Samwel Meleka
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 602
- 266
Habarini ndugu,ningependa kujua ni njia gani sahihi naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa maumbile yangu ya kiume kwani ni madogo na yananiathiri sana kisaikolojia kila ninapoyafikilia
Mkuu rizika the way Mungu alivyokuumba usijaribu kumsahihisha muumbaji wako!