Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Tukisema hapa kuna watu watadai tunakashfu imani ya watu ila kanisa katoliki siyo dhehebu sahihi kimaandiko hata huyo nyoka anasadifu ni nani kiongozi wake rejea ktk biblia yule anayetajwa kama nyoka ni nani ukimfahamu basi huyo ndiye
Ukichokonoa Imani ya mtu lazima Akupinge mkuu
 
Always mtu anaona anachotaka kuona, kama ubongo wako umejipanga kuafananisha na nyoka lazima itafanana, akija mwingine akifananisha na kitu kingine itafanana pia. Kuna mada humu inasema kwenye mwezi kuna picha ya mwanamke kabeba mtoto; hicho ndicho kitu ubongo wake umeamua kuona na atakiona kweli. Kuna ile picha ya monalisa iliyochorwa na Davinch, wanasema ni picha ambayo ina all expressions of human feelings; yani ukiitazama kuona kama anafuaha utaiona, ukitaka kuona huzuni utaiona n.k, n.k. Mimi nilikua naiona siku zote but sikuwahi kuona ivo vitu but the day nilivyoambiwa hivyo nikaenda google kuicheki nikiwa na hiyo mentality na kweli niliziona expressions zote, coz ndicho ubongo wangu ulitaka kuona na kuprove.

Mtahangaika sana kuhusu Pope but this will never change a thing; yani hizi stori mnazotoa zote ni marudio hakuna mpya na hiaitatokea; coz Kanisa ni Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume. Mungu kaliinua na hakuna wa kulishusha, Period.
Wakati tunaandika haya Tulitegemea Kitu kama hicho

Ukirejelea kwenye Nyuzi yangu sidhani kama nimeandika sehemu yoyote Ubadili dhehebu au dini yako hamna kifungu hicho

Ila kwenye kasoro hainizuwii mimi kuandika

Mfano makka, Kuliingizwa baadhi ya Mila za western na Walinzi kutoka USA wakawa Wanalinda pale

Zikajengwa obelisk Ambayo moja kwa moja ni Identity ya Shetani na Mungu Hapendi
Hivyo Eti labda kwakuwa mie ni muislam ndiyo nishindwe kureveal Laa hashaa!!

Huyo DaVinci ndiyo mwiba haswa ,wa wakatoliki juu ya mambo aliyokuwa akifuchua hakufukuzwa Italia burebure tu
 
Unaweza fananisha hio pattern na kitu kingine ukiacha nyoka?

Tunafaham kuwa ubongo huwa una kawaida ya "Ku assign meaning" from "patterns"

Lakini kuna aina mbili za pattern....tuna random patterns, hizi hazina Creator
Ni product ya chance/nature

Kama sura ya MTU mwezini,sura ya nyerere kwenye mti etc...

Ila kuwa designed patterns,mfano sura yako..
Michoro au emoji...

Sasa designed pattern huwa ni intended,yaani zimeundwa kuonyesha hicho unachokiiona
Na haiwezekani kwa watu wawili kuona picha tofauti kwa sababu bongo zetu zinatumia same Mechanism...

Ndio maana nikauliza hapo juu unaweza kuona picha nyingine tofauti na nyoka?...umeona tembo?

Ndipo tunaporudi kwenye Maada
Huo ukumbi wa papa,wahandisi wake walitaka uone unachokiiona,hizo ni design patterns

Sasa swali linakuja kwanini "Nyoka"?

Unonekana unautazama ulimwengu kupitia tundu la kitasa
Your view of reality is very limited
🤝🤝
 
Kuna kitabu kinaitwa the Great Secret kitafute
Kina majibu ya maswali hayo...
As long as utaanda ubongo wako kujifunza kitu kipya...ni life changing

Note:Ukweli huwa wanaufahamu watu wachache sana kwasababu knowledge ndiyo inayofanya watu watawale...
Mambo mengi tunayoaamini tunayafahamu ni uongo..
sahihi
 
Ukishafahamu jambo kwamba ni uongo basi hauamini tena....

Imani ndio hivyo ni ukweli according to wewe, kwa mwingine zinaonekana ni make believe stories..., kwahio hata unachokiamini unadhani ni ukweli so long as ni imani huenda ndio zile zile tu fiction....

Ila katika civilized world ni heri kila mtu aendelee kuamini story zake ilimradi haingilii maisha ya mwingine
Aisee
 
Umenikumbusha Kuna documentary moja Inaitwa SECRET OF SYMBOL mpak lile duara la nyuma katika picha ya yesu nilivyojua maana yake nilichoka..!
Mkuu hii Dunia ina mengi sana

Tatizo tushapangiwa vichache Tunavyotakiwa kujua na ndio Tumevijua hivyo tu
 
Back
Top Bottom