Ukubwa au udogo wa kichwa una uhusiano gani na kiwango cha akili?

Hua hatuangalii ukubwa wa kichwa tunachoangalia ni ukubwa wa ubongo kulinganisha na ukubwa wa kiumbe ...mfano panya ana iq kubwa kuliko nyangumi lakini nyangumi anaubongo mkubwa kuliko panya au hata binaadamu.
 
Kurithi pia
swala la mtu kuwa na akili nyingi lina uwanja mpana sana. kwa mfano vyakula malezi pamoja na mazingira. ila halihusiani na kuwa na kichwa kikubwa.

na ndio maana wahenga walisema ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
 
Naweza prove hiyo kitu kwa mtu mwenye kichwa kikubwa ana akili pana zaidi ya yule mwenye kichwa kidogo.....

Sababu mimi nina akili sana na nina ndonga ya maana.
 
Back
Top Bottom