, whose servants we are unto death.[/FONT] [FONT=&quot]"You have received all your instructions heretofore as a novice (one who has no training), a neophyte (a newly ordained priest), and have served as a coadjutor (worked as a helper), confessor and priest, but you have not yet been invested with all that is necessary to command in the army of Loyola and in the service of the Pope.[/FONT] [FONT=&quot]"You must serve the proper time as the instrument and executioner as directed by your superiors; for none can command here who has not consecrated (made secret or holy) his labors with the blood of the heretic; for ‘without the shedding of blood no man can be saved.'[/FONT] [FONT=&quot]"I, _____, now, in the presence of Almighty God, the blessed Virgin Mary, the blessed Michael the Archangel, the blessed St. John the Baptist, the Holy Apostles, St. Peter and St. Paul and all the saints and sacred hosts of heaven....[/FONT] [FONT=&quot]"I, furthermore, promise and declare that I will, when opportunity presents, make and wage relentless war, secretly and openly, against all heretics, Protestants and Liberals, as I am directed to do.[/FONT] [FONT=&quot]"That when the same cannot be done openly, I will secretly use the poisoned cup, the strangulation cord, the steel of the poniard (a dagger) or the leaden bullet, regardless of the honor, rank, dignity, or authority of the person or persons, whatever may be their condition in life, either public or private, as I at any time may be directed so to do by any agent of the Pope or superior of the brotherhood of the holy faith, of the Society of Jesus." [Double-Cross: Alberto, Part 2, 1981][/FONT]
   
Loading...