Ukubwa wa Ulimwengu ni kiasi gani?

pia mkuu nina swali zaidi hapo,inaaminika diameter ua universe ni 46.5 billion light-years according to google na pia universe ilianza approximately 3.8 bilion years ago

swali ni how come kitu ilioanza 3.8 bilion years ago ina kuwa na diameter ya 46.5 mot years but light years?.
Ujue light year maana yake sio umri ni umbali.Maana yake umbali wa speed ya mwanga kusafiri kwa mwaka mmoja.Kumbuka speed ya mwanga ni 300milioni kilomita kwa sekunde.
Sasa unapoambiwa diameter ya universe billion 46.5 maana yake ni miaka hiyo unasafiri tu ni umbali mkubwa mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good question... Props 2 u
Hilo swali lako inabidi ujue kwanza relativity,Doppler effect na fact kuwa the universe is expanding...
apologies 13.8 bilion na sio 3.8 bilion years but question is still there
Inatakiwa ujue kuwa nyota unavoziona leo hazipo hivyo saivi lakini zilikuwa hivyo miaka mabillioni iliyopita...namaanisha kuwa hata jua likibadilika rangi sekunde hii,,,duniani hatutajua mpaka baada ya dakika nane ndo tutashtuka.
Jibu la swali lako ni simple tu kwamba mwanga unatufikia kutoka miaka 13.8billion iliopita lakini nyota yenyewe iko umbali wa 46billion LY kwasababu universe yenyewe inaexpand kwa speed kubwa kuliko mwanga....
inamaana nyota ilipotoa huo mwanga kipindi ina umbali wa 13.8billion LY ilipelekwa mbali na spacetime hivyo huo mwanga umetufikia sisi leo lakini nyota yenyewe imeshafika umbali wa 46billion LY..........what's spacetime?
Huu ulimwengu una dimensions nne(Einsteinian) x,y,z and time...kwahiyo fabric ya space na time inatengeneza kitu kinaitwa spacetime.. Hii spacetime ndiyo inaexpand na kufanya nyota zionekane zinakimbia kuliko mwanga...lakini pia utambue hiyo 46billion LY ni radius ya observable universe kwa kumaanisha kuwa zaidi ya hapo pia kuna matter sema mwanga wake haujatufikia na possibly hautatufikia

Tukianza na relativity concept inasumbua kitu kimoja tumejifunza kuwa HAKUNA kitu chenye speed kubwa kuliko mwanga,,lakini hii ni ukweli endapo hiko kitu kimo ndani ya space...lakini space yenyewe inaweza kuwa na speed kubwa zaidi ya mwanga..
Kwahiyo nyota iliyokuwa umbali wa 13.8billion LY miaka 13.8billion iliyopita leo hii ipo umbali wa 46billion LY....wamejuaje hiyo namba??

Hii wameijua kupita Doppler effect walizigraph galaxy mbalimbali na red shift zake Kwenye light spectrum na baada ya kufanya hivyo wakagundua rate ya expansion ya space through history kitu ambacho kilitusaidia kujua kama mwanga umefika leo na una umbali wa 13.8billion LY maana yake ni kuwa baada ya universe kuexpand (kupitia hiyo rate waliyoipata from Doppler)sasaivi source ya huo mwanga utakuwa umbali kadhaa ambao kimahesabu ilileta 46billion LYs..

Hope nimekujibu kama sijaeleweka sehemu feel free to ask
 
Good question... Props 2 u
Hilo swali lako inabidi ujue kwanza relativity,Doppler effect na fact kuwa the universe is expanding...Inatakiwa ujue kuwa nyota unavoziona leo hazipo hivyo saivi lakini zilikuwa hivyo miaka mabillioni iliyopita...namaanisha kuwa hata jua likibadilika rangi sekunde hii,,,duniani hatutajua mpaka baada ya dakika nane ndo tutashtuka.
Jibu la swali lako ni simple tu kwamba mwanga unatufikia kutoka miaka 13.8billion iliopita lakini nyota yenyewe iko umbali wa 46billion LY kwasababu universe yenyewe inaexpand kwa speed kubwa kuliko mwanga....
inamaana nyota ilipotoa huo mwanga kipindi ina umbali wa 13.8billion LY ilipelekwa mbali na spacetime hivyo huo mwanga umetufikia sisi leo lakini nyota yenyewe imeshafika umbali wa 46billion LY..........what's spacetime?
Huu ulimwengu una dimensions nne(Einsteinian) x,y,z and time...kwahiyo fabric ya space na time inatengeneza kitu kinaitwa spacetime.. Hii spacetime ndiyo inaexpand na kufanya nyota zionekane zinakimbia kuliko mwanga...lakini pia utambue hiyo 46billion LY ni radius ya observable universe kwa kumaanisha kuwa zaidi ya hapo pia kuna matter sema mwanga wake haujatufikia na possibly hautatufikia

Tukianza na relativity concept inasumbua kitu kimoja tumejifunza kuwa HAKUNA kitu chenye speed kubwa kuliko mwanga,,lakini hii ni ukweli endapo hiko kitu kimo ndani ya space...lakini space yenyewe inaweza kuwa na speed kubwa zaidi ya mwanga..
Kwahiyo nyota iliyokuwa umbali wa 13.8billion LY miaka 13.8billion iliyopita leo hii ipo umbali wa 46billion LY....wamejuaje hiyo namba??

Hii wameijua kupita Doppler effect walizigraph galaxy mbalimbali na red shift zake Kwenye light spectrum na baada ya kufanya hivyo wakagundua rate ya expansion ya space through history kitu ambacho kilitusaidia kujua kama mwanga umefika leo na una umbali wa 13.8billion LY maana yake ni kuwa baada ya universe kuexpand (kupitia hiyo rate waliyoipata from Doppler)sasaivi source ya huo mwanga utakuwa umbali kadhaa ambao kimahesabu ilileta 46billion LYs..

Hope nimekujibu kama sijaeleweka sehemu feel free to ask
Asante sana seems like we vibrate in the same frequency.Nelkon,University physics and others.
Tena Doppler effect ndio imezaa technology ya zile tochi za polisi anakumulika na tochi kisha anakuambia umezidisha mwendo.Doppler ni aliyegundua miaka ya 1700

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana seems like we vibrate in the same frequency.Nelkon,University physics and others.
Tena Doppler effect ndio imezaa technology ya zile tochi za polisi anakumulika na tochi kisha anakuambia umezidisha mwendo.Doppler ni aliyegundua miaka ya 1700

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes bro.Kwenye light spectrum kuna two opposite ends ya blue(short wavelength) na red(long wavelength) sasa wavelength ya light kama source ipo static itamfikia observer kama ilivyo...namaanisha kama light ni blue light ikiondoka from stationary source itamfikia observer ikiwa blue ivo ivo..
Kwahyo kama ulimwengu ungekuwa stationary na hauexpand kusingekuwa na mabadiliko kwenye wavelength ya mianga ya nyota.

Kama source inamove kumfuata observer kutakuwa na blue shift kwakuwa wavelength inapungua lakini kama source inamove away from observer kutakuwa na red shift kwakuwa wavelength inaongezeka
Sasa kwa hii principle ukiangalia nyota ya karibu ina red shift ya mbali kidogo ina red shift kubwa kidogo ya mbali sana na yenyewe ina red shift kubwa Sana it means the further you go the faster the universe is expanding ndo maana nikasema kuna galaxies mwanga wake hautakuja kufika duniani milele kwasababu zinaiacha dunia kwa speed kubwa kuliko mwanga..
Doppler wanayotumia traffic inawezekana kwasababu kale katochi kanatoa radiation(radiowave,lightbeam or microwave) zile zinaenda zinabounce Kwenye gari zinarudi...kama gari likiwa stationary hazibadiliki wavelength kwahyo zinasoma gari speed ni zero...kama gari linakuja zinablue shift(wavelength inapungua) hivyo kimahesabu kale katochi kanajua kama wavelength imepungua kiasi gani basi gari linakuja na speed gani...vivyo hivo kama gari likiwa linaondoka ile wavelength itaongezeka kwahyo ita red shift na traffic atasoma negative speed ya gari linavyoondoka.
 
SEHEMU YA SITA

MUDA AMBAO SATELLITE INATAKIWA KUZUNGUKA DUNIA MARA MOJA
Muda ambao satellite inatakiwa izunguke dunia mara moja Kitaalamu inaitwa Period na inafupishwa kama T.
Kanuni yake ni
T=2pie×sqr(R+h)^3/GM

pie is pai=3.14
sqr is square root
R is radius of earth=6,400,000km
h is distance from earth to satellite(moon)=384,000km
G is Universal gravitation constant=6.67×10^-11
M is Mass of earth=6.31×10^24kg

Kutokana na kanuni hiyo hapo juu tumeona kuwa muda satellite unaotakiwa kuzunguka dunia mara moja unategemea na umbali kutoka duniani hadi kwenye hiyo satellite peke yake.
Kadiri satellite inavyowekwa juu zaidi ndio inachukua muda mrefu zaidi kuzunguka dunia.Kwa kanuni hiyo ndio maana mwezi unachukua muda wa siku 27 kuzunguka dunia yetu.Sababu umbali kutoka kwenye dunia hadi mwezini ni mkubwa 384,000km.
Lakini artificial satellite sababu ziko karibu na dunia zinachukua muda mfupi sana kuzunguka dunia.zinaweza kuzunguka hata mara 10 au 20 kwa siku.
Kanuni ya artificial satellite ambayo inazunguka karibu na dunia kutafuta inazunguka mara ngapi dunia kanuni yake iko tofauti kidogo na kanuni ya hapo juu kwa maana kuwa umbali kutoka duniani hadi ilipo satellite h unaonekana mdogo kuuweka kwenye hesabu hivyo unakuwa neglected tunachobaki nacho ni nusu kipenyo cha dunia tu R ndio kinaingizwa.
Kanuni inakuwa
T=2pie×sqr R/g
g is acceleration due to gravity g=9.8m/s^2

T=2×3.14×sqr ya 6.4×10^6/9.8=5075s=84min
Kwa maana hiyo satellite iliyo karibu na dunia inatumia dakika 84 kuzunguka dunia mara moja au inazunguka mara 17 kwa siku moja yaani masaa 24.
Pia kuna uwezekano kutafuta umbali satellite ilipo angani kutoka duniani kwa kilomita kwa kutumia formula juu ili mradi ujue T muda satellite inazunguka mara moja dunia,R nusu kipenyo cha dunia na g nguvu ya uvutano ukiwa duniani ambayo ni 9.8
Itaendelea............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SEHEMU YA SABA
SATELLITE ZILIZO ANGANI ZISIZOTEMBEA
Satellite inayoonekana na mtu aliyesimama duniani haitembei inaitwa Geostationary satellite au Stationary satellite.
Geostationary satellite inazunguka kwa angular speed ile ile ambayo dunia inazunguka . Inazunguka kutoka magharibi kwenda mashariki kama dunia inavyozunguka.Kwa hiyo speed hiyo relative to earth ni sifuri ndio maana inaonekana kama haitembei.
Mfano mzuri ukiwa kwenye train mbili zenye uelekeo mmoja lakini zikawa zinakimbia kwa speed sawa.Mtu ukichungulia train ingine utaona haitembei.Hata milango ingekuwa imeelekeana unaweza kutoka train moja kwenda nyingine bila shida.
Period au muda wa dunia kuzunguka kwenye mhimili wake ni masaa 24 hivo hata T ya stationary satellite nayo inatakiwa iwe ni 24 hrs.
Satellite nyingi za mawasiliano duniani ni stationary satellite ili habari moja iweze kufika kwenye uso wa dunia sehemu nyingine kirahisi.
Geostationary satellite inarushwa usawa wa equator kwa umbali wa 36,000km kutoka duniani kwa orbital speed ya 3.1km/s.
Orbit ya geostationary satellite inaitwa kwa jina lingine Parking orbit.

JINSI YA KUWEKA SATELLITE KWENYE PARKING ORBIT
Ili kufanya hivyo lazima satellite ipelekwe na rocket juu angani 36,000km ikifikishwa huko engine ya rocket inaisukuma sambamba na dunia kwa speed ya 3.1km/s.

POLAR SATELLITES
Satellite inayozunguka dunia kutoka north pole kwenda south Pole huku ikitengeneza nyuzi 45 na equator inaitwa polar satellite.Inakamilisha mzunguko wake mmoja inapotoka ncha ya kaskazini kufika ncha ya kusini na kurudi tena ncha ya kaskazini ikiwa ni zoezi endelevu.
Kwa sababu inatoka ncha ya kaskazini na kwenda ncha ya kusini ina fanya kazi kwa ufanisi mkubwa kwasababu ina scan sehemu kubwa ya dunia.
Polar satellites zinatumika ku record joto la ardhini na bahari,kupiga picha za mawingu,na kufanya tabiri za hali za hewa duniani.
Ikumbukwe kuwa polar satellite inafanya utabiri wa hali ya hewa wa dunia kwa usahihi zaidi kuliko geostationary satellite kwasababu polar satellite ina scan sehemu kubwa ya dunia.
MATUMIZI YA ARTIFICIAL SATELLITES
I .Zinatufanya tujifunze zaidi kuhusu atmosphere yetu.
ii.Zinatabiri hali ya hewa.
iii.Zinatufanya tujifunze kuhusu mionzi kutoka kwenye jua na anga zingine za juu.
iv.Zinatufanya tujue uhalisia wa shepu na vipimo vya ukubwa wa dunia.
v.Zinatusaidia kutuma signals za redio,television,computer na mawasiliano mengine.
vi.Vyombo vinavyokwenda anga za juu mfano mwezi,mars vinawezekana kutokana na msaada wa taarifa za artificial satellite.
vii.Satellite zinasaidia kwenye mambo ya kijeshi na kijasusi
viii.Kutumika kuonyesha GPS za dunia nzima.
MAMBO YA KUJIULIZA
Inasemekana kuna zaidi ya satellites 8,900 angani zilizorushwa na mataifa mbali mbali nyingi zikiwa za Marekani.Urusi mwaka 1957 ndio nchi ya kwanza kurusha satellite duniani iliyoitwa Sputnik1.Yako mambo ya kujiuliza wewe na mimi.
1.Je satellite inakuwa na umri gani kufanya kazi yake manake kwa vyovyote zinatumika solar battery je hazichoki.
2.Huku duniani tunasema uchafuzi wa mazingira je mataifa haya kwanini yasikae pamoja na kutengeneza satellite chache wakishirikiana
3.Satellite ikiwa haifanyi kazi wana utaratibu gani kuirudisha duniani kuzuiya uchafuzi.
4.Imeshatokea satellite zikagongana je walichukua hatua gani.
5.Je satellite zenyewe zikipata hitilafu angani wanakwendaje kurekebisha.
6.Kwa nchi kama sisi Tanzania kuna utaratibu upi wa kulipa huduma za satellite maana kiukweli hata ukiangalia TV lazima satellite inatumika . ukipimwa kiwanja wakikuwekea vigingi zile GPS
co-ordinates satellites inatumika.

Hapo chini picha ni mfano wa polar satellite inavyozunguka.

Itaendelea. .........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jinsi polar satellite inavyozunguka mshazari na equator
20200120_193512.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SEHEMU YA KWANZA

Watu wengi wanashindwa kutofautisha dunia na ulimwengu. Dunia ni hii sayari tunayoishi ya earth na Ulimwengu (Universe) ni hii dunia tunayoishi na sayari zote na kwenda zaidi ya nje ya hizi sayari.

Bahati mbaya majina mengi ya kiswahili hayana majina ya kisayansi nitayatumia kama yalivyo. Universe is all existing matter and space considered as a whole, the cosmos.The universe is in simple term is everything we touch, feel, sense, measure, or detect.It includes living things,planets,stars,galaxies, dust, clouds, light and even time.

Universe ni kubwa mno na inasemekana toka universe iundwe miaka billion 13 iliyopita kwa mlipuko mkubwa unaoitwa big bang ule mwanga uliotokea miaka hiyo bado unasafiri haujaweza kuivuka universe.Universe ukubwa wake unakadiriwa kuwa kilomita quadrillioni 10.Hapa hii ni namba ni kubwa mno yaani chukua hiyo 10 ongezea sifuri 15 mbele zitakuwa sifuri 16.

Quadrillioni 1 ni sawa na trillioni 1000 sasa hizo ni kilomita. Kuna magalaxy mengi angani yakiwa namabillion ya nyota ila nitaeleza hii galaxy tuliyoko sisi na galaxy ya jirani yetu.Galaxy tuliyopo inaitwa Milkway Galaxy na Galaxy jirani yetu inaitwa Adromeda Galaxy.

Milkway Galaxy inahusisha dunia yetu tuliyopo jua na sayari zote Mercury, Venus, Earth, Mars, Jupiter, Neptune, Saturn, Uranus, Pluto.
.
Kabla kuingia kiundani ni vyema kuanza na hii dunia tuliyopo kwenda juu kuelezea ukubwa wa atmosphere ndio nitazama zaidi anga za juu dini zetu ziko tofauti na dhana za kuumbwa dunia hata mimi niko hivyo hapa naelezea sayansi

Itaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
tumia light years kuonyesha umbali badala ya hayo ma kilomita Ulimwengu ni mkubwa sana kutumia vipimo vya hapa duniani mkuu weka scale ya kilomita kuja kwenye light year ndio utaeleweka kiurahisi
 
Mkuu uko vizuri...lakini kabla hujaleta part2 unaweza ukafanya kwanza research kuhusu ukubwa sahihi wa universe???
Kwakuwa umesema ukubwa ni quadrillion 10 sawa na (1×10^16 au 1e16) sijajua huu ukubwa unamaanisha diameter au radius au umeitreat universe kama square kwahyo ni length tu... lakini mkuu hebu kwanza tusiende mbali tuanze na nyota iliyo karibu kabisa na jua letu (proxima centauri) iliyo ndani ya galaxy yetu hii ya milkyway
Hii nyota ina umbali wa 4.3light years

Light years ni umbali ambao mwanga husafiri ndani ya Mwaka mmoja..
Hivyo mwanga kutoka proxima centauri hutumia miaka 4.3 kutufikia
Sasa tutafute umbali wake in kilometers
Speed ya mwanga ni~ 300,000km/s ili kupata umbali ambao mwanga utasafiri kwa miaka 4.3 inabidi tujue miaka4.3 ina sekunde ngapi

Ni sawa na=
4.3×365×24×60×60
(Miaka×siku×masaa×dakika×sekunde)
Hiyo itatuletea sekunde 135,604,800
Sasa hizo ni sekunde ndani ya miaka 4.3

Kwahiyo umbali ambao mwanga umesafiri kwa hizo sekunde ni=
300,000km/s × 135604800s

Hii inaleta ~( 4.1×10^13 Au 4.1e13)

Let's put it all together
Nyota ya karibu tu na jua iko umbali wa 0.04quadrillion
Na hii galaxy pekee ina nyota billioni mia
Na bado galaxies zipo nyingi kuliko mchanga wa bahari
Bado unaamini universe yote ina ukubwa wa kilomita quadrillion 10 tu?
Binafsi nadhani hakuna usahihi wa hesabu wenye kukidhi takwa la ukubwa wa universe haiwezekani kabisa.
Upo sahihi kwa maelezo yako
 
SEHEMU YA KWANZA

Watu wengi wanashindwa kutofautisha dunia na ulimwengu. Dunia ni hii sayari tunayoishi ya earth na Ulimwengu (Universe) ni hii dunia tunayoishi na sayari zote na kwenda zaidi ya nje ya hizi sayari.

Bahati mbaya majina mengi ya kiswahili hayana majina ya kisayansi nitayatumia kama yalivyo. Universe is all existing matter and space considered as a whole, the cosmos.The universe is in simple term is everything we touch, feel, sense, measure, or detect.It includes living things,planets,stars,galaxies, dust, clouds, light and even time.

Universe ni kubwa mno na inasemekana toka universe iundwe miaka billion 13 iliyopita kwa mlipuko mkubwa unaoitwa big bang ule mwanga uliotokea miaka hiyo bado unasafiri haujaweza kuivuka universe.Universe ukubwa wake unakadiriwa kuwa kilomita quadrillioni 10.Hapa hii ni namba ni kubwa mno yaani chukua hiyo 10 ongezea sifuri 15 mbele zitakuwa sifuri 16.

Quadrillioni 1 ni sawa na trillioni 1000 sasa hizo ni kilomita. Kuna magalaxy mengi angani yakiwa namabillion ya nyota ila nitaeleza hii galaxy tuliyoko sisi na galaxy ya jirani yetu.Galaxy tuliyopo inaitwa Milkway Galaxy na Galaxy jirani yetu inaitwa Adromeda Galaxy.

Milkway Galaxy inahusisha dunia yetu tuliyopo jua na sayari zote Mercury, Venus, Earth, Mars, Jupiter, Neptune, Saturn, Uranus, Pluto.
.
Kabla kuingia kiundani ni vyema kuanza na hii dunia tuliyopo kwenda juu kuelezea ukubwa wa atmosphere ndio nitazama zaidi anga za juu dini zetu ziko tofauti na dhana za kuumbwa dunia hata mimi niko hivyo hapa naelezea sayansi

Itaendelea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukweli ni kwamba Ulimwengu ni mkubwa zaidi ya hizo kilometers quadrillion 10. Ulimwengu ukubwa wake ni’!;::.—€)?!((((,:€@‘I&!!??;;:,’m.🤫
 
Ukubwa wa ulimwengu haufahamiki ni wa kiasi gani. Kinachofahamika ni hauna mwanzo wala mwisho. Yaani! Useme hapa ndiyo mwanzo wa Universe na kule ndiyo mwisho wake, hicho hakifahamiki! Ila tunaujua kwa kile ambacho kimechunguzwa katika sehemu yake.
 
Yaani mkuu kama hizo hesabu za ukubwa wa ulimwengu ni sawa inamaana walipima kutoka angle 1 kwenda nyengine mbali na hapo sawa sawa na kupima hewa ...wana-fake tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes bro.Kwenye light spectrum kuna two opposite ends ya blue(short wavelength) na red(long wavelength) sasa wavelength ya light kama source ipo static itamfikia observer kama ilivyo...namaanisha kama light ni blue light ikiondoka from stationary source itamfikia observer ikiwa blue ivo ivo..
Kwahyo kama ulimwengu ungekuwa stationary na hauexpand kusingekuwa na mabadiliko kwenye wavelength ya mianga ya nyota.

Kama source inamove kumfuata observer kutakuwa na blue shift kwakuwa wavelength inapungua lakini kama source inamove away from observer kutakuwa na red shift kwakuwa wavelength inaongezeka
Sasa kwa hii principle ukiangalia nyota ya karibu ina red shift ya mbali kidogo ina red shift kubwa kidogo ya mbali sana na yenyewe ina red shift kubwa Sana it means the further you go the faster the universe is expanding ndo maana nikasema kuna galaxies mwanga wake hautakuja kufika duniani milele kwasababu zinaiacha dunia kwa speed kubwa kuliko mwanga..
Doppler wanayotumia traffic inawezekana kwasababu kale katochi kanatoa radiation(radiowave,lightbeam or microwave) zile zinaenda zinabounce Kwenye gari zinarudi...kama gari likiwa stationary hazibadiliki wavelength kwahyo zinasoma gari speed ni zero...kama gari linakuja zinablue shift(wavelength inapungua) hivyo kimahesabu kale katochi kanajua kama wavelength imepungua kiasi gani basi gari linakuja na speed gani...vivyo hivo kama gari likiwa linaondoka ile wavelength itaongezeka kwahyo ita red shift na traffic atasoma negative speed ya gari linavyoondoka.
asante san mkuu,sina la ziada na nzuri zaidi umenielezea doppler effect vyema zaidi na ilivyokuwa inanichanganya. ila nina ka swali kidogo katika speed of light

Kwa time travel tunaamini theory inayosema ukikaribia kasi ya mwanga basi utaweza kutravel through time na kwenda future but ukiizidi utaweza kurudi backward . sasa je hiyo space inayo move zaidi ya mwanga (may be tycons or dark energy ila sina uhakika fuel power ya universe) inatudisha kwenye bing bang or else where chef?. unaweza ku share kidogo na hiliiii
 
SEHEMU YA SABA
SATELLITE ZILIZO ANGANI ZISIZOTEMBEA
Satellite inayoonekana na mtu aliyesimama duniani haitembei inaitwa Geostationary satellite au Stationary satellite.
Geostationary satellite inazunguka kwa angular speed ile ile ambayo dunia inazunguka . Inazunguka kutoka magharibi kwenda mashariki kama dunia inavyozunguka.Kwa hiyo speed hiyo relative to earth ni sifuri ndio maana inaonekana kama haitembei.
Mfano mzuri ukiwa kwenye train mbili zenye uelekeo mmoja lakini zikawa zinakimbia kwa speed sawa.Mtu ukichungulia train ingine utaona haitembei.Hata milango ingekuwa imeelekeana unaweza kutoka train moja kwenda nyingine bila shida.
Period au muda wa dunia kuzunguka kwenye mhimili wake ni masaa 24 hivo hata T ya stationary satellite nayo inatakiwa iwe ni 24 hrs.
Satellite nyingi za mawasiliano duniani ni stationary satellite ili habari moja iweze kufika kwenye uso wa dunia sehemu nyingine kirahisi.
Geostationary satellite inarushwa usawa wa equator kwa umbali wa 36,000km kutoka duniani kwa orbital speed ya 3.1km/s.
Orbit ya geostationary satellite inaitwa kwa jina lingine Parking orbit.

JINSI YA KUWEKA SATELLITE KWENYE PARKING ORBIT
Ili kufanya hivyo lazima satellite ipelekwe na rocket juu angani 36,000km ikifikishwa huko engine ya rocket inaisukuma sambamba na dunia kwa speed ya 3.1km/s.

POLAR SATELLITES
Satellite inayozunguka dunia kutoka north pole kwenda south Pole huku ikitengeneza nyuzi 45 na equator inaitwa polar satellite.Inakamilisha mzunguko wake mmoja inapotoka ncha ya kaskazini kufika ncha ya kusini na kurudi tena ncha ya kaskazini ikiwa ni zoezi endelevu.
Kwa sababu inatoka ncha ya kaskazini na kwenda ncha ya kusini ina fanya kazi kwa ufanisi mkubwa kwasababu ina scan sehemu kubwa ya dunia.
Polar satellites zinatumika ku record joto la ardhini na bahari,kupiga picha za mawingu,na kufanya tabiri za hali za hewa duniani.
Ikumbukwe kuwa polar satellite inafanya utabiri wa hali ya hewa wa dunia kwa usahihi zaidi kuliko geostationary satellite kwasababu polar satellite ina scan sehemu kubwa ya dunia.
MATUMIZI YA ARTIFICIAL SATELLITES
I .Zinatufanya tujifunze zaidi kuhusu atmosphere yetu.
ii.Zinatabiri hali ya hewa.
iii.Zinatufanya tujifunze kuhusu mionzi kutoka kwenye jua na anga zingine za juu.
iv.Zinatufanya tujue uhalisia wa shepu na vipimo vya ukubwa wa dunia.
v.Zinatusaidia kutuma signals za redio,television,computer na mawasiliano mengine.
vi.Vyombo vinavyokwenda anga za juu mfano mwezi,mars vinawezekana kutokana na msaada wa taarifa za artificial satellite.
vii.Satellite zinasaidia kwenye mambo ya kijeshi na kijasusi
viii.Kutumika kuonyesha GPS za dunia nzima.
MAMBO YA KUJIULIZA
Inasemekana kuna zaidi ya satellites 8,900 angani zilizorushwa na mataifa mbali mbali nyingi zikiwa za Marekani.Urusi mwaka 1957 ndio nchi ya kwanza kurusha satellite duniani iliyoitwa Sputnik1.Yako mambo ya kujiuliza wewe na mimi.
1.Je satellite inakuwa na umri gani kufanya kazi yake manake kwa vyovyote zinatumika solar battery je hazichoki.
2.Huku duniani tunasema uchafuzi wa mazingira je mataifa haya kwanini yasikae pamoja na kutengeneza satellite chache wakishirikiana
3.Satellite ikiwa haifanyi kazi wana utaratibu gani kuirudisha duniani kuzuiya uchafuzi.
4.Imeshatokea satellite zikagongana je walichukua hatua gani.
5.Je satellite zenyewe zikipata hitilafu angani wanakwendaje kurekebisha.
6.Kwa nchi kama sisi Tanzania kuna utaratibu upi wa kulipa huduma za satellite maana kiukweli hata ukiangalia TV lazima satellite inatumika . ukipimwa kiwanja wakikuwekea vigingi zile GPS
co-ordinates satellites inatumika.

Hapo chini picha ni mfano wa polar satellite inavyozunguka.

Itaendelea. .........

Sent using Jamii Forums mobile app
somo zuri mkuu naomba uendelee kutuelimisha
 
Back
Top Bottom