Chabruma
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 5,660
- 1,777
Huu ndio ukweli ambao unapaswa kusemwa wazi wazi. CHADEMA kwa sasa wamevurugwa. Wamechanganyikiwa na wamezubaa kutokana na kasi kubwa ya maendeleo anayopiga Rais Magufuli. Kwa sasa wametelekeza hoja yao ya ufisadi na sasa wamegeukia ajenda ambayo hawakuwa nayo wakati wa kampeni.
UKUTA umetangazwa Septemba Mosi, siku ambayo ni ya kazi na hivyo ikiwa maandamano yatafanyika, hakuna kitakachoendelea siku hiyo. Watakuwa wameizuia serikali isifanye kazi yake.
Maandamano ya CHADEMA yatakuwa hayana kikomo. Maana yake ni kwamba serikali itasitisha mambo yote ili ihangaike na UKUTA. Hili halitakubalika.
Niwatahadhalishe ndugu zangu wa CHADEMA kuwa kuongoza nchi si lelemama. Rais Magufuli amepewa mamlaka makubwa kikatiba na ikiwa atatumia mamlaka hayo kudeal na UKUTA hakika kuna watu wataumia sana. Ni tahadhali tu naitoa kwenu wana UKUTA