UKUU WA MKOA HAUPIMWI KWA KUZUIA WATU KUVUTA SHISHA,MASHOGA AMA KUVUTA SIGARA

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
819
1,320
Siungi mkono ushoga wala uvutaji shisha ama sigara hadharani,lakini nafikiri kuna taasisi kama ustawi wa jamii ndio wanaotakiwa kudeal na hivi vitu wao wako wapi ? Mkuu wa mkoa una mambo mengi ya kufanya matatizo ya barabara,madawa,gharama kubwa ya sukari maisha magumu hayawezi kumalizwa kwa kuacha kuvuta shisha au kuacha kuvuta sigara.Ukuu wako wa mkoa haupimwi kwa hivyo vitu,kuna matatizo mengi na makubwa ya kutatua kuliko hayo!! We mwenyewe mbona unapiga picha na mashoga ?? Mbona unawatag instagram ?? Au mpaka utajiwe shoga ni nani ??? Mimi nikuombe utoe amri ama tamko kwa Ustawi wa jamii katika mkoa wako,wape mda kuhakikisha hayo mambo hayapo katika mkoa wako na wewe uendelee na mambo mengine ya msingi kuhusu kero za wananchi,bado ziko nyingi sana hazijatatuliwa !
 
Huko kote ni kukurupuka tu...hayo mambo hayazuiwi kwa matamko ya kisiasa!!
 
Wanadai eti n yeye alipakatwa na Riz1.....sina uhakika ila ndio maneno ya mjini,,,,,,,wanasema nae hana lolote alipakatwa!!! Amewakumbatia watu wenye kusemekana ni Mashoga!! Sijui alimaanisha Mashoga masikini au wote!!
Siungi mkono ushoga wala uvutaji shisha ama sigara hadharani,lakini nafikiri kuna taasisi kama ustawi wa jamii ndio wanaotakiwa kudeal na hivi vitu wao wako wapi ? Mkuu wa mkoa una mambo mengi ya kufanya matatizo ya barabara,madawa,gharama kubwa ya sukari maisha magumu hayawezi kumalizwa kwa kuacha kuvuta shisha au kuacha kuvuta sigara.Ukuu wako wa mkoa haupimwi kwa hivyo vitu,kuna matatizo mengi na makubwa ya kutatua kuliko hayo!! We mwenyewe mbona unapiga picha na mashoga ?? Mbona unawatag instagram ?? Au mpaka utajiwe shoga ni nani ??? Mimi nikuombe utoe amri ama tamko kwa Ustawi wa jamii katika mkoa wako,wape mda kuhakikisha hayo mambo hayapo katika mkoa wako na wewe uendelee na mambo mengine ya msingi kuhusu kero za wananchi,bado ziko nyingi sana hazijatatuliwa !
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom