Ukusemwa sana unaula


C

choga mkuu

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
283
Likes
106
Points
60
C

choga mkuu

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
283 106 60
Serikali ya awamu ya tano imeingia na mtindo wake Wa kupata watumishi Wa uma kupitia njia inayofedhehesha. Aidha hata Mkuu Wa kaya amekuwa akisema kabsa kwa " walikusema sana nikaamuwa nikuteue ili waseme vizuri ,na wengine hata wakikasilika watajijua". Kumteua mtu kwa kusemwa ndo inakuwa CV yake sidhan kama wateule hao watatumikia wananchi bila kujali utofauti Wa kiiman,kabila hata siasa maana ameteuliwa ili kuwakomesha wananchi. Leo Mkuu Wa wilaya ya iringa, yuko pale si kwa kigezo kingine ila ni kwa sabab ya kusemwa kwake. Nk
Tutaona kama kile wananchi walichokuwa wanakitegemea kama kitatoke
 

Forum statistics

Threads 1,237,029
Members 475,398
Posts 29,276,036