Ukweli juu ya waliohudhuria Mkutano wa Lissu USA

Kama Watanzania waishio huko wanajitambua na wana kazi nzur mbona wewe ni mjinga kiasi hiki??
Yaani kama na wewe ni miongoni mwa Watanzania waishio Marekani na ndio mnaonekana wa maana basi nchi hii haina watu kabisa na Mungu atusaidie, kwakifupi wewe hujitambua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waumini wa lumumba kwenye job descriptions mliambiwa kipengere muhimu ni kumsifu na kumpamba mtukufu jiwe kwa nyimbo na vinubi ila tokea lissu aanze kuwapa za uso mmeacha kabisa kumsifu bwana mkubwa mnakomaa na lissu.

"Typed with my thumbs."
 
Lissu katushika pabaya sisi wanaCCM!! Tumebaki tunabwabwaja maneno mtandaoni.

Naipenda sana CCM yangu, but kwa hili la Lissu siko pamoja na wanachama wenzangu...hata kwa mtutu wa bunduki sikubali.

Hakuna damu ya mtu inayokwenda bure, lazima ilie ardhini ikataka haki.

HAKI HUINUA TAIFA, Tufikiri kwa kutumia vichwa vyetu na sio matumbo yenye njaa.

NAIPENDA TANZANIA, WATANZANIA TUSIKUBALI KUTUMIKA KAMA TOILET PAPER
 
Watapata taabu sana mabeberu na vibaraka wao, JPM kanyaga twende, hao vibaraka achana nao
Nimeamua niiweke mambo wazi kuliko kubaki na Dukuduku tu,
Bwana Albert Anthony ni mkazi wa Texas , ndiyo alikuwa mratibu mkuu wa kukusanya watakaohudhuria mikutano,

Alafu bwana Marandu Thomasi wa Illinois naye akipewa Task hiyo,

Mambo yalikuwa hivi

Kila mtanzania ambaye alijulikana kuwa hapa marekani walimfuata na kumuomba kwa kumshawishi ahudhurie mkutano wa Lissu ,
Na msaidizi wa Lissu akawa anawapa maswali watakayouliza, ambayo pia ameshajipanga kuyajibu ,bahati mbaya asilimia kubwa ya waliohudhuria mkutano huo au mikutano hiyo ni wale ambao hawaeleweki hata maisha yao wanaishije, watu wasio na makwao,

Kuna muda watanzania wamekosa wakaarika kila mweusi haijarishi ni wa Ghana, Ethiopia, au Nigeria ili wajifanye watanzania na kusikiliza tu wasiulize maswali ila wawe wanapiga makofi hata kama hawaelewi kinachosemwa,

Waliojitahid sana kuongea ni wakenya japo kiswahili chao kilikuwa hakieleweki,
Si ushangae mtanzania anasema kakaa marekani miaka 7 tu kashasahau kiswahili?

Mbaya zaid walikuwa wamemuandaa mwanamama mmoja ajifanye ni mwana CCM na avae sare za ccm ndani ya mkutano wa Lissu, alafu wakamwandaa kijana ambaye ni rrafiki yangu , na mama yule alitakiwa kuuliza swali la kumuudhi Tundu Lissu ili kijana mwingine huyu rafiki yangu akiamka kumkabili, hapo Lissu ajifanye kumtetea huyu wa CCM(Regina Temu), ila bahat mbaya haikuwezekana maaana kijana huyo alikuwa anauguza dada yake hospitali hakufika kwahiyo yule mama mwenye nguo za Ccm akaaa kimya,

Nini hasa Lengo la Tundu Lissu na waandaa mikutano hiyo
1.Ionekane watanzania wameguswa sana na yeye na kuhudhuria kwa wingi japo ile idadi haikuwa kubwa pamoja na kuchanganya na waafrika wengine hawakufika 40,
2.Dunia ione kwamba watanzania waishio nje wamemchoka Magufuli, kumbe siyo,

Nawahakikishieni Nia ya Tundu Lissu anaijua mwenyewe,

Tuendelee kumuombea apone kabisa
Wa
 
Jamaa katia aibu sana. Anajifanya ana akili na kujifanya kuisema nchi vibaya. Mwisho anaomba watu wasichukue video halafu anawaomba hela ya kujikimu. Aisee nilitamani kulia. Hii ni aibu ya karne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu mnadhani kila likiandikwa la ukweli juu ya LISSU mnatukana tu, ukweli ni huo hata mnitukane vipi lakin hata mmiktaka video za kuwakusanya na maelezo wanapewa zipo
 
Nimeamua niiweke mambo wazi kuliko kubaki na Dukuduku tu,
Bwana Albert Anthony ni mkazi wa Texas , ndiyo alikuwa mratibu mkuu wa kukusanya watakaohudhuria mikutano,

Alafu bwana Marandu Thomasi wa Illinois naye akipewa Task hiyo,

Mambo yalikuwa hivi

Kila mtanzania ambaye alijulikana kuwa hapa marekani walimfuata na kumuomba kwa kumshawishi ahudhurie mkutano wa Lissu ,
Na msaidizi wa Lissu akawa anawapa maswali watakayouliza, ambayo pia ameshajipanga kuyajibu ,bahati mbaya asilimia kubwa ya waliohudhuria mkutano huo au mikutano hiyo ni wale ambao hawaeleweki hata maisha yao wanaishije, watu wasio na makwao,

Kuna muda watanzania wamekosa wakaarika kila mweusi haijarishi ni wa Ghana, Ethiopia, au Nigeria ili wajifanye watanzania na kusikiliza tu wasiulize maswali ila wawe wanapiga makofi hata kama hawaelewi kinachosemwa,

Waliojitahid sana kuongea ni wakenya japo kiswahili chao kilikuwa hakieleweki,
Si ushangae mtanzania anasema kakaa marekani miaka 7 tu kashasahau kiswahili?

Mbaya zaid walikuwa wamemuandaa mwanamama mmoja ajifanye ni mwana CCM na avae sare za ccm ndani ya mkutano wa Lissu, alafu wakamwandaa kijana ambaye ni rrafiki yangu , na mama yule alitakiwa kuuliza swali la kumuudhi Tundu Lissu ili kijana mwingine huyu rafiki yangu akiamka kumkabili, hapo Lissu ajifanye kumtetea huyu wa CCM(Regina Temu), ila bahat mbaya haikuwezekana maaana kijana huyo alikuwa anauguza dada yake hospitali hakufika kwahiyo yule mama mwenye nguo za Ccm akaaa kimya,

Nini hasa Lengo la Tundu Lissu na waandaa mikutano hiyo
1.Ionekane watanzania wameguswa sana na yeye na kuhudhuria kwa wingi japo ile idadi haikuwa kubwa pamoja na kuchanganya na waafrika wengine hawakufika 40,
2.Dunia ione kwamba watanzania waishio nje wamemchoka Magufuli, kumbe siyo,

Nawahakikishieni Nia ya Tundu Lissu anaijua mwenyewe,

Tuendelee kumuombea apone kabisa
Facts ni lisu apigwa risasi, akanyimwa pesa za matibabu, mshahara umezuiwa?, Tanzania kuna wasio julikana, tz watu wanatekwa, wapinzani wamezuiwa kufanya mikutano ya hadhara kinyume na katiba, maiti zimeokotwa fukweni, wanao tofautiana na Magufuli chamoto wamekiona,.......mengine ni black bla
 
Nimeamua niiweke mambo wazi kuliko kubaki na Dukuduku tu,
Bwana Albert Anthony ni mkazi wa Texas , ndiyo alikuwa mratibu mkuu wa kukusanya watakaohudhuria mikutano,

Alafu bwana Marandu Thomasi wa Illinois naye akipewa Task hiyo,

Mambo yalikuwa hivi

Kila mtanzania ambaye alijulikana kuwa hapa marekani walimfuata na kumuomba kwa kumshawishi ahudhurie mkutano wa Lissu ,
Na msaidizi wa Lissu akawa anawapa maswali watakayouliza, ambayo pia ameshajipanga kuyajibu ,bahati mbaya asilimia kubwa ya waliohudhuria mkutano huo au mikutano hiyo ni wale ambao hawaeleweki hata maisha yao wanaishije, watu wasio na makwao,

Kuna muda watanzania wamekosa wakaarika kila mweusi haijarishi ni wa Ghana, Ethiopia, au Nigeria ili wajifanye watanzania na kusikiliza tu wasiulize maswali ila wawe wanapiga makofi hata kama hawaelewi kinachosemwa,

Waliojitahid sana kuongea ni wakenya japo kiswahili chao kilikuwa hakieleweki,
Si ushangae mtanzania anasema kakaa marekani miaka 7 tu kashasahau kiswahili?

Mbaya zaid walikuwa wamemuandaa mwanamama mmoja ajifanye ni mwana CCM na avae sare za ccm ndani ya mkutano wa Lissu, alafu wakamwandaa kijana ambaye ni rrafiki yangu , na mama yule alitakiwa kuuliza swali la kumuudhi Tundu Lissu ili kijana mwingine huyu rafiki yangu akiamka kumkabili, hapo Lissu ajifanye kumtetea huyu wa CCM(Regina Temu), ila bahat mbaya haikuwezekana maaana kijana huyo alikuwa anauguza dada yake hospitali hakufika kwahiyo yule mama mwenye nguo za Ccm akaaa kimya,

Nini hasa Lengo la Tundu Lissu na waandaa mikutano hiyo
1.Ionekane watanzania wameguswa sana na yeye na kuhudhuria kwa wingi japo ile idadi haikuwa kubwa pamoja na kuchanganya na waafrika wengine hawakufika 40,
2.Dunia ione kwamba watanzania waishio nje wamemchoka Magufuli, kumbe siyo,

Nawahakikishieni Nia ya Tundu Lissu anaijua mwenyewe,

Tuendelee kumuombea apone kabisa

Upuuzi mtupu.
 
Back
Top Bottom