Ukweli juu ya sperm nyepesi

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,211
39,033
Wakuu habari za asubuhi,

Acha niende direct kwa mada. Binafsi masuala ya Biology yalipita pembeni hivyo naomba kujua hili jambo.

Wanaume wanaotoa sperm au shahawa nyepesi ni wana matatizo ya nguvu za kiume?

Karibuni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
"sperms viscocity" ni moja ya vigezo vinavyotumika kutathimini ubora wa sperm zenyewe..kama umajimaji wa kiume (semen) ukiwa hauvutiki kwa urefu unaotakiwa ni moja ya ishara kwamba sperm zinaweza zisiwe zenye ubora pia.

Kulingana na tafiti zilizofanywa (semen ) inatakiwa kuvutika japo sentimita moja(1cm) ila haitakiwi kuzidi sentimita 2(2cm) bila kukatika(kabla ya kukatika should form a string not less than 1cm but not greater than 2cm before breaking).

katika hali ya kawaida ndilo ninalo fahamu na kwa mwenye kujua Zaidi au kukosoa anakaribishwa pia wote tujifunze.
 
Frequency ya kufanya mapenzi hupunguza viscocity ya shahawa. Hivyo ukiona nyepesi ujue alishabutua mahali maranyingi muda mfupi tu umepita
 
Back
Top Bottom