erique
JF-Expert Member
- Apr 23, 2010
- 582
- 565
inawezekana kuna kuna ukweli fulani, mimi pia nakumbuka tangu shule ya msingi, na hata secondary wale waliokuwa wakifanya vizuri wengi wao walikuwa wana paji la uso kubwa.Mm ktk research yangu ya muda mrefu lkn isiyo rasmi,vijana wengi waliokuwa wanasumbua sana darasani walikuwa na vichwa vikubwa hasa sehemu ya paji la uso..yani uwiano na wenye vichwa saizi ya kawaida au ndogo inaweza kuwa 7:3 au 70% kwa 30% .Kama unabisha kaangalie darasani kwako wale top 10 darasani kwenu alafu tupe mrejesho hapa jamvini...karibu