Ukweli juu ya waliohudhuria Mkutano wa Lissu USA

Nimeamua niiweke mambo wazi kuliko kubaki na Dukuduku tu,
Bwana Albert Anthony ni mkazi wa Texas , ndiyo alikuwa mratibu mkuu wa kukusanya watakaohudhuria mikutano,

Alafu bwana Marandu Thomasi wa Illinois naye akipewa Task hiyo,

Mambo yalikuwa hivi

Kila mtanzania ambaye alijulikana kuwa hapa marekani walimfuata na kumuomba kwa kumshawishi ahudhurie mkutano wa Lissu ,
Na msaidizi wa Lissu akawa anawapa maswali watakayouliza, ambayo pia ameshajipanga kuyajibu ,bahati mbaya asilimia kubwa ya waliohudhuria mkutano huo au mikutano hiyo ni wale ambao hawaeleweki hata maisha yao wanaishije, watu wasio na makwao,

Kuna muda watanzania wamekosa wakaarika kila mweusi haijarishi ni wa Ghana, Ethiopia, au Nigeria ili wajifanye watanzania na kusikiliza tu wasiulize maswali ila wawe wanapiga makofi hata kama hawaelewi kinachosemwa,

Waliojitahid sana kuongea ni wakenya japo kiswahili chao kilikuwa hakieleweki,
Si ushangae mtanzania anasema kakaa marekani miaka 7 tu kashasahau kiswahili?

Mbaya zaid walikuwa wamemuandaa mwanamama mmoja ajifanye ni mwana CCM na avae sare za ccm ndani ya mkutano wa Lissu, alafu wakamwandaa kijana ambaye ni rrafiki yangu , na mama yule alitakiwa kuuliza swali la kumuudhi Tundu Lissu ili kijana mwingine huyu rafiki yangu akiamka kumkabili, hapo Lissu ajifanye kumtetea huyu wa CCM(Regina Temu), ila bahat mbaya haikuwezekana maaana kijana huyo alikuwa anauguza dada yake hospitali hakufika kwahiyo yule mama mwenye nguo za Ccm akaaa kimya,

Nini hasa Lengo la Tundu Lissu na waandaa mikutano hiyo
1.Ionekane watanzania wameguswa sana na yeye na kuhudhuria kwa wingi japo ile idadi haikuwa kubwa pamoja na kuchanganya na waafrika wengine hawakufika 40,
2.Dunia ione kwamba watanzania waishio nje wamemchoka Magufuli, kumbe siyo,

Nawahakikishieni Nia ya Tundu Lissu anaijua mwenyewe,

Tuendelee kumuombea apone kabisa
Mkuu hebu rudia kuandika tena, maana sijakuelewa hasa. Au aliemuelewa anitafsirie.
 
Mt
Nashangaa hata mimi eti wengine hawajui kibongo thubutuuuu hahahaha usanii huu
Hii issue itawatesa saaana! Kwa hakika hamkutegemea kuwa angeleta mapigo kama mnayoyona. Salama yenu ni kutoa majibu ya maswali TAL anayoyaibua. Vingenevyo hili la kumuita eti mara msaliti au kibaraka cha mabeberu haitawasaidia!
 
Dr. Slaa akirudi gombea chama chochote 2020 nitampigia kampeni na ajuwe kabisa nitampigia kura yangu.
Sijawahi ona upresidential material ndani ya Lisu, so hata 2020 narudi mpigia jiwe tu. Namshauri T. Lisu ajiandae kumkabili mgombea yoyote wa 2025 lakini 2020 hawezi pita!.
- Wick
 
Nimeamua niiweke mambo wazi kuliko kubaki na Dukuduku tu,
Bwana Albert Anthony ni mkazi wa Texas , ndiyo alikuwa mratibu mkuu wa kukusanya watakaohudhuria mikutano,

Alafu bwana Marandu Thomasi wa Illinois naye akipewa Task hiyo,

Mambo yalikuwa hivi

Kila mtanzania ambaye alijulikana kuwa hapa marekani walimfuata na kumuomba kwa kumshawishi ahudhurie mkutano wa Lissu ,
Na msaidizi wa Lissu akawa anawapa maswali watakayouliza, ambayo pia ameshajipanga kuyajibu ,bahati mbaya asilimia kubwa ya waliohudhuria mkutano huo au mikutano hiyo ni wale ambao hawaeleweki hata maisha yao wanaishije, watu wasio na makwao,

Kuna muda watanzania wamekosa wakaarika kila mweusi haijarishi ni wa Ghana, Ethiopia, au Nigeria ili wajifanye watanzania na kusikiliza tu wasiulize maswali ila wawe wanapiga makofi hata kama hawaelewi kinachosemwa,

Waliojitahid sana kuongea ni wakenya japo kiswahili chao kilikuwa hakieleweki,
Si ushangae mtanzania anasema kakaa marekani miaka 7 tu kashasahau kiswahili?

Mbaya zaid walikuwa wamemuandaa mwanamama mmoja ajifanye ni mwana CCM na avae sare za ccm ndani ya mkutano wa Lissu, alafu wakamwandaa kijana ambaye ni rrafiki yangu , na mama yule alitakiwa kuuliza swali la kumuudhi Tundu Lissu ili kijana mwingine huyu rafiki yangu akiamka kumkabili, hapo Lissu ajifanye kumtetea huyu wa CCM(Regina Temu), ila bahat mbaya haikuwezekana maaana kijana huyo alikuwa anauguza dada yake hospitali hakufika kwahiyo yule mama mwenye nguo za Ccm akaaa kimya,

Nini hasa Lengo la Tundu Lissu na waandaa mikutano hiyo
1.Ionekane watanzania wameguswa sana na yeye na kuhudhuria kwa wingi japo ile idadi haikuwa kubwa pamoja na kuchanganya na waafrika wengine hawakufika 40,
2.Dunia ione kwamba watanzania waishio nje wamemchoka Magufuli, kumbe siyo,

Nawahakikishieni Nia ya Tundu Lissu anaijua mwenyewe,

Tuendelee kumuombea apone kabisa
Jifunza kutofautidha L na R halafu urudi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr. Slaa akirudi gombea chama chochote 2020 nitampigia kampeni na ajuwe kabisa nitampigia kura yangu.
Sijawahi ona upresidential material ndani ya Lisu, so hata 2020 narudi mpigia jiwe tu. Namshauri T. Lisu ajiandae kumkabili mgombea yoyote wa 2025 lakini 2020 hawezi pita!.
- Wick
Kumbe Umeliona hilo
 
Mataga mnahangaika kweli ,eti waliohudhuria ni watu wasio eleweka na wasio na makazi maalum ,je wewe unaeleweka ? ulivyoandika inaonekana hujawahi kuvuka hata sirari .
 
Lissu katushika pabaya sisi wanaCCM!! Tumebaki tunabwabwaja maneno mtandaoni.

Naipenda sana CCM yangu, but kwa hili la Lissu siko pamoja na wanachama wenzangu...hata kwa mtutu wa bunduki sikubali.

Hakuna damu ya mtu inayokwenda bure, lazima ilie ardhini ikataka haki.

HAKI HUINUA TAIFA, Tufikiri kwa kutumia vichwa vyetu na sio matumbo yenye njaa.

NAIPENDA TANZANIA, WATANZANIA TUSIKUBALI KUTUMIKA KAMA TOILET PAPER[/QUOTE
Kesho uamkie Lumumba upate za matakoni una element za kuasi
 
Nashauli mods waweke utaratibu
Member asiweze kuanzisha nyuzi angalau hata awe senior.
Hii itapunguza multiple ID's na nyuzi za kifwala kama huu.
Eti ukweli! Sasa sisi tuta thibitishaje kama ni ukweli?
Unajua maana ya kf kweli
 
KUMBE UNATAARIFA NYETI TUAMBIE MRATIBU WA KUMPIGA RISASI LISSU NA MRATIBU ALIYEFUKUZA WALINZI NA MRATIBU ALIYEONDOA CCTV CAMERAS PALE NYUMBANI KWA LISSU
 
Eti kuwaomba wahudhurie hivi kuna cha bure marekani? Rafiki yako akija kukusaidia basi utamtoa japo kwa kinywaji au kula flani. Halafu wakenya hawana tabia ya kujijumlisha na Watanzania sema ukweli wale wote walikuwa watanzania. Au hii ndio njia mnayotumia kwa mkulu mpaka Pascal kuuliza swali gumu akajitoa na kusema kikwao maana yake njaa.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
"Sir Isaac Newton, post: 30446729, member: 538723"]
Kuna muda watanzania wamekosa wakaarika kila mweusi haijarishi

Waliojitahid sana kuongea ni wakenya japo kiswahili chao kilikuwa hakieleweki,
Kwa wasomaji wa JF, huyu bwana ana ID nyingi sana. Ndiye kinara wa matumizi ya ''r'' kila mahali. Ukisoma thread yenye r za maudhi ni huyu bwana. Halafu anasema Wakenya hawajui kiswahili!
 
Back
Top Bottom