Ukwel nilio ugundua ata kama mimi siyo mwanasiasa

Kuala Lumpur

Member
Jul 28, 2017
20
19
Me si mkereketwa wa siasa, lakin kidogo huwa nafuatilia mambo ya siasa. Hizi purukushani za watu kuhamia ccm ninaziona ona tu kama hivi...Nina maswali mawili wanaoweza kunijibu mtanijibu
1. Je , hivi haiwezekan kuunga mkono jitihada za mh rais ukiwa katka chama chako!? Ni mpaka uingie ccm ndo utaonekana unaunga mkono!?
2. Tanzania yetu rais huongoza kwa awamu, Je awamu ijayo/zijazo akitokea rais mwngine na akafanya tofauti na mnavyoona magufuli anafanya Je,mtarudia Tena upinzani Ama mtaendelea kubaki huko!?
 
Kuhama chama hasa kutoka upinzan kwenda ccm sababu kubwa huwa ni rushwa na ahadi za madaraka
 
Asipolipwa kiasi walichokubaliana yote tutajua.
Huyo alishamezeshwa sumu na Professor.
Yaani uchaguzi ujao wa 2020 tutashuhudia mambo mengi sana.
 
Me si mkereketwa wa siasa, lakin kidogo huwa nafuatilia mambo ya siasa. Hizi purukushani za watu kuhamia ccm ninaziona ona tu kama hivi...Nina maswali mawili wanaoweza kunijibu mtanijibu
1. Je , hivi haiwezekan kuunga mkono jitihada za mh rais ukiwa katka chama chako!? Ni mpaka uingie ccm ndo utaonekana unaunga mkono!?
2. Tanzania yetu rais huongoza kwa awamu, Je awamu ijayo/zijazo akitokea rais mwngine na akafanya tofauti na mnavyoona magufuli anafanya Je,mtarudia Tena upinzani Ama mtaendelea kubaki huko!?
njaa haina baunsa hata wewe huna jeuri kukataa pesa hasa za sisiemu sema tu zari halija kudondokea siasa ni ajira ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom