Ukumbi wa Mpira

ntule

Senior Member
Feb 18, 2014
105
29
Nimefungua ukumbi wa kuonyesha
Mechi za lingi mbalimbali duniani ,msaada wenu kwenye kuupa jina LA ukumbi ,napendekeza jina liwe LA kuvutia kwa washabiki wa mpira,,
 
Nou Camp Stadium utatisha sana

Ukishindwa hilo jina mwanana uite MAKINIKIA STADIUM
 
Asnten kama kuna nyongeza ruksa kuniongezeaa hata majina mengine
 
Back
Top Bottom