Ukweli CHADEMA inapitia kipindi kigumu sana. Isipouliwa kipindi hiki, haitokaa ife kamwe.

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
CHADEMA inapita kipindi kigumu sana. Vita inayopigwa ni kali haswa, huu ndio ukweli ambao kila mwenye macho yasiyo na mawani za mbao anauona.

Lengo kuu la utawala huu wa CCM chini ya Mwenyekiti wake Raisi Magufuli na rasilimali na mamlaka zote alizopewa kama Raisi pamoja na washirika wake, ni kuhakikisha wapinzai wa kweli haswa CHADEMA wanafutika katika ramani ya siasa.

Ni wazi hili kwa CHADEMA ni pepeto. Pepeto hili limekutana na pumba nyingi kuliko ngano safi.

Huu ni wakati wa nchi kuwajua real revolutionaries, the bold sprits. Uwingi wa mapepe hauwezi kuzidi ubora hata wa mbegu moja safi ya ngano. Mbegu huleta uzao na ongezeko duniani, kila mtu asimamie anachokiamini.

Upinzani huletwa na discontent and dissatsifaction among the people. Viongozi wa upinzani ni sauti tu, Kinachojamba ni tumbo makalio hutoa sauti tu. Hitler aliamini atatimiza ndoto yakuwa Mkuu Duniani kwa kuangamiza Wayahudi. Hitler kafa na amebaki historia. Wayahudi bado wanazaliana in their millions. Wacheni mapepe yatoke maana destiny yake ni jalalani kwenda kuteketezwa, Mbegu chache zitakazobaki zitaleta uzao safi zaidi.
The darkest part of the night is near the morning.

Long live real opposition leaders.
 
Binafsi naona Cuf ndio wanaopitia kipindi kigumu........haya ya Chadema yalijulikana tangu day one Lowassa alipojiunga chadema!
 
Nasema tu CHADEMA haitakuja ifutike kwenye uso wa Tanzania ;kibaya zaidi mbinu inayotumika ni mbivu ya kijinga tena ya wazi kabisa. Nchi yetu kama inatumia mbinu za kijinga na za wazi Hivi dhidi ya adui yake haiwezi kuendelea.

Tutatumwa kukiujumu CHADEMA lakini tutatumia mbinu za wazi ili wananchi wazione na kujitafakari.
 
Hakuna dhahabu ambayo imeng'aaa pasipo kupitishwa kwenye moto mkali sana, baada ya mateso haya tutang'aa kama dhahabu iwe tukiwa hai au tukiwa wafu. Tukiwa wafu basi watoto na watoto wa watoto wetu watayatunza na kuyaheshimu makaburi yetu.
 
CHADEMA inapita kipindi kigumu sana. Vita inayopigwa ni kali haswa, huu ndio ukweli ambao kila mwenye macho yasiyo na mawani za mbao anauona.

Lengo kuu la utawala huu wa CCM chini ya Mwenyekiti wake Raisi Magufuli na rasilimali na mamlaka zote alizopewa kama Raisi pamoja na washirika wake, ni kuhakikisha wapinzai wa kweli haswa CHADEMA wanafutika katika ramani ya siasa.

Ni wazi hili kwa CHADEMA ni pepeto. Pepeto hili limekutana na pumba nyingi kuliko ngano safi.

Huu ni wakati wa nchi kuwajua real revolutionaries, the bold sprits. Uwingi wa mapepe hauwezi kuzidi ubora hata wa mbegu moja safi ya ngano. Mbegu huleta uzao na ongezeko duniani, kila mtu asimamie anachokiamini.

Upinzani huletwa na discontent and dissatsifaction among the people. Viongozi wa upinzani ni sauti tu, Kinachojamba ni tumbo makalio hutoa sauti tu. Hitler aliamini atatimiza ndoto yakuwa Mkuu Duniani kwa kuangamiza Wayahudi. Hitler kafa na amebaki historia. Wayahudi bado wanazaliana in their millions. Wacheni mapepe yatoke maana destiny yake ni jalalani kwenda kuteketezwa, Mbegu chache zitakazobaki zitaleta uzao safi zaidi.
The darkest part of the night is near the morning.

Long live real opposition leaders.
Jana tu nikiwa hapa Kwa Mama Mkwe nikiwa vacation, tumememya karanga nyingi sana, debe zima ambapo tumemwaga nusu debe makapi na maganda tukabakiwa na kilo mbili sawa na bakuli moja tu.

nimekuelewa mkuuu, mbegu ikibaki hata moja itaota na kumea, itazaa.

Chadema - Daima.
 
Chadema ni chama Imara to compare with other parts lakin napenda kumuona mh Mbowe akiwaachia uenyekiti vijana wadogo wenye kiu ya mabadiliko ....kuliko kuendelea kukaa hapo Juu bila sababu .
 
CHADEMA inapita kipindi kigumu sana. Vita inayopigwa ni kali haswa, huu ndio ukweli ambao kila mwenye macho yasiyo na mawani za mbao anauona.

Lengo kuu la utawala huu wa CCM chini ya Mwenyekiti wake Raisi Magufuli na rasilimali na mamlaka zote alizopewa kama Raisi pamoja na washirika wake, ni kuhakikisha wapinzai wa kweli haswa CHADEMA wanafutika katika ramani ya siasa.

Ni wazi hili kwa CHADEMA ni pepeto. Pepeto hili limekutana na pumba nyingi kuliko ngano safi.

Huu ni wakati wa nchi kuwajua real revolutionaries, the bold sprits. Uwingi wa mapepe hauwezi kuzidi ubora hata wa mbegu moja safi ya ngano. Mbegu huleta uzao na ongezeko duniani, kila mtu asimamie anachokiamini.

Upinzani huletwa na discontent and dissatsifaction among the people. Viongozi wa upinzani ni sauti tu, Kinachojamba ni tumbo makalio hutoa sauti tu. Hitler aliamini atatimiza ndoto yakuwa Mkuu Duniani kwa kuangamiza Wayahudi. Hitler kafa na amebaki historia. Wayahudi bado wanazaliana in their millions. Wacheni mapepe yatoke maana destiny yake ni jalalani kwenda kuteketezwa, Mbegu chache zitakazobaki zitaleta uzao safi zaidi.
The darkest part of the night is near the morning.

Long live real opposition leaders.
Eti chadema ni revolutionaries..usinifanye kucheka. Chadema ni reactionaries 'wapinga maendeleo' tena wakubwa. Kama chama cha upinzani chadema haina mchango chanya kwa sasa ila ina mchango hasi. Kama ni gurudumu la maendeleo ccm wakisukuma mbele cdm wako mbele kuzuia lisiende mbele. Ila gurudumu litaenda mbele na kuwakanyaga na ndio watakoma itakua mwisho wa cdm.
Nawaonea huruma wanacdm kindakindaki maana ufuasi wao kwa hivi sasa wanaunganishwa na maslahi binafsi dhidi ya maslahi ya umma na wengi wao ni bendera kufuata upepo kundi hili wengi ni ukabila.
 
Mtoa uzi kwa kuheshimu uhuru wa maoni naomba pia namie nitumie haki yangu hiyo nichangie haya!
Nimeshtushwa kidogo na line of your arguments hasa ulipotumia defending mechanism ya kusema upinzani imara au wa kweli kuwa ni Chadema!! Hapa naomba niseme hapana kwa sababu hizi,

Mosi nakataa kusema kwamba hii chadema kuwa chama imara cha upinzani kwani chama hiki kilipiga kelele na kuiambia jamii juu ya ubadhirifu wa baadhi ya viongozi wa CCM akiwemo Lowassa lakn chama hicho hicho kilikuja kufuta kauli zake kwa kumkaribisha kuwa mwanachama hatimaye kuwa mgombea urais! Hiki siyo chama cha upinzani kilichoimara nakataa!

Pili vyovyote itakavyosemwa, hiki chama kinadoa kubwa na kwa kweli kama siyo chuki za watanzania kwa CCM, Chadema kimekosa kuiishi icon yao ya initials zake ikiwemo kujiita chama cha kidemokrasia!! Hapa hakuna demokrasia hata kidogo ukubali ukatae!! Siasa huenda na wakati, kama chama hakitaki kubadilika kiuongozi utakiitaje kuwa hicho ni chama cha upinzani imara??? Utaikosoaje serikali iliyoko madarakani kama wewe hutaki kubadilika?? Kwanini ww upige kelele udikteta alimhali wewe unauishi,??

Chama ni pamoja na sera, je ajenda ya chadema awamu hii ya tano ni nn??? Utawezaje kujikwambua kutoka kwenye huo wakati mgumu unaousemea?? Hasa pale upande wa pili unahoja??? Na muda mwingi ww unakosoa sera zake bila ww kuwa hata na moja???

Iko wapi sera mbadala ya chadema??? Je iwapo ccm itaacha madhaifu iliyonayo je huo ndo utakuwa mwisho wa chadema??? Je kama wimbo wanaouimba sashv utaisha je chadema itakuwepo?? Kwa ajili ya nani na ifanye nn??

Kama hakutakuwa na mabadiliko hata yanayosemwa na wahasimu wao chadema hali itazidi kuwa mbaya kadri siku zinavyoenda ila kwakuwa wanachadema wanajipa matumaini ila muda ndo alpha n omega!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti chadema ni revolutionaries..usinifanye kucheka. Chadema ni reactionaries 'wapinga maendeleo' tena wakubwa. Kama chama cha upinzani chadema haina mchango chanya kwa sasa ila ina mchango hasi. Kama ni gurudumu la maendeleo ccm wakisukuma mbele cdm wako mbele kuzuia lisiende mbele. Ila gurudumu litaenda mbele na kuwakanyaga na ndio watakoma itakua mwisho wa cdm.
Nawaonea huruma wanacdm kindakindaki maana ufuasi wao kwa hivi sasa wanaunganishwa na maslahi binafsi dhidi ya maslahi ya umma na wengi wao ni bendera kufuata upepo kundi hili wengi ni ukabila.
Usingesema ivo ningekushangaa mwana Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom