Ukusanyaji wa kodi za majengo unapaswa kuenda sambamba na utoaji namba za majengo na urasmishaji wa maeneo

Victor Mlaki

JF-Expert Member
May 1, 2016
3,524
3,422
TRA wanafanya kazi nzuri sana ya kukusanya kodi lakini kwenye suala la kodi za majengo hasa maeneo ya Vijijini ni vizuri zoezi hili likaenda sambamba na utoaji namba za majengo na pia urasmishaji wa maeneo.

Mathalani mtu anadaiwa kodi ya jengo tena yenye riba juu lakini anandikiwa mtaa na Kijiji tu ila ploti na namba ya nyumba inayodaiwa haijulikani jambo hili linaweza likaruhusu mianya ya ubadhirifu kwa pande zote.
 
Kazi nzuri wapi... TRA makumbusho wiki Sasa system zao ziko down mpaka watu wanashindwa lipia majengo au ndiyo wanawaingiza kwa style walipaji wawe na penalty.

Ova
 
Back
Top Bottom