nadhan h mada ya leo n murua sana,nashangaa mzee magu anavyowafanyia wafanyakaz wanaolipwa kahela mbuzi,alisema atarekebisha mishahara ya watumish kwanza ndo kaamua kuwa minya kwa kuongeza asilimia kubwa kwa makato ya boda na kutowapandisha na kuwapa nyongeza ya mshahara ambapo ipo kihalali! m2 analipwa laki 5 anakatwa kod,boda lkn m2 analipwa m 10 na zaid lakn hakatwi bod wala kod lkn hawa watu kawaweka ktk kund moja la kuish kama mashetan amesahau kama watu wanaokula lak 3 tofaut na anayelipwa m15 na ushee! magu aliwapaka mafuta walimu kwa mgongo wa chupa kuwa ye2 katoka huko atawakumbuka sana la hasha hapo alisha jua kuwa walimu wanaugongwa wa kusahau mapema na wepes kudanganyika kama chama chao cha cwt kinavyowatenda,kaamua kutowaongezea nyongeza ya mshahara,kutowapandisha madaraja il waish kama mashetan! hongera maguu.