Ukurasa wa Sita wa I Can I Will I Must; Je, wajua Mengi alitaka kuuawa kisa kuanzisha ITV?

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,368
Kupitia ukurasa wa sita wa kitabu I Can I Will I Must moja ya sehemu iliyonivutia ni pale ambapo mzee wetu Marehemu Mengi anaelezea kisa cha kutaka kumuua kilichotaka kufanywa na waasia baada ya kujua kuwa nae amepata leseni ya kuendesha biashara hiyo.

Kumbe wakati huo Waasia ndio walikuwa wamepewa leseni ya kuendesha biashara ya television. Mzeee Mengi anaelezea alilazimika kupewa ulinzi kutoka kwa Jeshi la polisi na ndivyo alivyonusurika.

Najiuliza ungekuwa utawala wa Nyerere kipindi hicho si angeuawa? Tujadiri tafadhali.

Funzo hapo kumbe kitendo cha akina Said Kubenea kumwagiwa Tindikali pamoja na Absolom Kibanda ndio kilichopeleka mzee wetu kujitoa kuwatibia kwani alijua fika hata yeye aliwahi nusurika.

Je, uvamizi wa Makonda kwa chombo cha habari Clouds Media ni mwendelezo wa stupidity attack kwa media industry ambavyo ni moja ya urithi mbaya kwa Taifa?

Naja na engo nyingine kuelezea nilichokutana nacho ukurasa wa Sita.
 
Naona umebadili jina la kitabu!
 
Stori nzuri umeharibu kumuongiza bashite ambae uvamiaji wake wa kituo hauna uhusiano na habari ya leseni ya mengi na kunusurika kuuawa.
 
Back
Top Bottom