Ukusanyaji wa Vitambulisho vy Kupigia Kura

Shaycas

JF-Expert Member
Feb 13, 2009
906
110
Juzi nilikuwa kijiji kimoja huko Rombo.
Bahati nzuri au mbaya nilikutana na balozi wa mtaa akiwa na kadi nyingi za watu mbalimbali wa mtaani kwake,ikabidi ni muulize kulikoni? Balozi wa watu akanionesha barua ya mwenyekiti wa kijiji kwenda kwa mabalozi wote ikiwaagiza waandike JINA LA MTU,NAMBA YA KADI YA CCM(sehemu ilipotolewa na mwaka wa kutolewa) na NAMBA YA KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA(mwaka kilipotolewa na mahali kilipotolewa).
Nilimuuliza lengo la kufanya hivyo ni nini lakini hakuwa na jibu bali alisema huenda m/kiti anataka kujua watakaokuwa na sifa za kupiga kura.Nlimuuliza tena ili iweje? Akajibu "hata mimi sijui".
My take:
Hii ni mikakati kuelekea uchaguzi mkuu.
Je zoezi kama hili linaendelea ktk sehemu nyingine hapa Tanzania?
Kama ndio,nini lengo lake na kama ni hapana,kwanini iwe Kijijini ktk wilaya ya ROMBO?
 
Wee chalii yangu hujui kusoma? Ccm ni wajanja sana. Hapo wanafanya se sas ya wanachama wao na kuhakikisha wana kadi za kupiga kura. To ensure that wanachama wao wanapiga kura. However, kuna mkanganyiko kwenye local government ongovernmenta authorities in the mtaa level. Mwenyekiti wa mtaa ni kiongozi wa kisiasa ambaye bos wake sio VEO bali ni mwenyekit wa kijiji.
I wish upinzani wangefanya hili. This is a serious and tactful strategy and yet legal.
 
Safari bado ni ndefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom