Ukuu wa Mikoa: Rais Magufuli alishauriwa vibaya juu ya Elaston Mbwilo

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
2,000
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
 
farajakwangu

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
1,946
2,000
Msifikiri hao anaowateua anakuwa anawafahamu kiundani wengine hata CV zao hana Bali uambiwa hivi tafadhali Fulani na Fulani usimwache kwenye ngazi Fulani ya uteuzi ukikosa hapa MPE pale ana hali mbaya Mpaka sasa hana kazi yoyote, tafadhari usimwache.
 
tutafikatu

JF-Expert Member
Dec 17, 2011
1,881
2,000
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Ulitaka yupi aachwe?
 
Easyway

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
2,606
2,000
Kuachia madaraka na kupisha wengine ni jambo la msingi,kuna watanzania wengi wanaoweza kufanya kazi vizuri.

Nyerere aliwahi kumtoa Mzee Kawawa kwenye uwaziri mkuu bila sababu yoyote,Mzee Kawawa alikuwa hajafanya baya lolote,ila mwalimu aliamua kumbadilisha tu.
 
Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,501
2,000
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Moja ya haki za msingi za raisi ni kufanya maamuzi hata kama anakosea. "Chaguo" lako si lazima liwe lake. Usijali, siku utakapopata fursa aliyo nayo JPJM na wewe utakuwa na haki aliyo nayo na utateua watu huku ukiwaacha nje "wapendwa" wa watu!
 
Jang Bo Go

JF-Expert Member
Oct 22, 2011
854
250
Msifikiri hao anaowateua anakuwa anawafahamu kiundani wengine hata CV zao hana Bali uambiwa hivi tafadhali Fulani na Fulani usimwache kwenye ngazi Fulani ya uteuzi ukikosa hapa MPE pale ana hali mbaya Mpaka sasa hana kazi yoyote, tafadhari usimwache.
Anawafahamu mkuu, mfano Makala, Zambi, Mwanri, Kilango, Makonda n.k anawafahamu vizuri sana.
 
Mimi Fulani

Senior Member
Sep 26, 2013
180
250
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
JE? KWENYE UCHAGUZI MKUU ALIISAIDIA CCM KUSINDA??? KAWAKAMATA UKAWA MARA NGAPI??? KAMA SIVYO HAFAI KUWA MKUU WA MKOA
 
Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,108
2,000
Msifikiri hao anaowateua anakuwa anawafahamu kiundani wengine hata CV zao hana Bali uambiwa hivi tafadhali Fulani na Fulani usimwache kwenye ngazi Fulani ya uteuzi ukikosa hapa MPE pale ana hali mbaya Mpaka sasa hana kazi yoyote, tafadhari usimwache.
ahahaha,eti ana hali mbaya sana!kiuchumi au kihali?
 
Songambele

JF-Expert Member
Nov 20, 2007
4,483
2,000
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .

Ni wakati wa mabadiliko, mabadiliko hayaji kwa kuzungusha mikono yanataka maamuzi yasiyo ya kawaida pole lakini kubali changamoto za mabadiliko. anaweza pangiwa kazi nyingine pia.
 
mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
8,888
2,000
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Acha kulia lia! Wakati yeye alipoteuliwa kuna watu wengi tu sahihi walioachwa! Sasa ni zamu yake kuachwa! Watu sahihi ni wengi! Hata hivyo, ameshazeeka Huyo! Unataka afie ofisini?
 
Zeng

Senior Member
Apr 14, 2012
186
195
Who is perfect 100%?
Acha wengine wafanyike Kwa kazi. Akapumzike salama....
 
Lusungo

JF-Expert Member
Jan 4, 2014
22,709
2,000
Kila mtu aliyewahi kufanya kazi na huyu mzee atakubaliana nami kwamba Elaston Mbwilo hakuwa mtu wa kuachwa katika uteuzi wa Ma_RC alio ufanya boss. Rekodi za mbwilo kila sehemu aliyofanya kazi inajulikana kwamba ni mtu anayependa kuwa karibu sana na wananchi,magufuli washauri wake kuna wakati wanafanya makosa .
Kama alisahau kucheza na media kama kina Mulongo asahau....

Then anatokea wapi huyo?
 
ZaBeast

JF-Expert Member
Aug 17, 2015
777
500
Msifikiri hao anaowateua anakuwa anawafahamu kiundani wengine hata CV zao hana Bali uambiwa hivi tafadhali Fulani na Fulani usimwache kwenye ngazi Fulani ya uteuzi ukikosa hapa MPE pale ana hali mbaya Mpaka sasa hana kazi yoyote, tafadhari usimwache.Hahaha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom