Snipperkilungu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 253
- 423
Duu
Una tumiaje?Binafsi natumia apple cider vinegar"with mother" kakitambi kangu kanasepa taratibu na kazoezi na kukata tumbo pia
Mzigua na wengine mnaokunywa green tea siwashauri maana ni bora unywe hata ukwaju au ufanye mchanganyiko wa matango,limao/ndimu,tangawizi na giligilani.Huo mchanganyiko ni super unasafisha figo,unapata choo,chakula kinasagika fasta na pia metabolism ya mwili inakuwa imeboreshwa.Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
duh wewe unastahili maombi ya kufunga na kukesha kuondoa hilo tumbo lako mkuuMbona mimi nina kitambi na kila nikienda chooni nashusha mzigo wa uhakika, tena mara mbili kutwa na kula yangu ya kawaida tu.
"Kuna wadau walishanieleza kwamba kitambi some time ni mlundikano wa kinyesi tumboni kwa uvivu wa kwenda chooni" khaaa!!!Habari za masiku tele wakuu
Kwanza nashukuru kukutana na wadau tele humu JF kwa kuwa nilitoka kitambo sana na sasa nimerudi.
Mada husika
Ukwaju na kitambi ni vitu haviendani kabisa,nimeanza kutumia ukwaju japo sina kitambi lakini tumbo langu linanikera kubwa flani hivi habari yake ni tamu mno..
Nimekunywa juisi ya ukwaju nashangaa nikienda chooni kwamba ule uchafu wote unatoka tumboni kwangu? Yani unashusha mzigo mfululizo kabisa sasa nikaassume je nikitumia kwa mwezi mmoja si hili tumbo litabaki flati kabisa.
Na kuna wadau walishaeleza kwamba kitambi some time ni mlundikano wa kinyesi tumboni kwa uvivu wa kwenda chooni au kula mfululizo ..
Wadau tengeneza juisi ya ukwaju mwenyewe kisha inywe glasi mbili mpaka tatu kwa mpigo narudia tengeza mwenyewe juisi ya ukwaju..
Ukinywa juice ya ukwaju ile kali, kaa karibu na toilet.Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Duuh aisee kumbe ni ya kutumia weekend tuEeeeh.. unaweza ukaharisha kama siku 3 mfululizo. Ukila kitu tu lazima uende chooni.
Mkuu nisaidie maandalizi yake maana nina mshikaji mazoezi yamegoma kutoa kitambiHabari za masiku tele wakuu
Kwanza nashukuru kukutana na wadau tele humu JF kwa kuwa nilitoka kitambo sana na sasa nimerudi.
Mada husika
Ukwaju na kitambi ni vitu haviendani kabisa,nimeanza kutumia ukwaju japo sina kitambi lakini tumbo langu linanikera kubwa flani hivi habari yake ni tamu mno..
Nimekunywa juisi ya ukwaju nashangaa nikienda chooni kwamba ule uchafu wote unatoka tumboni kwangu? Yani unashusha mzigo mfululizo kabisa sasa nikaassume je nikitumia kwa mwezi mmoja si hili tumbo litabaki flati kabisa.
Na kuna wadau walishaeleza kwamba kitambi some time ni mlundikano wa kinyesi tumboni kwa uvivu wa kwenda chooni au kula mfululizo ..
Wadau tengeneza juisi ya ukwaju mwenyewe kisha inywe glasi mbili mpaka tatu kwa mpigo narudia tengeza mwenyewe juisi ya ukwaju..
Mkuu unaiandaaje?Ukinywa juice ya ukwaju ile kali, kaa karibu na toilet.
Ukwaju unakuwa mwingi, maji kidogo. Ili concetration ya ukwaju kwenye juice iwe nyingi.Mkuu unaiandaaje?
Asante mkuuUkwaju unakuwa mwingi, maji kidogo. Ili concetration ya ukwaju kwenye juice iwe nyingi.
Hahaha lakini kula muhimu dada, hayo mambo ya kureplace kula eti unakunywa green tea ni kujitesa.Wachina wanakula sana ukwaju na matumbo yao ni flat. Pia wana kunywa green tea baada ya kula.
Wanakunywa green tea mara baada ya kula inasaidia digestionHahaha lakini kula muhimu dada, hayo mambo ya kureplace kula eti unakunywa green tea ni kujitesa.
Sasa wataanza kula lini?!
Ahaa okay, nilidhani green tea ndio msosi.Wanakunywa green tea mara baada ya kula inasaidia digestion
Mmh gas ni waste product kama jasho, choo kikubwa na kidogo. Ikiwa nyingi Karibu kubadili chakula, kula mboga za majani na matunda kwa wingi.Ahaa okay, nilidhani green tea ndio msosi.
Na unajuaje kama digestion ni nzuri au sio nzuri. Binafsi hata nikila vijiko viwili tumbo hilo, nahisi gas lakini haitoki bali ninakiwa na extended belly sijui ndio kitambi?!
Naweza kusema nakula hivyo ulivyosema, Ila mazoezi nimeacha kwasababu ya muda, still ngoma inapanda juu tu. Pombe sinywi often ni occasional drinkerMmh gas ni waste product kama jasho, choo kikubwa na kidogo. Ikiwa nyingi Karibu kubadili chakula, kula mboga za majani na matunda kwa wingi.